Hakukuwa na makubaliano bali ni genge la Mbowe ndiyo lililotoa amri. Sasa wabunge hao wamekataa kuburuzwa!Hivi Chadema imeamua kukwama wapi?
Kwamba kunapotokea kikao kero huwa hazishughurikiwi?
Dukuduku nazo je!!..
Kwahiyo Saccos kila mbunge anaweza kununuliwa tu.Wote hao walishafika bei Na CCM kitambo sanaa
AhhahhahSiamini Kama ameacha lakini inawezekana ameacha sababu Safari hii majambazi wanauliwa sana
Halafu utasikia wanachadema wanamuita Zitto msaliti, hivi hamjui wasaliti wa kweli miongoni mwenu ni akina nani?
Ngumu sana, huu ujinga uliofanywa Na lijualikali Na silinde Ni ngumu kuuona ccm, unafyekwa Mara moja.
Acha kubadiri gia angani mlisema hakuna mtafaruku wa wabunge wa saccos ya Chadema. Haya sasa wamewakatalia sasa kukaa karantini.
Mbowe anachukuliwa poa sana
Ungejibu hoja kamanda acha kuwewesekaKwa hali ya kisiasa sasa hivi nchini, mwanasiasa asiyejua kuwa kuwa ndani ya CCM sio salama kuliko nje ya CCM basi ana akili mgando.
Hivi hawaoni kuwa hata jiwe amekata tamaa kabisa? Hana imani na Ku survive shinikizo LA ndani lakini hata LA nje pia hayuko salama maana dunia ilishachoka watu madikteta...
Kumbe mnauzaWote hao walishafika bei Na CCM kitambo sanaa