fundimchundo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2010
- 739
- 1,032
Google vijijini?Okey
Lengo la CCM ni kuwa na wapiga kura wengi wajingaGoogle vijijini?
Ambako hata mtandao wa simu hakuna!
Are you serious?
Shule za private watoto wa wakubwa wanasoma mpaka saa 11jioni, kisha wanarudi darasani saa 1.30 usiku mpaka saa 3.45 usiku.
Mbona Waziri hawazuii?
Au anafurahishwa na Division 4 na Zero za Sekondari za Kata?
Mtaka is not very exceptional.Mtaka tumemsifia sana sasa kalewa sifa! Anajiona very exceptional
Nakubaliana na wewe.Lengo la CCM ni kuwa na wapiga kura wengi wajinga
Hata kama wanasoma lakini si kaongea kweli?Mtaka watoto wake wanasoma shule za kata? Cheap politics
Ndiyo CCM inachotaka siku zoteMtaka is not very exceptional.
Mtaka is a realist!
Nakubaliana na wewe.
Haya! Haya! Aga gangi! Lugha gongana! Mi 5 tena mupo? Nani gangwe; kati ya waziri na RC? Hii inaonyesha umuhimu wa Katiba Mpya.Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.
View attachment 1851200
Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana. Tokea aingie Wizarani ni kufitinisha tu wenzake.
Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara Wizarani wanaipata habari yake.
Ndalichako badilika Mama Samia yupo tofauti na mwendazake.
Hakuna thamani uliyoongeza hapo Wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.
Tabia ya kuwafitinisha wenzako waondolewe kwenye uteuzi acha mara 1.
Ndalichako alishindwa Baraza la Mitihani kwa ubishi wake ilikuwaje apewe Wizara.
Mama Samia tuondolee huyu Ndali
View attachment 1851425
Kwani kipi kaongea kubaya hapo tatizo ccm mnataka watoto wa wenzenu waendelee kuwa mbumbu angalia mikoa ya watu walio pita pita shule huwezi kuta Wana ushabiki wa kijinga kwa ccm na hicho hicho ndicho hamkitaki ninyiMtaka tumemsifia sana sasa kalewa sifa! Anajiona very exceptional
Katika mazingira ya sasa, it is suicidal kusomesha watoto Shule za Kata maana Mkakati wa Wizara ya Elimu ni kuhakikisha kuwa watoto wa Shule za Kata wanaishia kuwa mbumbumbu.Mtaka watoto wake wanasoma shule za kata? Cheap politics
Yeye wa kwake yupo shule za kata?
Kuna ulazima gani wa kumshambulia waziri na familia yake? Kuwa realistic hakuondoi utu brother. Vipi kama wewe ni kiwete nikikuita wewe kiwete njoo hapa? Si realistic? Kwanza kiuongozi huwezi kumzodoa boss wako hadharani namna ile.Mtaka is not very exceptional.
Mtaka is a realist!
Nakubaliana na wewe.
Hilo agizo la Waziri wa Elimu lenye lengo la kufelisha kwa kuzuia watoto wasisome baada ya saa 9 lilitolewa kimya kimya au hadharani?RC Mtaka angeweza kutoa maelekezo aliyotoa kuhusiana na elimu ndani ya mkoa wa Dodoma bila kumnanga waziri wa elimu vile, lakini yawezekana Kuna jambo limepangwa juu ya waziri wa elimu prof. J. Ndalichako nawaza tu.
Wengi wa walimu wangu walionifundisha ni role models; huyu akiwa mmoja wao, believe me! Na ndiyo maana ameweza kufika hapo alipo.Mzee ..elimu ya darasani tofautisha kabisa na uhalisi ulipo kule nje..... uNAZUNGUMZA SIJUI UNAJUA HILO? AU NDIYO WALE MNAOITIKIA NDIYO MZEE!
Duh we jama "anabundi" wa Bisesco nn?Suala la kujisomea halijawahi kuwa la kitaifa kijana. Acha mtoto asome kwa uwezo na matakwa yake. Aidha kwa wazembe lazima walazimishwe
Sijui siku hizi amekuwaje? Maskini alikuwa mathematician kipanga. Obvious kwa kuwa alikuwa anabundi pia. Leo uwakataze watoto wasibundi
Chadema, like CCM, is a pack of shit to me.Kuna ulazima gani wa kumshambulia waziri na familia yake? Kuwa realistic hakuondoi utu brother. Vipi kama wewe ni kiwete nikikuita wewe kiwete njoo hapa? Si realistic? Kwanza kiuongozi huwezi kumzodoa boss wako hadharani namna ile.
Zipo channel za kuchallenge mambo ya utawala! Huu ujasiri si wa bure, Ndalichako ndiye waziri mwenye dhamana ya elimu na aliyemteua ndiye mwenye responsibility ya kumuwajibisha na si huu uhuni.
Kwahili hastahili hata kuomba radhi bila kujivua ukuu wa mkoa maana ameongea kwa msisitizo na kurudia mara nyingi akijua anachofanya.
Wewe unajua, mwambie mtu hapo Chadema amkosoe Mbowe hadharani uone kama atabakia salama! Kuna miiko ya uongozi na Mtaka hajakosea tu bali amekoroga sifa yake njema tuliyomsifia muda mrefu.
Kiukweli inatia moyo sana, kanikosha huyu RC.. hasa alipomalizia kuwa elimu kipaumbele chake na hataki ushauri wa mwanasiasa ktk hiloKuna watu wameanza kuzitumia akili zao walizokuwa wamezihifadhi stoo kwa muda mrefu.
Huenda taratibu tukarudi kwenye nyakati za ufahamu, badala ya kufanya mambo kama maroboti.
Kama mkuu wa mkoa anaweza kusemja kitu kama hicho bila kuogopa wateuzi watasema nini, hilo linatia moyo.
Waziri hajatoa agizo kwa feelings zake, ipo miongozo ya elimu. Badala ya kushambulia mtu angejikita kwenye mabadiliko kisera na nafasi hiyo anayo. Lakini pia anaweza kuwasiliana na waziri au hata Rais kwa marekebisho kama ana hoja.Hilo agizo la Waziri wa Elimu lenye lengo la kufelisha kwa kuzuia watoto wasisome baada ya saa 9 lilitolewa kimya kimya au hadharani?