Dodoma: RC Antony Mtaka amchana Waziri wa Elimu kuhusu mwisho wa Watoto kusoma kuwa ni saa tisa
Google vijijini?
Ambako hata mtandao wa simu hakuna!
Are you serious?
Shule za private watoto wa wakubwa wanasoma mpaka saa 11jioni, kisha wanarudi darasani saa 1.30 usiku mpaka saa 3.45 usiku.
Mbona Waziri hawazuii?
Au anafurahishwa na Division 4 na Zero za Sekondari za Kata?
 
Mtaka watoto wake wanasoma shule za kata? Cheap politics
 
Lengo la CCM ni kuwa na wapiga kura wengi wajinga
 
Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.

Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.

Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.

View attachment 1851200

Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana. Tokea aingie Wizarani ni kufitinisha tu wenzake.

Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara Wizarani wanaipata habari yake.

Ndalichako badilika Mama Samia yupo tofauti na mwendazake.

Hakuna thamani uliyoongeza hapo Wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.

Tabia ya kuwafitinisha wenzako waondolewe kwenye uteuzi acha mara 1.

Ndalichako alishindwa Baraza la Mitihani kwa ubishi wake ilikuwaje apewe Wizara.

Mama Samia tuondolee huyu Ndali
View attachment 1851425
Haya! Haya! Aga gangi! Lugha gongana! Mi 5 tena mupo? Nani gangwe; kati ya waziri na RC? Hii inaonyesha umuhimu wa Katiba Mpya.
 
RC Mtaka angeweza kutoa maelekezo aliyotoa kuhusiana na elimu ndani ya mkoa wa Dodoma bila kumnanga waziri wa elimu vile, lakini yawezekana Kuna jambo limepangwa juu ya waziri wa elimu prof. J. Ndalichako nawaza tu.
 
Mtaka tumemsifia sana sasa kalewa sifa! Anajiona very exceptional
Kwani kipi kaongea kubaya hapo tatizo ccm mnataka watoto wa wenzenu waendelee kuwa mbumbu angalia mikoa ya watu walio pita pita shule huwezi kuta Wana ushabiki wa kijinga kwa ccm na hicho hicho ndicho hamkitaki ninyi
 
Mtaka watoto wake wanasoma shule za kata? Cheap politics
Katika mazingira ya sasa, it is suicidal kusomesha watoto Shule za Kata maana Mkakati wa Wizara ya Elimu ni kuhakikisha kuwa watoto wa Shule za Kata wanaishia kuwa mbumbumbu.
Kwa nini Kiongozi anayasisitiza Watoto wetu kupata Matokeo ya Mtihani mazuri anaandamwa badala ya kupongezwa?
 
Mtaka is not very exceptional.
Mtaka is a realist!

Nakubaliana na wewe.
Kuna ulazima gani wa kumshambulia waziri na familia yake? Kuwa realistic hakuondoi utu brother. Vipi kama wewe ni kiwete nikikuita wewe kiwete njoo hapa? Si realistic? Kwanza kiuongozi huwezi kumzodoa boss wako hadharani namna ile.

Zipo channel za kuchallenge mambo ya utawala! Huu ujasiri si wa bure, Ndalichako ndiye waziri mwenye dhamana ya elimu na aliyemteua ndiye mwenye responsibility ya kumuwajibisha na si huu uhuni.

Kwahili hastahili hata kuomba radhi bila kujivua ukuu wa mkoa maana ameongea kwa msisitizo na kurudia mara nyingi akijua anachofanya.

Wewe unajua, mwambie mtu hapo Chadema amkosoe Mbowe hadharani uone kama atabakia salama! Kuna miiko ya uongozi na Mtaka hajakosea tu bali amekoroga sifa yake njema tuliyomsifia muda mrefu.
 
RC Mtaka angeweza kutoa maelekezo aliyotoa kuhusiana na elimu ndani ya mkoa wa Dodoma bila kumnanga waziri wa elimu vile, lakini yawezekana Kuna jambo limepangwa juu ya waziri wa elimu prof. J. Ndalichako nawaza tu.
Hilo agizo la Waziri wa Elimu lenye lengo la kufelisha kwa kuzuia watoto wasisome baada ya saa 9 lilitolewa kimya kimya au hadharani?
 
Mzee ..elimu ya darasani tofautisha kabisa na uhalisi ulipo kule nje..... uNAZUNGUMZA SIJUI UNAJUA HILO? AU NDIYO WALE MNAOITIKIA NDIYO MZEE!
Wengi wa walimu wangu walionifundisha ni role models; huyu akiwa mmoja wao, believe me! Na ndiyo maana ameweza kufika hapo alipo.

Tunatakiwa tuwasihi viongozi wetu wote wa kisiasa na hata wa kidini pia, waache kuwa wanabwatuka mbele yetu, hawatufundishi mema kwa kufanya hivyo
 
Suala la kujisomea halijawahi kuwa la kitaifa kijana. Acha mtoto asome kwa uwezo na matakwa yake. Aidha kwa wazembe lazima walazimishwe

Sijui siku hizi amekuwaje? Maskini alikuwa mathematician kipanga. Obvious kwa kuwa alikuwa anabundi pia. Leo uwakataze watoto wasibundi
Duh we jama "anabundi" wa Bisesco nn?
 
Mtaka ni man of the match. Ni raha sana kuongea ukweli.
Watanzania tubadilike kuongea ukweli sio kosa wala dhambi.
 
Kuna ulazima gani wa kumshambulia waziri na familia yake? Kuwa realistic hakuondoi utu brother. Vipi kama wewe ni kiwete nikikuita wewe kiwete njoo hapa? Si realistic? Kwanza kiuongozi huwezi kumzodoa boss wako hadharani namna ile.

Zipo channel za kuchallenge mambo ya utawala! Huu ujasiri si wa bure, Ndalichako ndiye waziri mwenye dhamana ya elimu na aliyemteua ndiye mwenye responsibility ya kumuwajibisha na si huu uhuni.

Kwahili hastahili hata kuomba radhi bila kujivua ukuu wa mkoa maana ameongea kwa msisitizo na kurudia mara nyingi akijua anachofanya.

Wewe unajua, mwambie mtu hapo Chadema amkosoe Mbowe hadharani uone kama atabakia salama! Kuna miiko ya uongozi na Mtaka hajakosea tu bali amekoroga sifa yake njema tuliyomsifia muda mrefu.
Chadema, like CCM, is a pack of shit to me.
Unawezaje kulinganisha mstakabali wa Taifa na upuuzi wa Vyama vya Siasa?
Haiyumkiniki ndiyo sababu hutaki watoto wa wanyonge Tanzania waende mbele kielimu kwa kuunga mkono agizo lililotolewa hadharani la kuwazuia kusoma baada ya saa 9 wakati watoto wa wakubwa wanasoma mpaka saa 4 usiku!
Unalinganisha Elimu ya watoto wetu na upuuzi wa kisiasa?
 
Kuna watu wameanza kuzitumia akili zao walizokuwa wamezihifadhi stoo kwa muda mrefu.

Huenda taratibu tukarudi kwenye nyakati za ufahamu, badala ya kufanya mambo kama maroboti.

Kama mkuu wa mkoa anaweza kusemja kitu kama hicho bila kuogopa wateuzi watasema nini, hilo linatia moyo.
Kiukweli inatia moyo sana, kanikosha huyu RC.. hasa alipomalizia kuwa elimu kipaumbele chake na hataki ushauri wa mwanasiasa ktk hilo
 
Hilo agizo la Waziri wa Elimu lenye lengo la kufelisha kwa kuzuia watoto wasisome baada ya saa 9 lilitolewa kimya kimya au hadharani?
Waziri hajatoa agizo kwa feelings zake, ipo miongozo ya elimu. Badala ya kushambulia mtu angejikita kwenye mabadiliko kisera na nafasi hiyo anayo. Lakini pia anaweza kuwasiliana na waziri au hata Rais kwa marekebisho kama ana hoja.

Kwanini amdhalilishe waziri? Unajua matokeo ya kauli zake ikiachwa namna hii bila kuwajibika?

Nimesema wewe unajua vyema, Mbowe hata kama akiongea jambo hadharani akakosea kuna mtu pale ufipa anaweza kutoka hadharani kumkosoa akabaki salama? Uongozi una miiko yake lakini tukienda hivi mawaziri wataachia wakuu wa mikoa wafanye wanalotaka.

Mama Samia anapaswa kunyoosha rula. Huu ni utomvu wa nidhamu anapaswa kuchukua hatua ili viongozi waheshimiane otherwise tutasikia mengine na mwisho serikali kuwa dhaifu.
 
Back
Top Bottom