MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mhe. Jokakuu hata mimi nimetangulia kusema kwamba huyo RC kakosea. Mamlaka za uteuzi ndo zenye kauli ya mwisho. Ila tukubaliane kuwa Mtaka anakubalika sana...Augustino Mrema naye alijiona ana nguvu sana akatofautiana na msimamo wa serikali, Rais Mwinyi wala hakupoteza muda kumuondoa.
..Huyu asipochukuliwa hatua itajenga mfano mbaya na nidhamu inaweza kutoweka ktk wateule wa Raisi.
Tumsamehe. Nafikiri lipo jambo lilimtokea maana kwa jinsi alivyo ni ajabu kutoa lugha zisizo za kiungwana kiasi kile kama vile ana ugomvi binafsi...Augustino Mrema naye alijiona ana nguvu sana akatofautiana na msimamo wa serikali, Rais Mwinyi wala hakupoteza muda kumuondoa.
..Huyu asipochukuliwa hatua itajenga mfano mbaya na nidhamu inaweza kutoweka ktk wateule wa Raisi.
Sio hiyo nguvu ya umma ya CHADEMA. Hizi za Mtaka ni zile halisi sio hizo nguvu za KVANT za chademaHuu uongo mmeutoa wapi? Hiyo nguvu ya umma mtaka kaipata lini? Mbona Kama huyu mtu mnamuabudu sana?
Ubinafsi wenu ndio unaowafelisha watoto wa masikini,na agenda zenu ni kutaka watoto wenu tu ndio wawe wasomi, selfish katika ubora wenuWaziri yupo sahihi,
Muda wa kazi wa Serikali ni saa tisa na nusu.
Waziri kafuata sheria ya kazi ilivyo.
Kinyume na hapo ni fujo.
RC amemkosea heshima Waziri.
Hakupaswa ajibu.Angepiga kimya na akaendelea na mipango yake kimya kimya tu.
Hapa nimekukubali mkongwe. BTW ameomba radhi kiungwana. Tusahau tusonge mbele. Ni mtu mwema na mchapakazi.
Mtaka ni mjita,anatokea kabila moja naMtaka tumemsifia sana sasa kalewa sifa! Anajiona very exceptional
Mtaka kakosea sanaKuna ulazima gani wa kumshambulia waziri na familia yake? Kuwa realistic hakuondoi utu brother. Vipi kama wewe ni kiwete nikikuita wewe kiwete njoo hapa? Si realistic? Kwanza kiuongozi huwezi kumzodoa boss wako hadharani namna ile.
Zipo channel za kuchallenge mambo ya utawala! Huu ujasiri si wa bure, Ndalichako ndiye waziri mwenye dhamana ya elimu na aliyemteua ndiye mwenye responsibility ya kumuwajibisha na si huu uhuni.
Kwahili hastahili hata kuomba radhi bila kujivua ukuu wa mkoa maana ameongea kwa msisitizo na kurudia mara nyingi akijua anachofanya.
Wewe unajua, mwambie mtu hapo Chadema amkosoe Mbowe hadharani uone kama atabakia salama! Kuna miiko ya uongozi na Mtaka hajakosea tu bali amekoroga sifa yake njema tuliyomsifia muda mrefu.
Nijenge hoja kwa mtu mpumbavu?Tofauti inayoonekana kwa vijana wengi, na ndiyo maana hata ajira zimekuwa ngumu sana, inaonyesha mnaenda shule si kwa ajiri ya kuondoa ujinga
Jenga hoja, na usipende matusi kwani kutoa matusi bila kujenga hoja ni sehemu mojawapo ya kujiani jinsi ulivyo mweupe kichwani
Unadhani hayo anayosimamia mkuu wa mkoa ndio mwongozo kitaifa, na unadhani anachokifanya mkuu wa mkoa hamkivunjii heshima mwingine? Lakini je, kulikuwa na ulazima mkuu wa mkoa kumtaja waziri kwenye kikao hiko?
Mhe. Jokakuu hata mimi nimetangulia kusema kwamba huyo RC kakosea. Mamlaka za uteuzi ndo zenye kauli ya mwisho. Ila tukubaliane kuwa Mtaka anakubalika sana.
Yaani Mtaka alete impact gani acheni masiharaKisiasa huyo Mkuu wa mkoa kakosea sana. Alichofanya ni utovu wa nidhamu kwa serikali na Chama Cha Mapinduzi. Sema huyo RC ana nguvu kubwa sana ya umma nyuma yake... kumtumbua kizembe inaweza leta mtikisiko. Waziri angetulia zake na kufanya mambo yanayomhusu. Hii kuingilia hadi watoto wasomeje ni upumbavu kwa hadhi ya waziri.... waziri adili na mambo ya madawati, mitaala, maslahi ya walimu na mambo mengine ngazi ya kitaifa. Kambi za wanafunzi ni jambo dogo mno. Tusubiri uamuzi wa Mwenyekiti wa CCM (Rais wa JMT) katika hili.
Na ndivyo alivyofanya Simiyu.Itakuwa anahamasisha elimu kwa wananchi na wazazi, ili kuongeza ufaulu kimkoa!
Sio hiyo nguvu ya umma ya CHADEMA. Hizi za Mtaka ni zile halisi sio hizo nguvu za KVANT za chadema
Hapana.yena yeye ndo alikua anakesha had asubuh classAlikua TZ1 kwa kutoka shule sa 9?
Kuongea hajuiNapata tabu sana na huyu mama ata bachelor yake ni hesabu watu wachache wenye uwezo wa kufanya hiyo degree, she is supposed to be very clever.
Lakini ukimsikiliza dah
Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.
View attachment 1851200
Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana. Tokea aingie Wizarani ni kufitinisha tu wenzake.
Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara Wizarani wanaipata habari yake.
Ndalichako badilika Mama Samia yupo tofauti na mwendazake.
Hakuna thamani uliyoongeza hapo Wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.
Tabia ya kuwafitinisha wenzako waondolewe kwenye uteuzi acha mara 1.
Ndalichako alishindwa Baraza la Mitihani kwa ubishi wake ilikuwaje apewe Wizara.
Mama Samia tuondolee huyu Ndali
View attachment 1851425