Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
How do you know hakuitafuta hiyo forum kwanza ila na yeye akapuuzwa?Mtaka Hana adabu kabisa. Kungelikuwa Samia I would have fired him. Angelitafuta forum ya staha kusema aliuoyasema na si kubwatuka
Mama Ndalichako ni mbishi sana na haitoshangaza labda akina Mtaka walijaribu kumpa mikakati yao based on circumstances za Mkoa wao ila akawagomea