Mimi nimemaliza we endelea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiwa na mimi bahasha wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimemaliza we endelea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiwa na mimi bahasha wake
popote pale uwemakini na MTU anaitwa RAS au DASMtaka yupo sahihi kuhusu Kambi zake. Lakini approach ya kumjibu waziri, yaani mteule wa rais hivi kuna mushkeli kidogo. Labda yupo undercover ili kumexpose waziri kurahisisha uamuzi wa mamlaka
Exactly, huyu hafai.Amejiharibia sana huyu, hajaweza kudhibiti ulimi wake, yawezekana nia yake ni njema lakini hajatumia diplomasia kumnanga kiongozi mwenzake jukwaanni
Uhuru wakutoa ushauri prof asad anasema Tue tunaambizanaSwala la Elimu yetu kufanywa kama mpira wa danadana na kila mmoja kuwa anachezea, ni makosa makubwa sana, mwongozo wa pamoja uko wapi?
Napingana na huyo mkuu wa mkoa wenu pendwa, Inakuweje awe na mpango wa kivyake vyake?
Mkuu wa mkoa wa Songea naye awe na matako yake, na wa mikoa mingine, tutakuwa taifa la aina gani?
Ni ajabu leo huyo mwana bavicha kujaribu kutaka watu wasitoe maoni yaoHuu ndio uhuru wa maoni tunaoutaka CHADEMA alisikika mwana Bavicha mmoja kwenye kilabu cha chang’aa
Mfanya maamuzi gani huyo ambaye gari yake inatembea na bendera wizarani kama sio Waziri, waziri Mkuu na Raisi tu.?Yuko sahihi sana. Ila hakumlenga Waziri moja kwa moja, kawalenga wafanya maamuzi Wizarani. Mkuu wa Mkoa yupo vizuri sana. Huyu ndio anastahili kuwa Waziri wa Elimu.
Nope, wafanya maamuzi wangapi wizarani wanapeperusha benderaYuko sahihi sana. Ila hakumlenga Waziri moja kwa moja, kawalenga wafanya maamuzi Wizarani. Mkuu wa Mkoa yupo vizuri sana. Huyu ndio anastahili kuwa Waziri wa Elimu.
Wenzio tushafika NCA - No Class AheadUsiku kucha unasoma nini hicho?
Mbona bado uko jamiiforums unabweka tu?
Tuoneshe tija yako.
Huyu mama siyo kiumbe mzuri aliwahi kutufanyia mbaya sana fourm four na form six wa 2013 hiki kimama huwa ni kijinga kijinga kweli kina misimamo ya kupuuzwa MTAKA viva sanaMtu mwenye Phd ukimsikiliza ata masters tu provided kweli kaisotea na transcript zake zimejaza B’s kwenda juu kuanzia sekondari anapoongea kuna reasonability ya intelligence unaiona.
Siku zote nimekuwa nasema Ndalichako doesn’t add up kama Phd; she is just too shallow ukimsikiliza mara nyingi.
Swala la Elimu yetu kufanywa kama mpira wa danadana na kila mmoja kuwa anachezea, ni makosa makubwa sana, mwongozo wa pamoja uko wapi?
Napingana na huyo mkuu wa mkoa wenu pendwa, Inakuweje awe na mpango wa kivyake vyake?
Mkuu wa mkoa wa Songea naye awe na matakwa yake, na wa mikoa mingine, tutakuwa taifa la aina gani?
Hii haipo sawa.....Mtaka yupo sahihi kuhusu Kambi zake. Lakini approach ya kumjibu waziri, yaani mteule wa rais hivi kuna mushkeli kidogo. Labda yupo undercover ili kumexpose waziri kurahisisha uamuzi wa mamlaka
Ndali huyu ni mpuuzi ila kwa sababu wewe ni follower wake hujui huyu mama elimu anaiharibu sana mtaka yupo sawa ,, watoto wa kitz lazma uwakazie ndo wasome hata kwetu Huku Nanyumbu tunafanya vile aacha mikakati tuliojiwekea tujifanyie ili watoto wafaulu ,, sina hasara wala faida mtoto akifelSwala la Elimu yetu kufanywa kama mpira wa danadana na kila mmoja kuwa anachezea, ni makosa makubwa sana, mwongozo wa pamoja uko wapi?
Napingana na huyo mkuu wa mkoa wenu pendwa, Inakuweje awe na mpango wa kivyake vyake?
Mkuu wa mkoa wa Songea naye awe na matakwa yake, na wa mikoa mingine, tutakuwa taifa la aina gani?
Mkuu tunaongozwa na matokeo- kama umefanya jambo na likaleta matokeo mazuri siyo vibaya unalirudiaSwala la Elimu yetu kufanywa kama mpira wa danadana na kila mmoja kuwa anachezea, ni makosa makubwa sana, mwongozo wa pamoja uko wapi?
Napingana na huyo mkuu wa mkoa wenu pendwa, Inakuweje awe na mpango wa kivyake vyake?
Mkuu wa mkoa wa Songea naye awe na matakwa yake, na wa mikoa mingine, tutakuwa taifa la aina gani?
Ni kweli kiongozi wa serekali huwezi kuongea vile hadharani....Mtaka Hana adabu kabisa. Nigelikuwa Samia I would have fired him immediately. Angelitafuta forum ya staha kusema aliyoyasema na si kubwatuka mbele za wazazi kumdhalilisha mteule mwenzake. Mtu anaweza kugeneralise kuwa the gov is disunited in it's dealings Amesema màneno ya kishenzi akiwa part of the government machinery.
Hafai kukalia ofisi ya umma.
Wajinga mmezoea kuficha Kila kituNGOMA IKIVUMA SAAANAA, MWISHO WAKE HUPASUKA. MTAKA UMESIFIWA SAAANA TOKA AWAM YA 5 NA UMA UKAKUONA NI MTU MWENYE WEREDI, LAKINI KWA MATAMSHI YAKO YA KUTUKANA MTEULIWA MWENZAKO HAPO UMEKOSEA SAAANA. WEWE NI MWANACHAMA WETU WA CCM HIVI UMEKOSA NJIA SAHIHI YA KUFIKISHA UJUMBE KWA KADA MWENZIO MPAKA UMEONA UMSHUSHUE BILA WOGA?? HATA KAMA HUENDA MNABIFU ZENU, NJIA ULIOITUMIA SIO SAHIHI.
Kwanza rekebisha jina ni Mtaka.Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.
View attachment 1851200
Bibi kama yule bado anashinda salon kuondoa mvi ili atembee na vijana. Hovyo snMataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.
View attachment 1851200
Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana. Tokea aingie Wizarani ni kufitinisha tu wenzake
Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara Wizarani wanaipata habari yake.
Ndalichako badilika Mama Samia yupo tofauti na mwendazake.
Hakuna thamani uliyoongeza hapo Wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.
Tabia ya kuwafitinisha wenzako waondolewe kwenye uteuzi acha mara 1.
Haina maana yoyote, we ni mjambaji kama wajambaji wengine tu.Wenzio tushafika NCA - No Class Ahead
Mtaka yupo sahihi kuhusu Kambi zake. Lakini approach ya kumjibu waziri, yaani mteule wa rais hivi kuna mushkeli kidogo. Labda yupo undercover ili kumexpose waziri kurahisisha uamuzi wa mamlaka