Dodoma: RC Antony Mtaka amchana Waziri wa Elimu kuhusu mwisho wa Watoto kusoma kuwa ni saa tisa
Mtaka Hana adabu kabisa. Kungelikuwa Samia I would have fired him. Angelitafuta forum ya staha kusema aliuoyasema na si kubwatuka
Tatizo mnawachukulia mawaziri kama mitume hawasemwi

Tunatakiwa kuwa na serikali ya namna hii sasa kila mtu akosolewe na mtu yeyote akosoe bila kijali ni nani !!
 
Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.

Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.

Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.

View attachment 1851200


Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana. Tokea aingie Wizarani ni kufitinisha tu wenzake

Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara Wizarani wanaipata habari yake.

Ndalichako badilika Mama Samia yupo tofauti na mwendazake.

Hakuna thamani uliyoongeza hapo Wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.

Tabia ya kuwafitinisha wenzako waondolewe kwenye uteuzi acha mara 1.
Kwa ukiukwaji wa haki na kuendesha nchi with impunity as if hakuna Mungu, CCM wanaanza kupata mapigo sawasawa na maandiko matakatifu katika Biblia Mwanzo 11:1-9. Mwisho wa utawala wa hii CCM ya sasa u karibu zaidi kuliko hata tulivyotarajia.

Maneno ya Mungu (Mwanzo 11:1-9) yanasema:

1 Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.
2 Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko.
3 Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.
4 Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na mnara, na kilele chake kifike mbinguni, tujifanyie jina; ili tusipate kutawanyika usoni pa nchi yote.
5 BWANA akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.
6 BWANA akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya.

7 Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao.
8 Basi BWANA akawatawanya kutoka huko waende usoni pa nchi yote; wakaacha kuujenga ule mji.
9 Kwa sababu hiyo jina lake likaitwa Babeli; maana hapo ndipo BWANA alipoichafua lugha ya dunia yote; na kutoka huko BWANA akawatawanya waende usoni pa nchi yote.
 
jamaa.yupo sahihi elimun inaendeshwa kisiasa bila mpangilio
 
Kama Taifa yafaa tuwe na ajenda moja namna ya kulibeba Suala la Elimu.... Vinginevyo tutakwama...

RC Mtaka ametumia lugha Kali sana dhidi ya Waziri wa Elimu.....

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo mnawachukulia mawaziri kama mitume hawasemwi

Tunatakiwa kuwa na serikali ya namna hii sasa kila mtu akosolewe na mtu yeyote akosoe bila kijali ni nani !!
Sisemi asikosolewe, akosolewe Sana Ndalichako na ana mapungufu mengi Kama tulivyo wote, lkn siyo kwa mtindo huu wa kudhàlilisha na kudharau. Mtaka ana forum nyingi za kutoa maoni yake, siyo kwa namna hii. Hata kwetu CDM, huwezi kumkosoa Mbowe kwa dharau of some sort Kama hiyo. Ndani kwetu unaweza kusema lolote.......siyo hadharani kumdhalilisha
 
RC yuko sahihi. Nadharia nadharia sio za kuziendekeza sometimes. Nchi moja mazingira ya shule yanatofautiana halafu unataka wote wafanye kama yellow buses. Mwisho wa mchezo watoto wetu wanaondoka na mayai viza. Nooooo. Big up RC
 
Mama Ndalichako ni mbishi sana na haitoshangaza labda akina Mtaka walijaribu kumpa mikakati yao based on circumstances za Mkoa wao ila akawagomea.

Huyo mama kweli mbishi na kigeugeu kuna mkurugenzi wa taasis ya elimu hakuamini masikio na macho yake akigeukwa bungeni huku alikuwa akifuata maagizo yake matokeo akavulunda akajikuta anatumbuliwa yeye na kumuacha yeye anadunda
Kama kuna dhambi zinamtafuna Ndalichako moja wapo ni hiyo ya kumkana yule mkurugenzi mwanamke mwenzake akatumbuliwa yeye akabaki kama hajui kilichotokea.
 
Huyo Mtaka anavyotaka watoto waendelee kusoma baada ya muda wa kazi ametetenga fungu la kuwalipa walimu extra time? Tatizo kubwa linaletwa pia na NECTA la rate ufahulu kimkoa hadi wilaya kana kwamba elimu ni madhindano au ligi na kufanya kila kiongozi mteuliwa kutaka ashike nafasi za juu kwa kuwakaririsha manotes wanafunzi au kuiba mitihani.
 
NGOMA IKIVUMA SAAANAA, MWISHO WAKE HUPASUKA. MTAKA UMESIFIWA SAAANA TOKA AWAM YA 5 NA UMA UKAKUONA NI MTU MWENYE WEREDI, LAKINI KWA MATAMSHI YAKO YA KUTUKANA MTEULIWA MWENZAKO HAPO UMEKOSEA SAAANA. WEWE NI MWANACHAMA WETU WA CCM HIVI UMEKOSA NJIA SAHIHI YA KUFIKISHA UJUMBE KWA KADA MWENZIO MPAKA UMEONA UMSHUSHUE BILA WOGA?? HATA KAMA HUENDA MNABIFU ZENU, NJIA ULIOITUMIA SIO SAHIHI.
Ndalichako yeye siyo mwanachama wenu? Mbona aliushushua mpango wa Mtaka hadharani mchana kweupe? Au yeye kwenye vikao haingii?
 
Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.

Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.

Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.

View attachment 1851200


Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana. Tokea aingie Wizarani ni kufitinisha tu wenzake

Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara Wizarani wanaipata habari yake.

Ndalichako badilika Mama Samia yupo tofauti na mwendazake.

Hakuna thamani uliyoongeza hapo Wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.

Tabia ya kuwafitinisha wenzako waondolewe kwenye uteuzi acha mara 1.
Naunga mkono alichokisema.

Hawa wote ni wateule wa rais, anayehusika na masuala ya elimu ni waziri wa elimu.
Huyu anahusika na mambo ya ulinzi na usalama.

Watoto wakitembea kwa mwendo mrefu na maeneo hatarishi wakipatwa na hatari kama kubakwa au kutekwa linakuja suala la ulinzi ambalo linamgusa mkuu wa mkoa.

Wakae pamoja waelekezane jinsi ya kuwalea wanafunzi kulingana na maeneo husika.
 
Kauli ya mkuu wa mkoa ni kali, kama alisomea uongozi na akaiva hangeweza kutoa kauli kali kwa waziri. Kumbuka waziri ni ngazi ya Kitaifa ila mkuu wa mkoa ni ngazi ya kimkoa.
 
Ndugu zangu habarini za asubuhi! Nimajuzi niliongelea kuhusu wizara hii ya elimu na taasisi zake. Kiukweli nazidi kusisitiza tena na tena Wizara ya Elimu inahitaji kumulikwa na kusafishwa kabisa ikianza na waziri mwenye dhamana. Hii Wizara namuomba sana Mama yetu Rais SAMIA, ikikupendeza safisha hii Wizara na pia tizama taasisi zilizo chini yake utendaji ni mbove kweli kweli. Kitendo cha Mkuu wa Mkoa kuongea vile , kinaweza kuchukuliwa kuwa ni ukosefu wa approach sahihi kwa waziri lakini binafsi NASEMA HAPANA. HUYU MAMA NI TATIZO HATA KWA MAKATIBU WAKUU WA WIZARA. Mama yetu SAMIA, tuondolee huyu mtu Wizara ya Elimu. Baada ya kusema hayo naomba tena nigeukie TAMISEMI. Kuna dada yetu UMMY, hana utendaji wowote isipkuwa ni uigizaji katika media basi...na ujanja wa kuongea. Wizara hii bado haijapata mtu sahihi. Utendaji wake ukilinganishwa na Jafo au Simbachawene...haufikii hata asilimia ishirini. Bado mama yetu SAMIA, wizara hii nayo inashida sana tena sana,
 
Kauli ya mkuu wa mkoa ni kali, kama alisomea uongozi na akaiva hangeweza kutoa kauli kali kwa waziri. Kumbuka waziri ni ngazi ya Kitaifa ila mkuu wa mkoa ni ngazi ya kimkoa.
Yaani ninyi ndiyo mnaturudisha nyuma kabisa. Kazi kutetea ujinga ujinga tu. BADILIKENI VIJANA. UNAONGELEA UONGOZI KUSOMEA, UNAUJUA? AU UNADANDIA ?
 
Sijui kama atabaki salama. Nahisi kitaota nyasi soon akaungane Chalamila
Thubutuuuuu RC mtaka hawezi kutolewa ni miongoni mwa best Rcs we have in our country.ht JPM aliwah mtaja km ni RC wa mfano nenda simiyu mkoa ambao kitaaluma ulikuwa unakuwa wa mwisho lkn sasa unafanya vizuri
 
Back
Top Bottom