Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
How do you know hakuitafuta hiyo forum kwanza ila na yeye akapuuzwa?Mtaka Hana adabu kabisa. Kungelikuwa Samia I would have fired him. Angelitafuta forum ya staha kusema aliuoyasema na si kubwatuka
Antony Mtaka umeongea ukweli mtupuMataka awaasa wananchi wampuuze waziri wa elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma. Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye wa to to wake wanasoma international school...
Suala la kujisomea halijawahi kuwa la kitaifa kijana. Acha mtoto asome kwa uwezo na matakwa yake. Aidha kwa wazembe lazima walazimishweSwala la Elimu yetu kufanywa kama mpira wa danadana na kila mmoja kuwa anachezea, ni makosa makubwa sana, mwongozo wa pamoja uko wapi?
Napingana na huyo mkuu wa mkoa wenu pendwa, Inakuweje awe na mpango wa kivyake vyake?
Mkuu wa mkoa wa Songea naye awe na matako yake, na wa mikoa mingine, tutakuwa taifa la aina gani?
Sijui siku hizi amekuwaje? Maskini alikuwa mathematician kipanga. Obvious kwa kuwa alikuwa anabundi pia. Leo uwakataze watoto wasibundiMama Ndalichako has “lost touch with reality”. RC Mtaka yupo sahihi.
Mataka awaasa wananchi wampuuze waziri wa elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye wa to to wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu afu system inakuangalia tu.
View attachment 1851200
Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana! tokea aingie wizarani ni kufitinisha tu wenzake!
Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara wizarani wanaipata habari yake.
Ndalichako badilika huyu mama now yupo tofauti na mwendazake.
Hakuna value uliyo add hapo wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.
Kama vile yule jamaa mwenye PH.d ya maganda ya korosho.Mtu mwenye Phd ukimsikiliza ata masters tu provided kweli kaisotea na transcript zake zimejaza B’s kwenda juu kuanzia sekondari anapoongea kuna reasonability ya intelligence unaiona.
Siku zote nimekuwa nasema Ndalichako doesn’t add up kama Phd; she is just too shallow ukimsikiliza mara nyingi.
Makonda alisema yeye na Mawaziri Wana cheo sawa.Waziri yupo sahihi,
Muda wa kazi wa Serikali ni saa tisa na nusu...
Hiyo sio mara ya kwanza kuja na kauli za ovyo ovyo ambazo hazina logic yoyote.Kama vile yule jamaa mwenye PH.d ya maganda ya korosho.
mobile app[/URL]
Kwamba yeye hashindi kwenye kiyoyozi? Kwamba yeye haindeshwi kwenye gari ya kiyoyozi? Kwamba watoto wake hawasomi "international schools"??mkuu wa mkoa anamaanisha anachosema na amerudiarudia kutia msisitizo
Yule mama wa kawaida sanaHiyo sio mara ya kwanza kuja na kauli za ovyo ovyo ambazo hazina logic yoyote.
View attachment 1851226
Watu wanaamua kufanya special day siku watoto zao wanapotoka hatua moja ya elimu kwenda nyingine.
Wanawavisha tu vijoho siku ya graduation kwenye harakati za kuwatunzia kumbukumbu zao ukubwani kuifanya hiyo siku special zaidi.
Guess what? Ndalichako hataki eti majoho ni kwa sherehe za undergraduates na kuendelea; how shallow is this woman.
Huwa anatoa kauli kutokana na mtazamo wake tu (moral views of things) not weighing the pros and cons on practical side of her decision/statement.
Mkuu wa mkoa hayuko pekee mpaka kamtolea uvivu in maana kuna watu wengi washachoka kusikiliza kauli zake za kipuuzi.
Friction at workMataka awaasa wananchi wampuuze waziri wa elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye wa to to wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu afu system inakuangalia tu.
View attachment 1851200
Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana! tokea aingie wizarani ni kufitinisha tu wenzake!
Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara wizarani wanaipata habari yake.
Ndalichako badilika Mama samia yupo tofauti na mwendazake.
Hakuna value uliyo add hapo wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.
Tabia ya kuwafitinisha wenzako waondolewe kwenye uteuzi acha mara 1.
Wewe kwa akili hizi ni Sifuri, Kuna mkoa unaitwa "Songea"Swala la Elimu yetu kufanywa kama mpira wa danadana na kila mmoja kuwa anachezea, ni makosa makubwa sana, mwongozo wa pamoja uko wapi?
Napingana na huyo mkuu wa mkoa wenu pendwa, Inakuweje awe na mpango wa kivyake vyake?
Mkuu wa mkoa wa Songea naye awe na matako yake, na wa mikoa mingine, tutakuwa taifa la aina gani?
Amejiharibia sana huyu, hajaweza kudhibiti ulimi wake, yawezekana nia yake ni njema lakini hajatumia diplomasia kumnanga kiongozi mwenzake jukwaanniKwamba yeye hashindi kwenye kiyoyozi? Kwamba yeye haindeshwi kwenye gari ya kiyoyozi? Kwamba watoto wake hawasomi "international schools"??
CCM wanafiki sana sana, wacha wararuane