Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Vile vita vya niwadini yetu kwa huyu Mama Prof tangu akiwa Taasisi ya Tume ya Elimu pale Kijitonyama bado mnaviendeleza. Safari hii mnatumia pandikizi lenu hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huo ndio mgongano wa mamlaka na majukumu ya kazi. Haya ndiyo matatizo ya viongozi kutojua kuwa wanawajibika kwa nani. Wote ni wanasiasa wa Chama kimoja ambao wajibu wao ni kusimamia sera kwenye Serikali ya JAMUHURI YA MUUNGANO WATANZANIA. Aidha SJMT ina Serikali mbili katika mipango yake ya maendeleo, kuna Serikali Kuu na Serikali za Mitaa, hapa ndipo kuna mwingiliano katika utendaji, inaonekana Serikali Kuu imeimeza Serikali za Mitaa na hadi kupelekea vyazo vyake vya mapato kuchukuliwa na Serikali Kuu, na kupelekea kutotimiza vyema shughuli zake za maendeleo kwenye eneo lake la kimamlaka.Mtaka yupo sahihi kuhusu Kambi zake. Lakini approach ya kumjibu waziri, yaani mteule wa rais hivi kuna mushkeli kidogo. Labda yupo undercover ili kumexpose waziri kurahisisha uamuzi wa mamlaka
Ungekuwa unafuata viwango vya dunia usingekuwa mbali sana. Kaone!Hakuna syllabus duniani yenye mfumo wa muda wa ziada.
Walimu wetu Tanzania ni vilaza.
Jikite kwenye mada, achana na maisha binafsi ya watuBibi kama yule bado anashinda salon kuondoa mvi ili atembee na vijana. Hovyo sn
Afadhali huko Shule za Msingi inaweza kuleta maana, maana huko ni mwendo wa kusoma Kani mbinuo, Lensi, Barehe ...shule ya msingi phys-chem-bio yamechanganywa na kuitwa SAYANSI.
Sio privatezote ni shule za bweni, au unamaanisha hadi shule za kutwa(day) nazo wanasoma hadi usiku?Google vijijini?
Ambako hata mtandao wa simu hakuna!
Are you serious?
Shule za private watoto wa wakubwa wanasoma mpaka saa 11jioni, kisha wanarudi darasani saa 1.30 usiku mpaka saa 3.45 usiku.
Mbona Waziri hawazuii?
Au anafurahishwa na Division 4 na Zero za Sekondari za Kata?
Sasa kuna shida ipi watoto kujibidisha muda zaidi ili wajisomee baada ya masaa ya kawaida ya masomo?.
Kiongozi lazima tuanze na maisha yako binafsi, huwezi ukawa unalewa unajikojolea tukakuacha eti sababu unatekeleza majukumu yako vizuri.Jikite kwenye mada, achana na maisha binafsi ya watu
Na hiki ndio mimi pia nilitaka kusema. Najua hata huyo mtaka watoto wake pia wanasoma shule nzuri..Nakubaliana na wewe kwamba RC Mtaka hakutakiwa kumshambulia Waziri Ndalichako waziwazi kana kwamba hawatumikii serikali moja.
..Mtaka angeweza kuwaambia waalimu na wanafunzi waendelee na kambi zao za mafunzo ya ziada, na yeye kama RC wao atakwenda kuzungumza na Waziri wa Elimu ili kuweka mambo sawa.
..Mambo ya international school, sijui gari yenye kiyoyozi, etc etc hayakupaswa kuzungumzwa na RC mwenye heshima zake kama Mh.Mtaka.
Ebu tuambie kwanza kwa Sheria ipi mtu akienda salon au kufanya mapenzi na mtu uliomzidi umri imekuwa kosa? ili Ndalichako awe amefanya kosaKiongozi lazima tuanze na maisha yako binafsi, huwezi ukawa unalewa unajikojolea tukakuacha eti sababu unatekeleza majukumu yako vizuri.
Huu uongo mmeutoa wapi? Hiyo nguvu ya umma mtaka kaipata lini? Mbona Kama huyu mtu mnamuabudu sana?Kisiasa huyo Mkuu wa mkoa kakosea sana. Alichofanya ni utovu wa nidhamu kwa serikali na Chama Cha Mapinduzi. Sema huyo RC ana nguvu kubwa sana ya umma nyuma yake... kumtumbua kizembe inaweza leta mtikisiko. Waziri angetulia zake na kufanya mambo yanayomhusu. Hii kuingilia hadi watoto wasomeje ni upumbavu kwa hadhi ya waziri.... waziri adili na mambo ya madawati, mitaala, maslahi ya walimu na mambo mengine ngazi ya kitaifa. Kambi za wanafunzi ni jambo dogo mno. Tusubiri uamuzi wa Mwenyekiti wa CCM (Rais wa JMT) katika hili.
Kuna sehemu nimesema ni kosa? ni maadili ya kaziEbu tuambie kwanza kwa Sheria ipi mtu akienda salon au kufanya mapenzi na mtu uliomzidi umri imekuwa kosa? ili Ndalichako awe amefanya kosa
Maadili ya kazi kwa mwongozo upi ?yaan kwenda salon na kufanya mapenzi na mtu uliemzidi umri uwe umekwenda kinyume na maadili?Kuna sehemu nimesema ni kosa? ni maadili ya kazi
Wote wangekuwa na akili kama yako ingekua raha Sana, hata huyo mkuu wa mkoa hii akili hana..Elimu yetu ina MATATIZO makubwa.
..Na SERIKALI ipo njia panda ktk suala hili.
..Je, waziri akiruhusu utaratibu huo ina maana watoto watakuwa hawaendi likizo na hawana ratiba za kujifunza kulingana na muongozo wa kitaalamu?
..Utaratibu wa makambi na jinsi ulivyo maarufu unaonyesha kwamba kuna tatizo ktk UFUNDISHAJI.
..Wanafunzi wangekuwa wanafundishwa inavyopaswa kusingekuwa na ulazima wa kuwa na makambi mengi kiasi hiki nchi nzima.
..Kwenye mataifa ambayo wanatoa elimu ya uhakika wanafunzi wachache ndio huhitaji msaada wa ziada. Lakini kwa hapa kwetu ni kinyume na hivyo.
..Makambi ya kujiaandaa na mitihani ni hatua ya kizimamoto. Tunatakiwa tuka-solve mzizi wa tatizo hili ili wanafunzi wote wapate ELIMU YENYE VIWANGO.
Na hiki ndio mimi pia nilitaka kusema. Najua hata huyo mtaka watoto wake pia wanasoma shule nzuri
Huo uSMART kaupata lini? Mnajitoa akili?ila huyu jamaa SMART sana
Kunywa soda popote ulipo..Nakubaliana na wewe.
..Naamini na wewe utakubaliana na mimi kwamba " makambi ya kukariri mitihani " ni matokeo ya elimu hafifu / duni inayotolewa ktk shule nyingi hapa nchini.
..Kwenye nchi za wenzetu wanafunzi hawapigi kambi kukariri mitihani, bali hupiga kambi kwa ajili ya klabu za debate, sayansi, mashindano ya hesabu, michezo, etc etc.
Cc Chige
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Waziri hajatoa agizo kwa feelings zake, ipo miongozo ya elimu. Badala ya kushambulia mtu angejikita kwenye mabadiliko kisera na nafasi hiyo anayo. Lakini pia anaweza kuwasiliana na waziri au hata Rais kwa marekebisho kama ana hoja.
Kwanini amdhalilishe waziri? Unajua matokeo ya kauli zake ikiachwa namna hii bila kuwajibika?
Nimesema wewe unajua vyema, Mbowe hata kama akiongea jambo hadharani akakosea kuna mtu pale ufipa anaweza kutoka hadharani kumkosoa akabaki salama? Uongozi una miiko yake lakini tukienda hivi mawaziri wataachia wakuu wa mikoa wafanye wanalotaka.
Mama Samia anapaswa kunyoosha rula. Huu ni utomvu wa nidhamu anapaswa kuchukua hatua ili viongozi waheshimiane otherwise tutasikia mengine na mwisho serikali kuwa dhaifu.