DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mungu wetu ni mkubwa kuliko wao, naamini atapona na atakuwa strong kuliko mwanzo.
 
Duh

Send via Quan dong fen from north Korea
 
Mweee mweeee mweeee mweeee mweee

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
[emoji107] [emoji107] [emoji107]

"The greatness of any nation lies in its fidelity to the constitution and strict adherence to the rule of law and above all respect to God" - CJ David Maraga
Haya ni maneno ya hekima sana. Ni watu waliopevuka kiakili tu watakaoweza kuona busara na hekima iliyoko ndani ya maneno haya.

Kwanini mtu atake kuondoa uhai wa mtu asiye na hatia? Ni nani atakayeishi milele hata kutaka kumuondoa Duniani mja wa Mwenyezi Mungu asiye na kosa? Waliofanya hayo, wametumwa au walijituma wenyewe?
 
just because alikuwa anaipinga serikali haimaanishi ni serikali ndiyo imefanya huo upuuzi....tusitoe conclusion kirahisi namna hiyo kwa ishu sensitive kama hii
Binadamu mara zote hudhuliwa na wabaya wake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nahisi kuna watu wanashauriana ujinga bila kujua ujinga wao una impact kubwa sana kwenye jamii tuliyo nayo. Yangu macho.
 
Wewe huwa unamwomba mungu yupi au kwa mungu wa wale wanaokula hela za maafa na rambirambi?

Mungu umponye Lissu.. Uwaaibishe maadui zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…