Kiswambuswambu
Member
- Dec 31, 2016
- 13
- 9
Ndipo tulipofikia hapa!!Wakuu,
Inadaiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma.
Updates to follow
Tumuombee apone!haya mambo ya kutishia mtu kwa riasi ni mambo ya kizamani,maana atatibiwa atapona,
Nan Anataka afanane na mtu anaesaidiwa kufikiriwa(..........kabisa wewe) unatake tufanane fikra
Lissu hana Twitter accountUngekwoti ulichokisoma jwa Lisu