DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Wamempeleka Nairobi tutawasiliana nao ikiwezekana wamlete huku matibabu ya Risasi washazoe na MTU ukipigwa tumboni hauwezi kufa ukishafika Stive Biko academic Hospital, JHB,UTH hata great Skill ya Cape Town akiletwa hapa matibabu hayo ni bure ni passport na address yako tuu..watu waliopata ajali matibabu juu ya Serikali hata update Nchi yeyote huko..
Eti aliyepigwa risasi ya tumbo hawezi kufa,acha basi sifa za kijinga Kweli unaijua risasi wewe?.Sema inategemeana ikiingia ndani ya tumbo (abdomen) imearibu organ gani na kwa kiasi gani.
Ikitokea imearibu vitu Kama bandama, ini au ata utumbo Kwa kiasi kikubwa,nafasi ya kufa nayo ni kubwa.
 
Mzee Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Chadema amekuwa ni mwepesi sana na haraka utoa pole pale yanapotokea majanga. Amekuwa kimya sana tangu litokee tukio la kupigwa risasi kwa Ndugu Lissu na watu wasiojulikana. Nini kimemkuta mzee wetu? Anasubiri nini kutoa pole?

Tunajua kwa nafasi yake angekuwa mtu wa mwanzo kutoa pole kama ilivyo kawaida yake.

70b3a563d476b1d7413678836d80b073.jpg
Umemsahau na Katibu Mkuu Chadema nae sijakutana na ujumbe wake.....
 
Mbona huulizi ni kwanini CHADEMA kama chama bado hawajatoa pole?

Wanyama wa manyoya mko wengi, mwisho kwenu Mungu anaupanga.
 
Leo saa nne wanaongea na waandishi wa habari..

Atatoa pole hapo.

Tuache mawazo ya kishetani..
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ni asubuhi nyingne tena ambayo Mungu ametupa nafasi ya kuliona jua, naomba uungane nami katika maombi haya, naamini Mungu atakubariki na kusikia kilio chako.

Baba kt jina la
Yesu,tunakushukuru kwa
ajili ya uzima unaotupa
tunajua ni kwa neema na
rehema zako eeh Mungu,
ninarudisha sifa,utukufu
na heshima kwako eeh
Mungu mtakatifu ktk jina
la Yesu kristo wa
nazateth!
Nina liinua jina lako
,ninalitukuza ee mfalme
na Mungu mwenye nguvu!
Tazama ni wakati
mwingine tena ,ninaomba
toba kwa kila jambo
nililofanya ambalo
halikupendezi Mungu,kwa
kuwaza,kunena na
kutenda!
Naomba toba kwa kila
atakaesoma
hapa,uturehemu eeh
Bwana,utusamehe neno
lako linasena, wote
tumetenda dhambi na
tumepunguliwa na
utukufu! Lkn wewe una
rehemu maelf elf
wakurudiao;
Mrehem eeh Bwana ht mtt
wako mh.Tundu lissu kwa
kila jambo alilolifanya
kinyume na mapenzi yako
na likampa adui nafasi na
mlango ,ninaomba toba
,umsamehe eeh
Bwana,ninasimama
mahali palipobomoka eeh
mfalme wa amani
,mrehem na umsamehe
eeh Bwana ,,msafish kwa
damu ya Yesu kristo wa
nazareth!
Ninaenda kinyume na kila
mipango mibaya juu yake!
Ninakataa mauti
ninakemea mauti ktk jina
la Yesu kristo wa
nazareth,nina achilia
damu ya Yesu kwenye
hiyo hospital,mpk
wanaotumika
kumuhudumia!damu ya
Yesu ikanene mema juu
yake,ninaenda kinyume na
kila mipango ya adui
,nguvu za giza ktk
ulimwengu wa Roho na
wa mwili , NINABATIRISHA
,NASAMBARATISHA KILA
VIKAO VYAO,MAANA
IMEANDIKWA'BWANA
ATABATILISHA MASHAURI
YAO' NAFUTA MIPANGO
YAO! NACHAFUA LUGHA NA
USEMI WAO ktk jina la
Yesu.AMINA
 
Aisee nilishangaa napigiwa simu kutoka kijijini huko na mzee wangu mdogo akiniuliza hili jambo na bahati mbaya sikuwa na arifa yoyote nikabisha ila nilipoingia online nikakutana na hizi habari.Lissu anafuatiliwa sana na inaweza kuwa kwa umaarufu Lissu yupo juu ya Magu au kinyume chake.

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
Mimi Nilishangaa Kuona Vitoto Vya Chekechea Vina Mtaja Huyu Jamaa
Ilibidi Nisimame.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Mzee Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Chadema amekuwa ni mwepesi sana na haraka utoa pole pale yanapotokea majanga. Amekuwa kimya sana tangu litokee tukio la kupigwa risasi kwa Ndugu Lissu na watu wasiojulikana. Nini kimemkuta mzee wetu? Anasubiri nini kutoa pole?

Tunajua kwa nafasi yake angekuwa mtu wa mwanzo kutoa pole kama ilivyo kawaida yake.

70b3a563d476b1d7413678836d80b073.jpg

Makonda, Gambo, Sirro, CDF, Lipumba, Hashim Rungwe, Ruge Mutahaba, Sugu,Tulia Ackson, Mkapa, Makamu wa Rais, Maalim Seif, Dr. Shein, Sumaye, Dr. Slaa, Nape, mutungi, Simba Chawene, Jaji Warìoba, Anna Makinda vipi bado unataka niendelee kukuorodheshea list yao ambao hawajatoa pole??????


!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Thank You Lord for everything you give Us, your Name JEHOVAH be praised for You are healing our beloved Tundu Lissu.
Amen.
Ni asubuhi nyingne tena ambayo Mungu ametupa nafasi ya kuliona jua, naomba uungane nami katika maombi haya, naamini Mungu atakubariki na kusikia kilio chako.

Baba kt jina la
Yesu,tunakushukuru kwa
ajili ya uzima unaotupa
tunajua ni kwa neema na
rehema zako eeh Mungu,
ninarudisha sifa,utukufu
na heshima kwako eeh
Mungu mtakatifu ktk jina
la Yesu kristo wa
nazateth!
Nina liinua jina lako
,ninalitukuza ee mfalme
na Mungu mwenye nguvu!
Tazama ni wakati
mwingine tena ,ninaomba
toba kwa kila jambo
nililofanya ambalo
halikupendezi Mungu,kwa
kuwaza,kunena na
kutenda!
Naomba toba kwa kila
atakaesoma
hapa,uturehemu eeh
Bwana,utusamehe neno
lako linasena, wote
tumetenda dhambi na
tumepunguliwa na
utukufu! Lkn wewe una
rehemu maelf elf
wakurudiao;
Mrehem eeh Bwana ht mtt
wako mh.Tundu lissu kwa
kila jambo alilolifanya
kinyume na mapenzi yako
na likampa adui nafasi na
mlango ,ninaomba toba
,umsamehe eeh
Bwana,ninasimama
mahali palipobomoka eeh
mfalme wa amani
,mrehem na umsamehe
eeh Bwana ,,msafish kwa
damu ya Yesu kristo wa
nazareth!
Ninaenda kinyume na kila
mipango mibaya juu yake!
Ninakataa mauti
ninakemea mauti ktk jina
la Yesu kristo wa
nazareth,nina achilia
damu ya Yesu kwenye
hiyo hospital,mpk
wanaotumika
kumuhudumia!damu ya
Yesu ikanene mema juu
yake,ninaenda kinyume na
kila mipango ya adui
,nguvu za giza ktk
ulimwengu wa Roho na
wa mwili , NINABATIRISHA
,NASAMBARATISHA KILA
VIKAO VYAO,MAANA
IMEANDIKWA'BWANA
ATABATILISHA MASHAURI
YAO' NAFUTA MIPANGO
YAO! NACHAFUA LUGHA NA
USEMI WAO ktk jina la
Yesu.AMINA
 
Akipona aelekee Marekani kwenye mkutano wa wanasheria wakongwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko ndiko hakutakiwa kwenda.
Wanasiasa wa upande uliotengwa wanazuiwa kufanya siasa, wanasheria wako katika kutishiwa maisha...tunakoelekea kila mdomo unaosema kweli utazibwa. CW R.I.P aliposema anakwenda kushughulika na mgodi wa Nyamongo matokeo tuliyaona na propaganda zikatengenezwa kama zinavyoanza kutengenezwa sasa.
Matatizo hayamalizwi kwa kutengeneza matukio ambayo yataleta matatizo. Leo hii wananchi wanalala nje baada ya kubomolewa majengo, hali mtaani zinazidi kuwa mbaya huku raia wakisifiwa ujinga wa kutofanya kazi kwa bidii kuwa ndio sababu ya kukosa kwao mapato! Je wakitishiwa wanasheria wenye kutetewa na wanasheria hao wafanyeje? Kuna jambo linajengwa na watu wasiofikiri kwa kichwa kwa kudhani wanafurahisha waliowaajiri huku wakijisahaulisha kwamba waajiri wao wakuu ni walioko mitaani.
 
Back
Top Bottom