Thibitisha kwamba sio ccmUsiongee Kama unaharisha Chooni. Una uhakika gani kwamba ni CCM? Kenge wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thibitisha kwamba sio ccmUsiongee Kama unaharisha Chooni. Una uhakika gani kwamba ni CCM? Kenge wewe!
Polisi waliomba msaada kwa mtu anayejuwa mtu au watu walio husika.Sasa kwa maneno yako ni vema ukasaidiane nao polisi ktk hilo.Maadui wakuu wa Lissu ni Timu Mbowe na Timu EL kisa uenyekiti. Wachache wameshagundua haswa ukikumbuka yaliyowapata Akina Wangwe na ZZK walipotaka kugombea uenyekiti
Jibu swali ulitaka akimbilie wapi?Kuna mahali nimesema hakufuatiliwa? Wewe ukigundua kuna gari inakufuata nyuma utakimbilia nyumbani kwako? Shida yako ushahitimisha.
Eti aliyepigwa risasi ya tumbo hawezi kufa,acha basi sifa za kijinga Kweli unaijua risasi wewe?.Sema inategemeana ikiingia ndani ya tumbo (abdomen) imearibu organ gani na kwa kiasi gani.Wamempeleka Nairobi tutawasiliana nao ikiwezekana wamlete huku matibabu ya Risasi washazoe na MTU ukipigwa tumboni hauwezi kufa ukishafika Stive Biko academic Hospital, JHB,UTH hata great Skill ya Cape Town akiletwa hapa matibabu hayo ni bure ni passport na address yako tuu..watu waliopata ajali matibabu juu ya Serikali hata update Nchi yeyote huko..
Umemsahau na Katibu Mkuu Chadema nae sijakutana na ujumbe wake.....Mzee Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Chadema amekuwa ni mwepesi sana na haraka utoa pole pale yanapotokea majanga. Amekuwa kimya sana tangu litokee tukio la kupigwa risasi kwa Ndugu Lissu na watu wasiojulikana. Nini kimemkuta mzee wetu? Anasubiri nini kutoa pole?
Tunajua kwa nafasi yake angekuwa mtu wa mwanzo kutoa pole kama ilivyo kawaida yake.
![]()
Haijawahi TokeaHabari za Lisu BBC.
Habari za Lisu VOA
Habari za Lisu K24 na CitizenTV
Habari za Lisu SABC.
Hizi ndizo channel nilizotupia macho. Zote zimetangaza habari za Lisu
Mpaka Ile Kamati Ya Madini Tumeisahau Mkuu.aiseee imegusa watu wengi sana
*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
Ukweli ni kwamba hali yake ni mahututi baadhi ya risasi zimepenya kwenye figo na bandama na kwenye inniRisasi washazoe na MTU ukipigwa tumboni hauwezi kufa
Mimi Nilishangaa Kuona Vitoto Vya Chekechea Vina Mtaja Huyu JamaaAisee nilishangaa napigiwa simu kutoka kijijini huko na mzee wangu mdogo akiniuliza hili jambo na bahati mbaya sikuwa na arifa yoyote nikabisha ila nilipoingia online nikakutana na hizi habari.Lissu anafuatiliwa sana na inaweza kuwa kwa umaarufu Lissu yupo juu ya Magu au kinyume chake.
sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
Mzee Lowassa ambaye ni mgombea urais wa Chadema amekuwa ni mwepesi sana na haraka utoa pole pale yanapotokea majanga. Amekuwa kimya sana tangu litokee tukio la kupigwa risasi kwa Ndugu Lissu na watu wasiojulikana. Nini kimemkuta mzee wetu? Anasubiri nini kutoa pole?
Tunajua kwa nafasi yake angekuwa mtu wa mwanzo kutoa pole kama ilivyo kawaida yake.
![]()
Ni asubuhi nyingne tena ambayo Mungu ametupa nafasi ya kuliona jua, naomba uungane nami katika maombi haya, naamini Mungu atakubariki na kusikia kilio chako.
Baba kt jina la
Yesu,tunakushukuru kwa
ajili ya uzima unaotupa
tunajua ni kwa neema na
rehema zako eeh Mungu,
ninarudisha sifa,utukufu
na heshima kwako eeh
Mungu mtakatifu ktk jina
la Yesu kristo wa
nazateth!
Nina liinua jina lako
,ninalitukuza ee mfalme
na Mungu mwenye nguvu!
Tazama ni wakati
mwingine tena ,ninaomba
toba kwa kila jambo
nililofanya ambalo
halikupendezi Mungu,kwa
kuwaza,kunena na
kutenda!
Naomba toba kwa kila
atakaesoma
hapa,uturehemu eeh
Bwana,utusamehe neno
lako linasena, wote
tumetenda dhambi na
tumepunguliwa na
utukufu! Lkn wewe una
rehemu maelf elf
wakurudiao;
Mrehem eeh Bwana ht mtt
wako mh.Tundu lissu kwa
kila jambo alilolifanya
kinyume na mapenzi yako
na likampa adui nafasi na
mlango ,ninaomba toba
,umsamehe eeh
Bwana,ninasimama
mahali palipobomoka eeh
mfalme wa amani
,mrehem na umsamehe
eeh Bwana ,,msafish kwa
damu ya Yesu kristo wa
nazareth!
Ninaenda kinyume na kila
mipango mibaya juu yake!
Ninakataa mauti
ninakemea mauti ktk jina
la Yesu kristo wa
nazareth,nina achilia
damu ya Yesu kwenye
hiyo hospital,mpk
wanaotumika
kumuhudumia!damu ya
Yesu ikanene mema juu
yake,ninaenda kinyume na
kila mipango ya adui
,nguvu za giza ktk
ulimwengu wa Roho na
wa mwili , NINABATIRISHA
,NASAMBARATISHA KILA
VIKAO VYAO,MAANA
IMEANDIKWA'BWANA
ATABATILISHA MASHAURI
YAO' NAFUTA MIPANGO
YAO! NACHAFUA LUGHA NA
USEMI WAO ktk jina la
Yesu.AMINA
Huko ndiko hakutakiwa kwenda.
Huyo jamaa anadhani kwa mtu kutoa pole kinafiki ndo kujinasua na u husika? Tumsamehe bure bila hata vat kwani wenye akili zao wanajumlisha moja na moja kupata tatu na wakadedend hiyo formulaSijui kwa nn ishu sensitive km hii mnaleta ujinga wenu