Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao ndio balaa,
Nikafika sehemu moja hivi wamekaa masela nikawapa Hi nikatulia pale, hua napenda kukaa na masela au wazee ili nipate habari kamili za eneo husika, basi bhana nikauliza huku mbona kila mwanamke kajazia sana wakasema siri ni mlenda na ugali dah!😀
Nikatoka hapo nikaenda mgahawa flani hivi ulikua umetulia sana, muhudumu na yeye kajazia balaa mmh! nikaagiza chakula kikaletwa wakati nakula mdogo mdogo nikashtuliwa na sauti laini ya mdada anauza manukato kumcheki kaenda hewani kidogo, ana kaushombe kwa mbali, kushuka tumboni lipo flat, chini kidogo bastola za uchokozi zimechomoza kwenye jeans nikawaza hapa inabidi ageuke nione na nyuma kupoje, nikamuomba aniitie muhudumu, akauliza kwa adabu nahitaji nini nikamwambia aongeze pilipili, akaweka bidhaa zake mezani akaelekea jikoni kwa muhudumu guyyyyys yule binti huko nyuma sijui niwaeleze vipi, yaani kishepu flani hivi kimebinuka huku kimeshikiliwa na hips za kutosha, anatembea mwendo wa maringo, mwendo wa kike, baada ya muda akaja na kisosi kina pilipili ndio nikapata wasaa wa kumuangalia kifuani oyaaaaaaaaa hajavaa braa chuchu saa 6 zinaonekana live live, akaweka kisosi mezani kwa heshima nikamwambie akae tule kama hatojali akakaa tukaanza kula pamoja, nikamuuliza vitu vingi kiufupi alisema yeye ni msukuma kwa baba amemix na unyaturu kwa mama, wazee binti mzuri plus hii baridi kali alitaka kunishawishi jambo ila ghafla nikakumbuka nimemuacha mtoto wangu mdogo nyumbani akiwa na asali wa moyo wangu, hiyo hatia ya usaliti siwezi kuibeba, nikampa hela ya soda na kumuacha aende japo mwenyewe alitamani sana kubaki tuongee au hata tubadilishane namba za simu nikamkwepa,
Hata hivyo hua sivutiwi na wenye makalio makubwa, navutiwa na petites a.k.a English figure, ila Dodoma salute wanawake wamejaaliwa neema za Allah.