Dodoma wanawake wamejazia kiunoni kushuka chini na hamkuwahi kusema!!!

Ujue kuna makabila mengi ya Mbeya hujifanya wanyaki ila sio wanyaki.

Si ajabu huyo ni kabila fulani la wachawi mno lilihamia maeneo ya ikuti(sidhani kama unakujua) wengi wao walijifanya wanyaki ili wasiuawe.
Ahahah kwa sasa tumewafukuzia milimani hukoooo
 
Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao ndio balaa,

Nikafika sehemu moja hivi wamekaa masela nikawapa Hi nikatulia pale, hua napenda kukaa na masela au wazee ili nipate habari kamili za eneo husika, basi bhana nikauliza huku mbona kila mwanamke kajazia sana wakasema siri ni mlenda na ugali dah!😀

Nikatoka hapo nikaenda mgahawa flani hivi ulikua umetulia sana, muhudumu na yeye kajazia balaa mmh! nikaagiza chakula kikaletwa wakati nakula mdogo mdogo nikashtuliwa na sauti laini ya mdada anauza manukato kumcheki kaenda hewani kidogo, ana kaushombe kwa mbali, kushuka tumboni lipo flat, chini kidogo bastola za uchokozi zimechomoza kwenye jeans nikawaza hapa inabidi ageuke nione na nyuma kupoje, nikamuomba aniitie muhudumu, akauliza kwa adabu nahitaji nini nikamwambia aongeze pilipili, akaweka bidhaa zake mezani akaelekea jikoni kwa muhudumu guyyyyys yule binti huko nyuma sijui niwaeleze vipi, yaani kishepu flani hivi kimebinuka huku kimeshikiliwa na hips za kutosha, anatembea mwendo wa maringo, mwendo wa kike, baada ya muda akaja na kisosi kina pilipili ndio nikapata wasaa wa kumuangalia kifuani oyaaaaaaaaa hajavaa braa chuchu saa 6 zinaonekana live live, akaweka kisosi mezani kwa heshima nikamwambie akae tule kama hatojali akakaa tukaanza kula pamoja, nikamuuliza vitu vingi kiufupi alisema yeye ni msukuma kwa baba amemix na unyaturu kwa mama, wazee binti mzuri plus hii baridi kali alitaka kunishawishi jambo ila ghafla nikakumbuka nimemuacha mtoto wangu mdogo nyumbani akiwa na asali wa moyo wangu, hiyo hatia ya usaliti siwezi kuibeba, nikampa hela ya soda na kumuacha aende japo mwenyewe alitamani sana kubaki tuongee au hata tubadilishane namba za simu nikamkwepa,

Hata hivyo hua sivutiwi na wenye makalio makubwa, navutiwa na petites a.k.a English figure, ila Dodoma salute wanawake wamejaaliwa neema za Allah.
Kwenye mti hakuna wajenzi?
 
Kwa kweli uliyoongea ni kweli, mimi nimeishi sana Dar na sasa nipo Dodoma. Tofauti tu huku UTI sugu, kisonono, pangusa na kaswende ni order of the day! Ukijisahau ukitembea kavu tu (kutokana utafiti usio rasmi nilioufanya kwa jamaa zangu wengi) haipiti dakika 20 unaanza kupata muwasho, harara na vichomichomi kwenye dushe!

Ninahisi condomization huku ni msamiati mgumu sana!
Hahaha
 
Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao ndio balaa,

Nikafika sehemu moja hivi wamekaa masela nikawapa Hi nikatulia pale, hua napenda kukaa na masela au wazee ili nipate habari kamili za eneo husika, basi bhana nikauliza huku mbona kila mwanamke kajazia sana wakasema siri ni mlenda na ugali dah!😀

Nikatoka hapo nikaenda mgahawa flani hivi ulikua umetulia sana, muhudumu na yeye kajazia balaa mmh! nikaagiza chakula kikaletwa wakati nakula mdogo mdogo nikashtuliwa na sauti laini ya mdada anauza manukato kumcheki kaenda hewani kidogo, ana kaushombe kwa mbali, kushuka tumboni lipo flat, chini kidogo bastola za uchokozi zimechomoza kwenye jeans nikawaza hapa inabidi ageuke nione na nyuma kupoje, nikamuomba aniitie muhudumu, akauliza kwa adabu nahitaji nini nikamwambia aongeze pilipili, akaweka bidhaa zake mezani akaelekea jikoni kwa muhudumu guyyyyys yule binti huko nyuma sijui niwaeleze vipi, yaani kishepu flani hivi kimebinuka huku kimeshikiliwa na hips za kutosha, anatembea mwendo wa maringo, mwendo wa kike, baada ya muda akaja na kisosi kina pilipili ndio nikapata wasaa wa kumuangalia kifuani oyaaaaaaaaa hajavaa braa chuchu saa 6 zinaonekana live live, akaweka kisosi mezani kwa heshima nikamwambie akae tule kama hatojali akakaa tukaanza kula pamoja, nikamuuliza vitu vingi kiufupi alisema yeye ni msukuma kwa baba amemix na unyaturu kwa mama, wazee binti mzuri plus hii baridi kali alitaka kunishawishi jambo ila ghafla nikakumbuka nimemuacha mtoto wangu mdogo nyumbani akiwa na asali wa moyo wangu, hiyo hatia ya usaliti siwezi kuibeba, nikampa hela ya soda na kumuacha aende japo mwenyewe alitamani sana kubaki tuongee au hata tubadilishane namba za simu nikamkwepa,

Hata hivyo hua sivutiwi na wenye makalio makubwa, navutiwa na petites a.k.a English figure, ila Dodoma salute wanawake wamejaaliwa neema za Allah.
Mzeya hutaki mitulinga ya 5gb unataka 1 gb
 
Back
Top Bottom