Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
- Thread starter
- #61
Unataka kusemaje na hiyo picha ya mke wa Mondišhukupiga hata picha mkuuView attachment 3375822
Unataka kusemaje na hiyo picha ya mke wa Mondišhukupiga hata picha mkuuView attachment 3375822
Usikute umepona yake machangu ealiyohamia ambayo miguu imevimba kwa ajili ya vidonge?Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao ndio balaa,
Nikafika sehemu moja hivi wamekaa masela nikawapa Hi nikatulia pale, hua napenda kukaa na masela au wazee ili nipate habari kamili za eneo husika, basi bhana nikauliza huku mbona kila mwanamke kajazia sana wakasema siri ni mlenda na ugali dah!š
Nikatoka hapo nikaenda mgahawa flani hivi ulikua umetulia sana, muhudumu na yeye kajazia balaa mmh! nikaagiza chakula kikaletwa wakati nakula mdogo mdogo nikashtuliwa na sauti laini ya mdada anauza manukato kumcheki kaenda hewani kidogo, ana kaushombe kwa mbali, kushuka tumboni lipo flat, chini kidogo bastola za uchokozi zimechomoza kwenye jeans nikawaza hapa inabidi ageuke nione na nyuma kupoje, nikamuomba aniitie muhudumu, akauliza kwa adabu nahitaji nini nikamwambia aongeze pilipili, akaweka bidhaa zake mezani akaelekea jikoni kwa muhudumu guyyyyys yule binti huko nyuma sijui niwaeleze vipi, yaani kishepu flani hivi kimebinuka huku kimeshikiliwa na hips za kutosha, anatembea mwendo wa maringo, mwendo wa kike, baada ya muda akaja na kisosi kina pilipili ndio nikapata wasaa wa kumuangalia kifuani oyaaaaaaaaa hajavaa braa chuchu saa 6 zinaonekana live live, akaweka kisosi mezani kwa heshima nikamwambie akae tule kama hatojali akakaa tukaanza kula pamoja, nikamuuliza vitu vingi kiufupi alisema yeye ni msukuma kwa baba amemix na unyaturu kwa mama, wazee binti mzuri plus hii baridi kali alitaka kunishawishi jambo ila ghafla nikakumbuka nimemuacha mtoto wangu mdogo nyumbani akiwa na asali wa moyo wangu, hiyo hatia ya usaliti siwezi kuibeba, nikampa hela ya soda na kumuacha aende japo mwenyewe alitamani sana kubaki tuongee au hata tubadilishane namba za simu nikamkwepa,
Hata hivyo hua sivutiwi na wenye makalio makubwa, navutiwa na petites a.k.a English figure, ila Dodoma salute wanawake wamejaaliwa neema za Allah.
Tutembelee Dodoma kuna vivutio vingi sanaResearch yako inatufundisha nn
Weeeeeeh! hao machangu wamehamia kutokea wapi?Usikute umepona yake machangu ealiyohamia ambayo miguu imevimba kwa ajili ya vidonge?
Ndo mpango mzima, easy to carryškumbe tupo wengi
SaradalamaWeeeeeeh! hao machangu wamehamia kutokea wapi?
Eeh kwani wanashida gani Wagogo hadi nikae kwa kutulia tujuzane% kubwa ya hao wanawake uliowaona huko waliojazia makalio na hizo hips ni wagogo š na wagogo wengi ndio wapo hivyo, sasa jichanganye kijana kaa kwa kutulia.
Nijue kwani mimi mPersian jamaniAyatollah anakaribia kutapika damu huko, hata hilo unajua kweli? Ww na makalio tu
Ahsante dear, hili baridi litanikimbiza jamani hadi nahisi nagandaš„¶Mariposa karibu sana Makao Makuu..!!
Daaaah š„²Kama umeacha mali kama io basi apo kwenye medula kuna nati imelegea
Cheers Bantu Lady š„@Mariposa again š„ ššš
Inaonekana wewe ni mpiga nyeto mkubwa wallahišGuys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao ndio balaa,
Nikafika sehemu moja hivi wamekaa masela nikawapa Hi nikatulia pale, hua napenda kukaa na masela au wazee ili nipate habari kamili za eneo husika, basi bhana nikauliza huku mbona kila mwanamke kajazia sana wakasema siri ni mlenda na ugali dah!š
Nikatoka hapo nikaenda mgahawa flani hivi ulikua umetulia sana, muhudumu na yeye kajazia balaa mmh! nikaagiza chakula kikaletwa wakati nakula mdogo mdogo nikashtuliwa na sauti laini ya mdada anauza manukato kumcheki kaenda hewani kidogo, ana kaushombe kwa mbali, kushuka tumboni lipo flat, chini kidogo bastola za uchokozi zimechomoza kwenye jeans nikawaza hapa inabidi ageuke nione na nyuma kupoje, nikamuomba aniitie muhudumu, akauliza kwa adabu nahitaji nini nikamwambia aongeze pilipili, akaweka bidhaa zake mezani akaelekea jikoni kwa muhudumu guyyyyys yule binti huko nyuma sijui niwaeleze vipi, yaani kishepu flani hivi kimebinuka huku kimeshikiliwa na hips za kutosha, anatembea mwendo wa maringo, mwendo wa kike, baada ya muda akaja na kisosi kina pilipili ndio nikapata wasaa wa kumuangalia kifuani oyaaaaaaaaa hajavaa braa chuchu saa 6 zinaonekana live live, akaweka kisosi mezani kwa heshima nikamwambie akae tule kama hatojali akakaa tukaanza kula pamoja, nikamuuliza vitu vingi kiufupi alisema yeye ni msukuma kwa baba amemix na unyaturu kwa mama, wazee binti mzuri plus hii baridi kali alitaka kunishawishi jambo ila ghafla nikakumbuka nimemuacha mtoto wangu mdogo nyumbani akiwa na asali wa moyo wangu, hiyo hatia ya usaliti siwezi kuibeba, nikampa hela ya soda na kumuacha aende japo mwenyewe alitamani sana kubaki tuongee au hata tubadilishane namba za simu nikamkwepa,
Hata hivyo hua sivutiwi na wenye makalio makubwa, navutiwa na petites a.k.a English figure, ila Dodoma salute wanawake wamejaaliwa neema za Allah.
Somo limeeleweka, mnisamehe wadau šDr. Mariposa siku nyingine hata kama huna shida na namba we chukua tu alafu unatupasia ššš
Itakua huangalii bhana Eve mbona kila kona ya jiji naona wezere za maanaHiki anachokisema mariposa ni mabadiliko ya tabia ya Nchi au???
Nimekaa Dodoma miaka minne mbona sijawahi kuona hiki kinachosimuliwa, mjini hadi huko vijijini....au tumpongeze mama kwa kuleta mashape makao makuu bro š
Lakini hii ni kote hata Dar, mchana totoz chache usiku ukitembelea maeneo yao kama wameshushwa vile,Niseme tu ukweli,
huwa nikitembea mchana sioni watoto wakali wa kushtua, ila usiku sehemu za kujidai ndiyo unaona visu, huwa najiuliza hawa watu huwa wanajificha wapi mchana..!!
Nikaambiwa kukiwa na matukio ya Kiserikali, wajasiriamali kutoka sehemu mbalimbali wanaivamia mbuga bro, dodoma kama mbele..!