Dodoma wanawake wamejazia kiunoni kushuka chini na hamkuwahi kusema!!!

Dodoma wanawake wamejazia kiunoni kushuka chini na hamkuwahi kusema!!!

Dunia Kijiji(Teknolojia) Na Kwa Sasa Muingiliano Wa Watu Ni Mkubwa Na Breeds Zinachanganywa Haswa....Si Vijijini Wala Mijini....Lakini Pia Asili(Na Siku Zote Asili Inavutia Mnoo),,Ya Wanawake Zetu Wa Kibantu Ni Maumbo Ya Mazuri Mnoo,,Yakuvutia Mnoo,,Na Yanapagawisha Haswaa.."I Just Say Helloooo!!!The Holy Bantu Ladies....!!!Love Them Mnoo....😍😍😍
 
Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao ndio balaa,

Nikafika sehemu moja hivi wamekaa masela nikawapa Hi nikatulia pale, hua napenda kukaa na masela au wazee ili nipate habari kamili za eneo husika, basi bhana nikauliza huku mbona kila mwanamke kajazia sana wakasema siri ni mlenda na ugali dah!😀

Nikatoka hapo nikaenda mgahawa flani hivi ulikua umetulia sana, muhudumu na yeye kajazia balaa mmh! nikaagiza chakula kikaletwa wakati nakula mdogo mdogo nikashtuliwa na sauti laini ya mdada anauza manukato kumcheki kaenda hewani kidogo, ana kaushombe kwa mbali, kushuka tumboni lipo flat, chini kidogo bastola za uchokozi zimechomoza kwenye jeans nikawaza hapa inabidi ageuke nione na nyuma kupoje, nikamuomba aniitie muhudumu, akauliza kwa adabu nahitaji nini nikamwambia aongeze pilipili, akaweka bidhaa zake mezani akaelekea jikoni kwa muhudumu guyyyyys yule binti huko nyuma sijui niwaeleze vipi, yaani kishepu flani hivi kimebinuka huku kimeshikiliwa na hips za kutosha, anatembea mwendo wa maringo, mwendo wa kike, baada ya muda akaja na kisosi kina pilipili ndio nikapata wasaa wa kumuangalia kifuani oyaaaaaaaaa hajavaa braa chuchu saa 6 zinaonekana live live, akaweka kisosi mezani kwa heshima nikamwambie akae tule kama hatojali akakaa tukaanza kula pamoja, nikamuuliza vitu vingi kiufupi alisema yeye ni msukuma kwa baba amemix na unyaturu kwa mama, wazee binti mzuri plus hii baridi kali alitaka kunishawishi jambo ila ghafla nikakumbuka nimemuacha mtoto wangu mdogo nyumbani akiwa na asali wa moyo wangu, hiyo hatia ya usaliti siwezi kuibeba, nikampa hela ya soda na kumuacha aende japo mwenyewe alitamani sana kubaki tuongee au hata tubadilishane namba za simu nikamkwepa,


Hata hivyo hua sivutiwi na wenye makalio makubwa, navutiwa na petites a.k.a English figure, ila Dodoma salute wanawake wamejaaliwa neema za Allah.
Kutamani Nako ni kuzini mkuu! Pole sana.
 
Nimekaa dom miaka zaidi ya 7 pia mpwapwa ukitoa wanachuo hakuna kazi kabisa , pisi zipo kondoa kwa warangi kuna fimbo ni za moto wewe ukitaka zipata zinunulie ndala na msosi uwepo unapewa kirahisi mno.
Ndala dah 😀 ila Warangi mimi sioni uzuri wao au mnadatishwa na weupe wao?
 
Back
Top Bottom