Dodoma wanawake wamejazia kiunoni kushuka chini na hamkuwahi kusema!!!

Weusi wao wa kuteleza, warefu wenye umbo namba nane, aloo acha NITEMBEE hii nchi imebarikiwa vingi
hapana bariadi wale wanyantuzu ni weupe Peee! hawana doa! ila ndo hivo wengi wao hawajatulia, viburi! maana wanyantuzu wenyew huwa wanajiona wapo tofauti na wasukuma wengine..wenyew huwa ni weupe mpaka wanaume
 
Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao ndio balaa,

Nikafika sehemu moja hivi wamekaa masela nikawapa Hi nikatulia pale, hua napenda kukaa na masela au wazee ili nipate habari kamili za eneo husika, basi bhana nikauliza huku mbona kila mwanamke kajazia sana wakasema siri ni mlenda na ugali dah!😀

Nikatoka hapo nikaenda mgahawa flani hivi ulikua umetulia sana, muhudumu na yeye kajazia balaa mmh! nikaagiza chakula kikaletwa wakati nakula mdogo mdogo nikashtuliwa na sauti laini ya mdada anauza manukato kumcheki kaenda hewani kidogo, ana kaushombe kwa mbali, kushuka tumboni lipo flat, chini kidogo bastola za uchokozi zimechomoza kwenye jeans nikawaza hapa inabidi ageuke nione na nyuma kupoje, nikamuomba aniitie muhudumu, akauliza kwa adabu nahitaji nini nikamwambia aongeze pilipili, akaweka bidhaa zake mezani akaelekea jikoni kwa muhudumu guyyyyys yule binti huko nyuma sijui niwaeleze vipi, yaani kishepu flani hivi kimebinuka huku kimeshikiliwa na hips za kutosha, anatembea mwendo wa maringo, mwendo wa kike, baada ya muda akaja na kisosi kina pilipili ndio nikapata wasaa wa kumuangalia kifuani oyaaaaaaaaa hajavaa braa chuchu saa 6 zinaonekana live live, akaweka kisosi mezani kwa heshima nikamwambie akae tule kama hatojali akakaa tukaanza kula pamoja, nikamuuliza vitu vingi kiufupi alisema yeye ni msukuma kwa baba amemix na unyaturu kwa mama, wazee binti mzuri plus hii baridi kali alitaka kunishawishi jambo ila ghafla nikakumbuka nimemuacha mtoto wangu mdogo nyumbani akiwa na asali wa moyo wangu, hiyo hatia ya usaliti siwezi kuibeba, nikampa hela ya soda na kumuacha aende japo mwenyewe alitamani sana kubaki tuongee au hata tubadilishane namba za simu nikamkwepa,

Hata hivyo hua sivutiwi na wenye makalio makubwa, navutiwa na petites a.k.a English figure, ila Dodoma salute wanawake wamejaaliwa neema za Allah.
Kwa hio unataka tufanyaje sasa kwa wewe kuchunguza wanawake Dodoma?
 
Mzee wezele za wanyaki hazina mfano.

Siku hizi kidogo naona zinapungua kwasababu ya kuingiza uzungu mwingi huko kwao, ila bado wezele zao ni hatari na nusu.
Unanikumbusha...
Ninesoma na mdada flan mmoja anaitwa jackline mwingn jina nimesahau ila wana matako wale watu aiseee..

Sema nashangaa yule bi mdashi wa kambo hakuwa hvo aiseee
 
Guys nipo Dodoma kwa muda, sasa jana nikapata wasaa wa kutembea tembea mitaani nijionee mji/jiji, basi nikawa napita chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa kila mwanamke ninayemuona kajazia makalio na miguu, nikadhani labda hawa vijana wamevaa vigodoro nikaanza kuwaangalia wanawake watu wazima hao ndio balaa,

Nikafika sehemu moja hivi wamekaa masela nikawapa Hi nikatulia pale, hua napenda kukaa na masela au wazee ili nipate habari kamili za eneo husika, basi bhana nikauliza huku mbona kila mwanamke kajazia sana wakasema siri ni mlenda na ugali dah!😀

Nikatoka hapo nikaenda mgahawa flani hivi ulikua umetulia sana, muhudumu na yeye kajazia balaa mmh! nikaagiza chakula kikaletwa wakati nakula mdogo mdogo nikashtuliwa na sauti laini ya mdada anauza manukato kumcheki kaenda hewani kidogo, ana kaushombe kwa mbali, kushuka tumboni lipo flat, chini kidogo bastola za uchokozi zimechomoza kwenye jeans nikawaza hapa inabidi ageuke nione na nyuma kupoje, nikamuomba aniitie muhudumu, akauliza kwa adabu nahitaji nini nikamwambia aongeze pilipili, akaweka bidhaa zake mezani akaelekea jikoni kwa muhudumu guyyyyys yule binti huko nyuma sijui niwaeleze vipi, yaani kishepu flani hivi kimebinuka huku kimeshikiliwa na hips za kutosha, anatembea mwendo wa maringo, mwendo wa kike, baada ya muda akaja na kisosi kina pilipili ndio nikapata wasaa wa kumuangalia kifuani oyaaaaaaaaa hajavaa braa chuchu saa 6 zinaonekana live live, akaweka kisosi mezani kwa heshima nikamwambie akae tule kama hatojali akakaa tukaanza kula pamoja, nikamuuliza vitu vingi kiufupi alisema yeye ni msukuma kwa baba amemix na unyaturu kwa mama, wazee binti mzuri plus hii baridi kali alitaka kunishawishi jambo ila ghafla nikakumbuka nimemuacha mtoto wangu mdogo nyumbani akiwa na asali wa moyo wangu, hiyo hatia ya usaliti siwezi kuibeba, nikampa hela ya soda na kumuacha aende japo mwenyewe alitamani sana kubaki tuongee au hata tubadilishane namba za simu nikamkwepa,

Hata hivyo hua sivutiwi na wenye makalio makubwa, navutiwa na petites a.k.a English figure, ila Dodoma salute wanawake wamejaaliwa neema za Allah.
Umalaya tu
 
Zile za Wanyaki naona zimebinuka tu hazina hips wala udambwi udambwi, za Wasukuma na Wahaya ndio kasheshe namba 8 yenyewe
Udambwidambwi upo sana mkuu, wale watoto mitako wanayo ila hawajui kuitumia hadi wanaiharibu.

Wahaya ni big Yes, wana maumbo sana ila sura za baba kama ndgu zao wanyaki.
 
Unanikumbusha...
Ninesoma na mdada flan mmoja anaitwa jackline mwingn jina nimesahau ila wana matako wale watu aiseee..

Sema nashangaa yule bi mdashi wa kambo hakuwa hvo aiseee
Ujue kuna makabila mengi ya Mbeya hujifanya wanyaki ila sio wanyaki.

Si ajabu huyo ni kabila fulani la wachawi mno lilihamia maeneo ya ikuti(sidhani kama unakujua) wengi wao walijifanya wanyaki ili wasiuawe.
 
Back
Top Bottom