Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Kitu ambacho Polepole hakijui ni HANA MTAJI WA WATU wala USHAWISHI WA KISIASA.
Husisahau kuwa na Ile TV yake kubwa aliyokuwa anaitumia kwenye shule yake imechukuliwa. Naona tunakaribia kuona uchi wa kuku kwa aina ya upepo huu unaovuma CCM.Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
View attachment 2041847
Tangu nchi hii ianze elimu holela vijana wetu wanaharibu sana lugha ya kiswahili.Dhamani [emoji777]
Thamani [emoji3581]
Hivi ni haujui kuandika au unakosea kusudi. Me nakerekwa na watu wanaoandika kwa kukosea makusudi. [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Victorie ndiyo imekuwa hivi?😂😂😂Sukumagang ngoja tujipange. Hao kina Samia na kundi lake tutawatoa bleed hata kama walishagota menopause. Si kwa kumwonea Polepole namna hii.
Nilidhani wasiojulikana wamekarefusha aisee.Wahuni bhana, hawawezi kushindana kwa hoja. 😂
umeandika kwa kufuata upepo!!! umeandika kijinga!!! una uhakika alifurahia? au una lingine kwa polepole, liseme basiKarma is a bitch .
Wakati kina Nape wanashikiwa bastola alikuwa anachekea ,kina lissu wanaopigwa risasi anaona poa .
Ni funzo kubwa ,alisema kwa kejeli Lissu anakaa na bwana zake kakimbia nchi ,bila shaka kwa mda huu akili zinaanza kumkaa
Yaani wewe acha tu.Victorie ndiyo imekuwa hivi?😂😂😂
watu anao tena ni vijana na viongoziKitu ambacho Polepole hakijui ni HANA MTAJI WA WATU wala USHAWISHI WA KISIASA.
Tanga hirizi za kumwaga siyo?Unauliza hirizi Tanga?
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
View attachment 2041847
HahahaaaaZaidi ya kuona vitu kukosa mpangilio, Picha hii haisemi lolote. Labda aweke picha ya kabla na baada ya wizi.
Poleni sana.Yaani wewe acha tu.
Wahuni wanatapatapa. #kataaWahuniHabari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
View attachment 2041847
Watu anao kwa kweli. Tena ukitokea uchaguzi wa haki leo Samia vs Polepole. Polepole anashinda tena kwa kishindo.watu anao tena ni vijana na viongozi
negative person!!! you will never be happyYeye Polepole wakati akiwa na kiburi kwenye utawala wa kidhalimu wa Magufuli alikuwa anajibu kwa hoja? Tena alitakiwa akamatwe atobolewe macho na hao majizi wenzake wa CCM, hii itamsaidia kuvuna matunda ya siasa chafu alizopandikiza yeye na Magufuli.
Labda atashinda hapo Chato.Watu anao kwa kweli. Tena ukitokea uchaguzi wa haki leo Samia vs Polepole. Polepole anashinda tena kwa kishindo.
Ndiyo habari ya mjini kwa sasa na polepole anaelekea central police dodoma kutoa taarifaMkuu unahakika na unacho kinena au unatulisha matango pori tu.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app