Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Sio kajiibia mwenyewe kweli? Mbinu hizi walizi asisi wao wenyewe. Alipokua kwenye hatamu za uongozi na wenzake walikua wanawadhihaki watu waliokua wakitekwa eti wanajiteka wenyewe ili wapate attention ya watu!!!!!! Sasa naye ndio analipwa pengine. Malipo ni duniani ujue
 
Kitu ambacho Polepole hakijui ni HANA MTAJI WA WATU wala USHAWISHI WA KISIASA.

Hitimisho hili umelipataje? Kama ni kweli mbona wenzie wanamhaha; kama hana madhara kwa ccm wamuache afundishe shule yake kwani mnasema hana wafuasi!!
 
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa


View attachment 2041847
Husisahau kuwa na Ile TV yake kubwa aliyokuwa anaitumia kwenye shule yake imechukuliwa. Naona tunakaribia kuona uchi wa kuku kwa aina ya upepo huu unaovuma CCM.
 
Dhamani [emoji777]

Thamani [emoji3581]



Hivi ni haujui kuandika au unakosea kusudi. Me nakerekwa na watu wanaoandika kwa kukosea makusudi. [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Tangu nchi hii ianze elimu holela vijana wetu wanaharibu sana lugha ya kiswahili.

Sasa hivi maneno kama dhana wanasema zana; thamani wanasema samani; dhamana wanasema zamana; kurithi wanasema kurisi; hafai wanasema afai; hawezi wanasema awezi nk. Yaani mambo ni hovyo kabisa.

Inabidi wizara ya elimu irudishe ule utaratibu wa zamani kwamba mtu akifeli kiswahili form IV basi akiajiriwa hukuna kupanda cheo mpaka afaulu, na kama ataendelea form V basi arudie mtihani wa kiswahili na akifeli tena asiruhusiwe kuendelea na masomo ya high school.

Vinginevyo hali ni mbaya sana hivi sasa.
 
Karma is a bitch .

Wakati kina Nape wanashikiwa bastola alikuwa anachekea ,kina lissu wanaopigwa risasi anaona poa .

Ni funzo kubwa ,alisema kwa kejeli Lissu anakaa na bwana zake kakimbia nchi ,bila shaka kwa mda huu akili zinaanza kumkaa
umeandika kwa kufuata upepo!!! umeandika kijinga!!! una uhakika alifurahia? au una lingine kwa polepole, liseme basi
 
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa


View attachment 2041847

Polepole ahitaji kujua walipokuwa Kingai, Jumanne, Mahita, Goodluck au Msemwa siku ya tukio.

Hao ni wale ndugu wasiokuwa na mipaka rasmi ya kazi.

Hala hala asipoangalia mbona atajikuta akining'ng'inia kwenye bomba kama popo!
 
kama ni yeye basi anaishi ghetto
Maana kama alifika kuwa na vyeo vile hakuna hata cctv ya $400? anapoishi

Hayanihusu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yeye Polepole wakati akiwa na kiburi kwenye utawala wa kidhalimu wa Magufuli alikuwa anajibu kwa hoja? Tena alitakiwa akamatwe atobolewe macho na hao majizi wenzake wa CCM, hii itamsaidia kuvuna matunda ya siasa chafu alizopandikiza yeye na Magufuli.
negative person!!! you will never be happy
 
Back
Top Bottom