Pesa ya kumsomesha mwanae elimu bure kuwa inatokana na hizo ndege Hilo nalo haiwezi Elewa?Leo hii mwananchi wa buyenzi au yule wa ihembe ndani anahangaika na kutafuta angalau mlo mmoja tu wa siku unamwambia habari za Dream liner, Bombardier hawezi kukuelewa.
Umempatia sana huyo gambaChukua chai unywe usijekosa hamu ya kula bure
TutaziwekaMkuu picha usisahau
Hawa buku saba, hawachelewi kubweka
Anasomeshwa na kodi za Watanzania, wacha kuwa zumbukukuPesa ya kumsomesha mwanae elimu bure kuwa inatokana na hizo ndege Hiyo nalo haiwezi Elewa?
Muwe mnatembea na chupa ya maji ya uhaiUbwabwa wake anaweka chumvi nyingi mno
Na mimi nimewaza hivyo hivyo kuwa sooner or later ITV wataundiwa zengwewenzako wako TCRA wanapanga namna ya kuikomesha ITV wewe unakenua tu meno ! zile DK 45 zimeharibu ccm kwa 96% , si mchezo .
Nilikuwa pub fulani hivi muda ule , kuna mtu kanywa bia 7 kwa nusu saa tu bila kujielewa kutokana na nondo za Lissu , uzuri ni kwamba alipoletewa bili hakubisha
Kwani ndege haziingizi kodi kwenye kila tiketi inayokatwa?Anasomeshwa na kodi za watanzania, wacha kuwa zumbukuku
Jana kawaagiza wafuasi wake kuwa muwe mnatembea na ndizi mbivu tayari kwa kuufinya wali.Rungwe yuko wapi? Mbona anatufanyia hivi wafuasi wake?
Jana kawaagiza wafuasi wake kuwa muwe mnatembea na ndizi mbivu tayari kwa kuufinya wali.Rungwe yuko wapi? Mbona anatufanyia hivi wafuasi wake?
[emoji23]Muwe mnatembea na chupa ya maji ya uhai
Wawafungie kwa Lipi? Lisu aliongea vitu vya kawaida vya chini vilivyo below sea level. Wala hakuongea chochote kizitoNa mimi nimewaza hivyo hivyo kuwa sooner or later ITV wataundiwa zengwe
Mie namsubiri Mwanza, niufinye.Jana kawaagiza wafuasi wake kuwa muwe mnatembea na ndizi mbivu tayari kwa kuufinya wali.
Zilinunuliwa na pesa za walipa kodiKwani ndege haziingizi kodi kwenye kila tiketi inayokatwa?
Halafu wanakwenda kwa hiali yao bila kushirutishwa na mkuu wa chuoNimepata taarifa, wanavyuo mamia kwa mamia. Wanamsubiri Lissu. Niyeye2020.
Shirika lenyewe linajiendesha kwa hasara, hizo hela za kuchangia elimu bure watoe wapiPesa ya kumsomesha mwanae elimu bure kuwa inatokana na hizo ndege Hilo nalo haiwezi Elewa?
Kama upo mwanza wewe jiandae kabisa na sato wa kukaanga tuMie namsubiri Mwanza, niufinye.
Zimepaki pale utadhani zipo kwenye maonyeshoShirika lenyewe linajiendesha kwa hasara, hizo hela za kuchangia elimu bure watoe wapi
Kinachoniuma madeni ya maamuzi ya kijinga, tunalipia sisi tunaoitwa WANYONGE kila sikuZimepaki pale utadhani zipo kwenye maonyesho