Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Nyie bavicha hamna hata kadi za kupigia kura , sijui wenu mtampaje kuraCdm haijawahi kufeli popote, siyo kama ccm inayo tembelea nyota ya waimba taarabu na bongo fleva ( wafuga free masons)
Mkuu unamtesa unafikiri anajua kingereza ?! Neno analojua ni 'pathetic'Miradi ya ndege ni liability. It is a pride business; and for Pyrrhic victory. Shame on Magu-fail for his myopic vision.
Ndoto ya ovyooooLissu ndiye Rais wenu kuanzia October
Wewe haupo DodomaUshirini ?! Mimi,mke wangu,Dada wa kazi na majirani 5 tumejiandaa kwenda kumsikiliza mbeba maono kijiwe Cha boda hapa Kwetu wote wanaoenda ...kwa utabiri wako tayari upo sahihi ...Taga Jike!
tunakutegeme mkuu, tujuze, tupo pamoja
Wenye msongo wa mawazo ni hao wanaosubiri music festival ili wachangamke kwenye mkutano wa kampeni.Acha ndoto hizo, zitakuletea msongo wa mawazo
Mkuu unamtesa unafikiri anajua kingereza ?! Neno analojua ni 'pathetic'Miradi ya ndege ni liability. It is a pride business; and for Pyrrhic victory. Shame on Magu-fail for his myopic vision.
😁 😁Mkuu unamtesa unafikiri anajua kingereza ?! Neno analojua ni 'pathetic'
Ilikuwa zamani, vijana wote nwdays tunavikatio.Nyie bavicha hamna hata kadi za kupigia kura , sijui wenu mtampaje kura
Nani kakwambia kuwa mtu kuota ni dhambi? Wengine siye ni watoto wa mitume na ndoto zetu zinakuwaga kweli.Acha ndoto hizo, zitakuletea msongo wa mawazo
Amina mkuuNani kakwambia kuwa mtu kuota ni dhambi? Wengine siye ni watoto wa mitume na ndoto zetu zinakuwaga kweli.
Hivyo basi hii ndoto yangu inakuwa kweli kuwa mh Lissu ndiye rais wetu
Tushikane mikono kwa pamoja wapenda mageuzi na ukombozi wa taifa letu kwa hili tutashinda tuUpo sahihi, Lissu kashashinda Chamsingi, ninamna ya kuulinda ushindi.
Unatupangia?Nyie bavicha hamna hata kadi za kupigia kura , sijui wenu mtampaje kura
Meko anakwambia "Baba wa Taifa Mwl.Nyerere mlimpa miaka 27(badala ya miaka 24), akaja Mwinyi mkampa miaka 10, akaja Mzee Mkapa (Mungu amlaze mahali pema) mkampa miaka 10, amekuja Kikwete mkampa miaka 10, Mimi nina dhambi gani mnataka mnipe miaka 5 tu!?, nawaomba nipeni miaka mingine 5 zaidi"Ilikuwa zamani, vijana wote nwdays tunavikatio.
SubiriNani kakwambia kuwa mtu kuota ni dhambi? Wengine siye ni watoto wa mitume na ndoto zetu zinakuwaga kweli.
Hivyo basi hii ndoto yangu inakuwa kweli kuwa mh Lissu ndiye rais wetu
Hilo jina wanalo itwa watanzania sipendi hata kulisikia, eti unamuita mwanachi kuwa ni mnyonge?Kinachoniuma madeni ya maamuzi ya kijinga, tunalipia sisi tunaoitwa WANYONGE kila siku
Pamoja sanaAmina mkuu
Nw you talk, nisamehe mkuu, kumbe wewe ni mwenzangu uliejificha! Nimefarijika hapo uliposema ' Meko sasahivi anatia huruma, analialia nae apewe miaka kumi( 10 ).Meko anakwambia "Baba wa Taifa Mwl.Nyerere mlimpa miaka 27(badala ya miaka 24), akaja Mwinyi mkampa miaka 10, akaja Mzee Mkapa (Mungu amlaze mahali pema) mkampa miaka 10, amekuja Kikwete mkampa miaka 10, Mimi nina dhambi gani mnataka mnipe miaka 5 tu!?, nawaomba nipeni miaka mingine 5 zaidi"
Hizi kauli za kutia huruma ni ishara kwamba pumzi imeanza kukata rasmi.
Mwaka huu usipopata ugonjwa wa shinikizo la damu basi utakuwa kichaa wa kisiasa.Huo mkutano Chadema mumemuonea Nyalandu. Mbona wagombea wengine wa kilimanjaro mikutano ya Lisu mlifanyia kwenye majimbo yao ku wa boost kwa wapiga kura wao mfano ni kwa Mrema Segerea,kwa Halima Mdee kawe na kwa Godbless Lema Arusha.
Kwa nini mfanyie Dodoma mjini na si jimboni kwa Nyalandu? Roho mbaya na ukabila