Uchaguzi 2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

Uchaguzi 2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

Cdm haijawahi kufeli popote, siyo kama ccm inayo tembelea nyota ya waimba taarabu na bongo fleva ( wafuga free masons)
Nyie bavicha hamna hata kadi za kupigia kura , sijui wenu mtampaje kura
 
Ushirini ?! Mimi,mke wangu,Dada wa kazi na majirani 5 tumejiandaa kwenda kumsikiliza mbeba maono kijiwe Cha boda hapa Kwetu wote wanaoenda ...kwa utabiri wako tayari upo sahihi ...Taga Jike!
Wewe haupo Dodoma
 
Acha ndoto hizo, zitakuletea msongo wa mawazo
Nani kakwambia kuwa mtu kuota ni dhambi? Wengine siye ni watoto wa mitume na ndoto zetu zinakuwaga kweli.

Hivyo basi hii ndoto yangu inakuwa kweli kuwa mh Lissu ndiye rais wetu
 
Nani kakwambia kuwa mtu kuota ni dhambi? Wengine siye ni watoto wa mitume na ndoto zetu zinakuwaga kweli.

Hivyo basi hii ndoto yangu inakuwa kweli kuwa mh Lissu ndiye rais wetu
Amina mkuu
 
Ilikuwa zamani, vijana wote nwdays tunavikatio.
Meko anakwambia "Baba wa Taifa Mwl.Nyerere mlimpa miaka 27(badala ya miaka 24), akaja Mwinyi mkampa miaka 10, akaja Mzee Mkapa (Mungu amlaze mahali pema) mkampa miaka 10, amekuja Kikwete mkampa miaka 10, Mimi nina dhambi gani mnataka mnipe miaka 5 tu!?, nawaomba nipeni miaka mingine 5 zaidi"

Hizi kauli za kutia huruma ni ishara kwamba pumzi imeanza kukata rasmi.
 
Nani kakwambia kuwa mtu kuota ni dhambi? Wengine siye ni watoto wa mitume na ndoto zetu zinakuwaga kweli.

Hivyo basi hii ndoto yangu inakuwa kweli kuwa mh Lissu ndiye rais wetu
Subiri
Ccm tuwanyooshe
 
Kinachoniuma madeni ya maamuzi ya kijinga, tunalipia sisi tunaoitwa WANYONGE kila siku
Hilo jina wanalo itwa watanzania sipendi hata kulisikia, eti unamuita mwanachi kuwa ni mnyonge?

Hivi kuwa mnyonge nako ni sifa ya kujivunia? Tunakosea sana kama taifa
 
Meko anakwambia "Baba wa Taifa Mwl.Nyerere mlimpa miaka 27(badala ya miaka 24), akaja Mwinyi mkampa miaka 10, akaja Mzee Mkapa (Mungu amlaze mahali pema) mkampa miaka 10, amekuja Kikwete mkampa miaka 10, Mimi nina dhambi gani mnataka mnipe miaka 5 tu!?, nawaomba nipeni miaka mingine 5 zaidi"

Hizi kauli za kutia huruma ni ishara kwamba pumzi imeanza kukata rasmi.
Nw you talk, nisamehe mkuu, kumbe wewe ni mwenzangu uliejificha! Nimefarijika hapo uliposema ' Meko sasahivi anatia huruma, analialia nae apewe miaka kumi( 10 ).
 
Huo mkutano Chadema mumemuonea Nyalandu. Mbona wagombea wengine wa kilimanjaro mikutano ya Lisu mlifanyia kwenye majimbo yao ku wa boost kwa wapiga kura wao mfano ni kwa Mrema Segerea,kwa Halima Mdee kawe na kwa Godbless Lema Arusha.
Kwa nini mfanyie Dodoma mjini na si jimboni kwa Nyalandu? Roho mbaya na ukabila
Mwaka huu usipopata ugonjwa wa shinikizo la damu basi utakuwa kichaa wa kisiasa.

Maana hoja umeishiwa, umebakia na chuki na hasira nyingi dhidi ya mipango sahihi inayo fanywa na cdm.
 
Back
Top Bottom