Uchaguzi 2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

Chama cha JF,
Studio wanaendelea kutafuta picha nyomi za Lowasa, kisha kuzi edit na kuzituma whatsap groups kwa maelezo, " Tundu Lissu Afrika Dodoma"!
 
Kwa hiyo bado mko kwa fundi mnashona matukio?
 
Ndo kwaaaaaaaanza zimebaki siku50.... kwa iyo tulia... kila mahali patabarikiwa na mpakwa mafuta TAL...

Kuna mafuta ya mungu na mafuta ya nyani,
Sasa hayo ya Lisu ni ya nyani.
 
Huyu jamaa kampeni zake anafanyia mijini pekee

Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza....Kwa sasa anazindua Kampeni zake kwenye Kanda Mbalimbali. Usiwe na wasiwasi inakuja kibunga cha Nyumba kwa Nyumba ambayo sisi wengine tunaendelea nayo, baadaye Kijiji kwa kijiji, kata kwa kata....Safari hii kazi mnayo....tumetawanyika kama siafu kunadi sera bora kabisa kuwahi kutokea za CDM
 
Umejibu vema sana
 
Kwa mara ya kwanza jana ITV imevunja rekodi ya kutazamwa , waliangaliwa na mamilioni ya watu duniani kutokana na mahojiano yao na Lissu
Kweli mkuu? Kumbe neno 'HAKI' ni dogo kwa herufi na silabi zake, lakini lililobeba maana pana ya day to day human life?
Chombo chochote cha habari au binaramu yeyote yule mpenda haki, Mungu huinua bila wahusika kujua.
 
Mkuu ulipotea sn.
 
We nyati kwako Ni porini, unajuaje ya mjini, kwenye kampeni ya raisi mtarajiwa

Kuna watu wanasema kuwa Mliberali yeyote HANA MALINDA sijui ni kweli. Lakini mimi ni Nyati wa kwenye ZOO yaani wa mjini mimi. Si unajua ukizaliwa mjini sawa na Form IV
 
Lissu kiboko yao, wale wahuni walikuwa wakijidanganya kuwa 2020 watapita bila kupingwa hahaha kama masihara vile Lissu anaenda kupindua meza saa 2 asubuhi.
 
Ngoja tuone kama UTV watahamia huko maana huyu kule Simiyu anaelekea mwishoni
 
Dodoma ipi hiyo? Maana mimi nipo hapa mjini kati sijaona, Labda kama bado maana naona kila kitu cha kawaida? SIJUI LABDA BAADAYE, ngoja niendelee kuvuta SUBIRA.
Watu mko Lumumba ati dodoma ya Ilala
 
Uongo mtakatifu kabisa. mimi nipo Dodoma mbona sijaona hizo pilikapilika za maandamano. Kwanza, hakuna bendera hata moja za Chadema mji mzima umejaa bendera za CCM. Halafu nahisi uchaguzi huu Chadema hata pesa ya kununulia bendera hamna.
Hizo bendera za CCM wanazolazimishwa Wafungwa wa kubambikiwa kesi wakazifunge

Bendera za CHADEMA ni kama Mauaridi zinapeperushwa mioyoni mwetu na hizo unazoziona ni Chache zisikudanganganye
 
Acha propaganda za kitoto tuma picha za mapokezi tuone malefu ya watu wakimsubiria huyo mbeligiji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…