LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Nilisha iweka ITV group moja na station ambazo haziangaliwi nyumbani kwangu kama TBC nime toa kibali cha kuanza kuingalia tena kuanzia leo. Nami niko na TCRA nyumbani kwangu..Kwa mara ya kwanza jana ITV imevunja rekodi ya kutazamwa , waliangaliwa na mamilioni ya watu duniani kutokana na mahojiano yao na Lissu