mb on
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 1,640
- 703
Ni sawa na Chadema tu, wachilia mbali ruzuku wanazopata kuna pesa za wabunge pia wanawakata lakini bado wamezidiwa na Diamond, dogo ata chuoni hajaenda anamiliki WASAFI TV, Michadema imebaki kulialia na kudhani ati kuwafukuza TBC ndio watapa kura 💩.Na haya ndio yanapelekea ITV kuwa supa brand huku tiibiisii ikiendelea kutafuna ruzuku za wananchi pasipo manufaa wala kujiendesha!!! Mpaka leo wana vichaneli viwili aibu kabisa yani wanazidiwa hata na Azam wenye chanel nyingi