Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Na bado tunamsubiri kwenye sanduku la kura ili salam zimfikie Amsterdam!da aiseee pole yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado tunamsubiri kwenye sanduku la kura ili salam zimfikie Amsterdam!da aiseee pole yake
da aiseee pole yake
Safi Sana bodaboda mizuka Kama yote kumpokea TLbodaboda wanakiwasha hapa mbele ya manjaguView attachment 1558267
Hivi mbona hamtangazi kama anakuja sehemu? Jamaa zangu wengi waliopo Dodoma hata hawajui kuwa kuna tukio hilo, mna shida gani?WanaJF
Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma.
Rais huyo mtarajiwa wa Tanzania ataambatana na mgombea Mwenza Salum Mwalimu, Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu
Tayari Kuna pilikapilika kubwa hapa jijini Dodoma kuhusu ujio wake na maandamano makubwa ya kumpokea na Mkutano wake katika Uwanja wa Uhuru unatarajiwa kuvunja Rekodi kwa wingi wa watu
Lissu ambaye Watanzania wamembatiza jina la 'Charismatic Leader' amekuwa akilakiwa na Maelfu kwa Malaki ya watu popote anakopita ikiashiria kuzoa wingi wa kura katika uchaguzi mkuu wa October 28
Tutaendelea kuwapa taarifa kwa kila kitakachoendelea
kuanzia saa 3 na robo usikuIlikuwa ni muda gani?
Nipo hapa Uhuru s/msingi watu ni wengi hiyo picha ni ya saa 8 iviitayari saa 16:10 LISU amewasili uwanja wa shule ya msingi uhuru dodomaView attachment 1558273
hata mimi nipo hapa hapa shule ya uhuru uwanjaniNipo hapa Uhuru s/msingi watu ni wengi hiyo picha ni ya saa 8 ivii
Nipo hapa Uhuru s/msingi watu ni wengi hiyo picha ni ya saa 8 ivii
Hata Mimi wakati tunajiandaa na sala ya kumshukuru Mungu usiku nikaanza kuyasikia mahojiano ITV na TAL ikambidi nisalishe fastafasta ili nipate kusikiliza zile nondo Mungu anisamehe sanawenzako wako TCRA wanapanga namna ya kuikomesha ITV wewe unakenua tu meno ! zile DK 45 zimeharibu ccm kwa 96% , si mchezo .
Nilikuwa pub fulani hivi muda ule , kuna mtu kanywa bia 7 kwa nusu saa tu bila kujielewa kutokana na nondo za Lissu , uzuri ni kwamba alipoletewa bili hakubisha
Duh.. Alafu kuna mpuuzi anakuja anakwambia Lisu kawashika ccm!viongozi wanaendelea kuongeaView attachment 1558330
Simba wa kuchora huyo, ataishia kwenye picha tu.Huyo ndiye rais wetu wa awamu ya sita
CHADEMA hawaamini katika mfumo wa kuwa na serikali kuu inayofanya kila kitu; wao wanaamini katika serikali ndogo ndogo za majimbo hivyo hata muundo wao wa uongozi wa chama uko kimajimbo (kanda). Anachofanya Lissu kwa sasa ni kufungua rasmi kampeni kwa kila kanda; hii ndio kusema zoezi analoendelea nalo ni ufunguzi bado.Sidhani kama uko sahihi: Ninachokiona Lissu ameamua kufanya kwanza kwa zones/kanda ambapo anapita miji mikubwa kwanza, alafu anarudi kufanya vituo vidogo vidogo kwa maana ya miji midogo, mwenge hauruki kijiji
Hao waliopo ni panya? [emoji3][emoji3][emoji3]Dodoma mbona hakuna watu mkutano wa lissu?? Nini kimetokea??View attachment 1558320
Mkuu update vipi huko dodoma?Kwa mara ya kwanza jana ITV imevunja rekodi ya kutazamwa , waliangaliwa na mamilioni ya watu duniani kutokana na mahojiano yao na Lissu