Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

Wewe uko form ngapi??

How comes dogo wa form 3 tena wa kiume anaingia kwako kipuuzi tu, umemjengea mazoea ya kijinga na si ajabu huwa mnapiga story za kijinga na huyo dogo.

Ulipoona wa mwenzio analiwa, ulitakiwa kufanya jambo ila kwakua mijini mnaamini kila mtu na maisha yake ukaacha jamaa yako adhalilishwe na huyo dogo wewe ukishuhudia.

Sasa ni zamu yako kugongewa, jirani yako nae kama yupo jf ataleta uzi kama wewe.

Jinga kabisa
 
Wakuu mulibwanji?

Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye.

Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba anatembea na mke wa huyu tuliyemkuta hapa na dogo mwenyewe yupo kidato cha 3 tu.

Jamaa anatoka asubuhi anarudi usiku kumbe huku nyuma mkewe kula kulala anatomb.Wa na uyo dogo tena kwenye ktanda cha mshkaji na mkewe.

Na mwanamke alishakolea kbs bt walishaachana sasa naona dogo amekuwa na mazoea makubwa na mwanamke wangu juzi nilirud ghafla nyumban namkuta dogo amejiachia sebuleni kwangu kama kwake vile kwanza kaingia amevaa viatu kaweka miguu juu ya sofa na viatu.

Mwanamke wangu alikuwemo naye amekaa anachambua mchele wanakula story tu nlichukia sana nikamueleza lakini alinijbu majbu yasiyoridhisha kbs mpaka ukawa ugomvi kabisa.

Wakuu mnanishauri nini?
Kataa ndoa oyeee
 
Ukiona manyoya ?

Mkeo kajiuliza inakuwaje dogo anamlamba mke wa mtu?ana maajabu gani?kataka kuthibitisha mwenyewe ndo maana anakujibu ovyo...
Kwa ufupi huyo dogo anawalamba wote mkeo na mke wa jirani...
Wanawake zenu wanajua Siri ya huyo dogo ndo maana hawajali tena...
Pole Sana
Nakazia
 
Ulitakiwa kumchapa bakora huyo dogo mbele ya mke wako, alafu unampiga marufuku kukanyaga ndani kwako huku ukimwambia uchafu wake na huyo wife wako ungemkata banzi mbele ya dogo baada ya hapo unawaambia siku ukiwakuta tena unawafungisha ndoa hapo hapo.... ACHA MAZOEA SANA NA MKEO, MKE ANATAKIWA AKUOGOPE NA AKUHESHIMU.. NIMEONA WEWE NI MWANAUME DHAIFU SANA EITHER KIMWILI NA KIAKILI, MPAKA DOGO ANAKUDHARAU ADI ANAINGIA NA VIATU KWAKO, MWANAUME UNATAKIWA KUOGOPWA NA VIJANA WA MTAA MZIMA.
Nakazia
 
Mochwari hawatongwi Ila kwingine kote hadi magengeni wanachezea, wewe unafanya kazi mochwari?
Mochwari labda za huko uliko mkuu,mle ndimo shoo inapigwa,hakunaga kelele wala vishindo vya watu,wote wamelala.
 
Ukute mkeo na wanawake wenzake,walishaongelea tupu ya huyo dogo,kua ana zinga la dude,hivyo wote wanataka kuonjeshwa,kua makini bro. kaa ki-master,utadharaulika zaidi.
 
Ndio unapogongwaga huko?
Kivipi,sijakuelewa, yawezekana nimeeleweka tofauti,au nieleweshe ulivyoelewa statement hii'
Mochwari labda za huko uliko mkuu,mle ndimo shoo inapigwa,hakunaga kelele wala vishindo vya watu,wote wamelala'
 
Wakuu mulibwanji?

Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye.

Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba anatembea na mke wa huyu tuliyemkuta hapa na dogo mwenyewe yupo kidato cha 3 tu.

Jamaa anatoka asubuhi anarudi usiku kumbe huku nyuma mkewe kula kulala anatomb.Wa na uyo dogo tena kwenye ktanda cha mshkaji na mkewe.

Na mwanamke alishakolea kbs bt walishaachana sasa naona dogo amekuwa na mazoea makubwa na mwanamke wangu juzi nilirud ghafla nyumban namkuta dogo amejiachia sebuleni kwangu kama kwake vile kwanza kaingia amevaa viatu kaweka miguu juu ya sofa na viatu.

Mwanamke wangu alikuwemo naye amekaa anachambua mchele wanakula story tu nlichukia sana nikamueleza lakini alinijbu majbu yasiyoridhisha kbs mpaka ukawa ugomvi kabisa.

Wakuu mnanishauri nini?
Kama siyo mkeo wa ndoa jiulize wewe ulimpata vipi wenzako washindwe?
 
Back
Top Bottom