Mimi napinga Matumizi ya mihadarati wakati wa kuingia Jf .Kumekucha!! Ifike mahala mtuandike sie historia ya ugonvi wenu🤣
Wenye uhitaji maalum😊Kwahiyo ni kundi lipi?😅
Haipendezi watoto wa kiume kuwa hivi..Mimi napinga Matumizi ya mihadarati wakati wa kuingia Jf .
Maghayo Busu la Kenge alikuwa anaingia kichwa kikiwa full Mabange, ugomvi ukaanzia hapo .
Kaka yako kasongo yeye anaingia Jf baada ya kupiga visungura, hapo ndio ugomvi ukaanza
Sijpenda! Kwahiyo twende wapi?Wenye uhitaji maalum😊
Hii ☝️ picha ya makebo umeitoa wapi wakati Mimi sijakutumia mkuu? 🤔. Umshaidukua account yangu siyo?Na sisi je?View attachment 3584907
Hata mimi nashangaa aisee! Kwa hakika Dunia ina mengi na mengi yanafanywa na watu.
Naunga mkono hoja , haipendezi kwa Mwanaume halafu mtu akiwa jitu zima kama Kaka yakoHaipendezi watoto wa kiume kuwa hivi..
Mbona siyaoni hayo makebo unayozungumzia 😆Hii ☝️ picha ya makebo umeitoa wapi wakati Mimi sijakutumia mkuu? 🤔. Umshaidukua account yangu siyo?
Kumbe ana attack na wanawake?🫢Naunga mkono hoja , haipendezi kwa Mwanaume halafu mtu akiwa jitu zima kama Kaka yako
Mimi napinga uhuni ndio maana nimekuwa hivi sina kawaida ya kuAttack watu wastaarabu na innocent, kaka yako EliNyahu ELI COHEN anaAtaack na kudhalilisha mpaka wanawake humu kitu ambacho mimi siwezi .
Muhusie Kaka yako maana yeye tabia yake kubwa maogomvi ya kijinga na members wengine, Mimi niliona member mkorofi haswa anaAttack mpaka wanawake basi naruka nae sababu Mimi natetea Wanyonge na Wanawake .
Hiyo ndiyo picha niliyotumiwa na Makebo PM. Makebo hana makebo makubwa ujue!Mbona siyaoni hayo makebo unayozungumzia 😆
Anashambulia mpaka wanawake Jf wakati Wanawake ni wachache humu , yeye anataka waondoke tubaki na kina Maghayo , Busu la Kenge muhuni secretarybird ndio afurahiKumbe ana attack na wanawake?🫢
Sijawahi kufahamu hili kaka ELI COHEN hebu vita viishe jamani nakusihi..
😅😂😁Anashambulia mpaka wanawake Jf wakati Wanawake ni wachache humu , yeye anataka waondoke tubaki na kina Maghayo , Busu la Kenge muhuni secretarybird ndio afurahi
Mimi kama Chief General siwezi kuvumilia hali hii , jamaa visungura vinampeleka vibaya lazima tumrudishe kwenye njia ya sawa
🤔🤔🤔🤔🤔🤔Na sisi je?View attachment 3584907
Hapo labda MwamposaSijpenda! Kwahiyo twende wapi?
Uongo
Huyu nae kakaa kama chura si chura kambale si kambaleNa sisi je?View attachment 3584907