Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

Wewe
Unajiona smart kumbe umeandika ujinga Kaa zako kijijini chama cha ovyo hakitokuja kuingia madarakani ng'o.

Wewe ni Mungu?. Unajua miaka 50 ijayo itakuwaje?. Kuna watu walisema Lowassa atafia ikulu asipewe kura, ila wao wakafia ikulu Lowassa bado yupo. Usiwe mwepesi kusema maana wewe ni binadamu unaishi kwa kudra za mwenyezi Mungu.
 
M
Uliona wapi nimeshabikia ccm ? Sijawai kuwapigia kura ccm ,Chadema wamenoangusha nishaapa sitokuja kusapot chama lao Tena.

Mwenyekiti kigeugeu kila kona tangu alambe katulia tu.

Kumbe CHADEMA wamekuangusha. Nimeelewa kwanini una hasira.
 
Creche at work.....
 
Ninerudia kusoma heading na comments nimegundua jambo moja.

Tanzania, seems uchaguzi ni geresha tu. DOLA ndiyo inayoamua kuhusu nani aongoze nchi.

Kama hivi ndivyo basi tunajihaini wenyewe bila kujua
 
Chaga development manifesto

Ndio ulichobakiza , huna jipya. Unadhani ukabila utakusaidia nini?. Unadhani kwa kuleta propaganda za ukabila ndio mfumuko na hali ngumu ya maisha itaisha?. Au deni la trilioni 91 litaisha? Endelea kuwa chawa wa ccm na akina Makamba utaona mwisho wako.
 
Akili za hovyo hizi, nchi inatawaliwa na wapuuzi wanaowaza ushindi wa mezani, akili zenu zipo makalioni nyie
 
Mm nimeapa kutokujihusisha na siasa na wala sitokaa kupiga kura hata kwa bahati mbaya, ila kuipa kura chadema ndio kosa kubwa mno.
 

Bora ccm ya walamba asali. Wanakopa trilioni 91 na walalahoi ndio wanalipa. Bora CCM ya mgao wa umeme na maji, etc
 
Sawa,bas CCM mbele kwa mbele
Unaonaje ukiendelea kutoa hekima, busara na misisimko kule kwenye jukwaa pendwa. Halafu huku uwaachie akina magonjwa mtambuka, elitwege na usajili mpya mwashambwa wahangaike na zigo lao la CCM.
 
Dawa yake sio Chadema Bali Katiba bora
Jitahidi kuelimika. Dawa sio Chadema, CCM, mtu fulani wala chama chochote cha siasa.

Dawa ni uhuru wa wananchi kuchagua viongozi wao na kuwawajibisha in time wakishindwa au kuchezea kazi. Dawa ni katiba makini ya wananchi na utawala bora unaozingatia katiba na sheria. Watu waamue nani awaongoze wakati gani. Sio hizi kamari za CCM na dola kukabidhi uongozi wa nchi kwa mafisadi, comedians hadi watu fyatu.
 
Baada ya kufuatilia siasa kwa muda mrefu Sasa naona hakuna Cha chadema Wala ccm..wote mafisadi tu.hakuna yeyote Mwenye uchungu na nchi.Asilimia 99% ya wanasiasa na Viongozi Wote wapo kwa maslahi Yao Binafsi.Amini Nachokwambia....Ili Africa Angalau Ipate Maendeleo ya kufika hata nusu ya Ulaya Tunahitaji Kutawaliwa Tena Na wazungu..mbali na Hapo Hadi 2148 tutabaki ka tulivyo.fuvk all political parts.Africa imelaaniwa!Over
 
Mtaona Ni mpumbav...ila Ili Africa iendelee Tena Kwa Msisitzo nasema TUNAHITAJI KUTAWALIWA TENA NA WAZUNGU.
 
Halafu ka mijinga vile inavyogombea madaraka maviongoz ya Africa utadhan haitokuja Kufa..shiiit😏😏😏
 
Ngoja nlale ntaendelea kesho...Maana Uzi wako umentia hasira kweli☹️☹️☹️
 
Unaonaje ukiendelea kutoa hekima, busara na misisimko kule kwenye jukwaa pendwa. Halafu huku uwaachie akina magonjwa mtambuka, elitwege na usajili mpya mwashambwa wahangaike na zigo lao la CCM.
Sasa tufanyaje kama wanaleta sifa za kijinga wakati wananchi tunaumia(pia sipangiwi cha kufanya mkuu😉)
 
Very stupid!Kuna id zingine huwa nadhani ni viumbe wanaojitambua kumbe ni kuku tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…