Mkuu, 'Carlos The Jackat', nilikwishakata tamaa na CCM siku nyingi sana, lakini kwa haya yanayojitokeza huko kwenye upinzani, inalazimu kukubaliana nawe, ingawaje hiyo unayoihusisha na uMagufuli, bila kuchuja,..., hapana.Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!
MkuuPunguza unafiki. Mission ipo kwa ccm yenyewe ndio imeongoza nchi kwa miaka 60, chadema mission yake bado. Acha kulazimisha ndoa ya CCM na CHADEMA kwa uongo wako.
kati ya watanzania hawajitambuwi na wajinga ni mtoa chapisho hiliHawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu
Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.
Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.
Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.
CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.
Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.
Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!
Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!
Yangu ni hayo!
Hawanahoja zaidi ya kukamilisha kazi post anazotakiwa kuandika kwa siku ii kupata musosi. Post nyingi sana za kufananaKwanza kabisa.. hayo uliyoshaur CCM uchungu na nchi, uzalendo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kamwe haiwezekan!! Pili... Ungeelezea kwa kina kwann CDM hawastahili kupewa dhamana ya kuongoza hii nchi.. elezea kwanini
Tatizo lako wewe una elimu ya ahera mda wote umekumbatia udiniNaandika hapa na anayepinga apinge siwezi kupigia kura chadema mpaka nakufa ...Mtafanya makosa yote siwezi kupigia kura chadema mpaka kauli ya mwisho hata kiwe chama cha dola ya kiislamu wakiungana na chadema tu basi kwangu ni sumu.
Mtu anayeandika "icho" badala ya "hiko" huyo ni shoga mzoefu.Siwezi kupigia kura chadema hata ukoo wangu wahamie huko ,najua vingi kuhusu icho chama.
KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA ndo suluhisho Kwa sasa.Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu
Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.
Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.
Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.
CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.
Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.
Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!
Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!
Yangu ni hayo!
Umetumwa?Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu
Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.
Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.
Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.
CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.
Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.
Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!
Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!
Yangu ni hayo!
"Chama Hiko" pia sio kiswahili fasaha.Mtu anayeandika "icho" badala ya "hiko" huyo ni shoga mzoefu.
Mjadala ufungwe kwani hauna uhalali wa kuendelea kuwepo kwa kuwa umeletwa na mpenda kinyume na mau.bile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumpuuze MPUMBAVU, bt tujadili HOJA ya MPUMBAVU.πππUzi wa mpumbavu
Naunga mkono hoja. Hawa walamba asali wa saccos wakishika nchi itakuwa ni balaa,hawataweza kukemea chochote kibaya kutoka kwa hayo mabeberu. Mtawatambua kwa matunda yao.Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu
Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.
Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.
Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.
CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.
Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.
Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!
Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!
Yangu ni hayo!
Kwamba Joka Kuu ndo role model wa DEMOKRASIA sio!!
Jeshi lenyewe CCM!!Wapinzani hawajielewi CCM haiminiki tena yani ni vurugu mechi.
Ila kwa CCM hii bora hata jeshi lishike hatamu.
#MaendeleoHayanaChama
Sio "Ameeeen" ndugu Rabbon , ni "amen/amin."Chama Hiko" pia sio kiswahili fasaha.
Ni "CHAMA HICHO", mjadala na HOJA lazima zijadiliwe na tuvumiliane Kwa lugha za staha.
Ameeeen.
hiko ndo nn ? Mshamba unajua kiswahili kweli?Mtu anayeandika "icho" badala ya "hiko" huyo ni shoga mzoefu.
Mjadala ufungwe kwani hauna uhalali wa kuendelea kuwepo kwa kuwa umeletwa na mpenda kinyume na mau.bile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mpumbavu wa kiwango cha juu Kinana awe na element za CHADEMA au Chadema kuwa na element za Kinana??Hivi kweli huwa mnawashwa nini kuropoka vitu vya ajabu,hata kama huipendi Chadema acha kulinganisha Chadema na upambavu wako.Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu