Donald Trump anatangaza Vita Rasmi dhidi ya LGBTQI+

Wee fanya kuwapumzisha wenzako bana...
Sasa dr mambo amefikaje hapo 😂😂😂😂
 
Kwa hiyo kuliwa vinyeo kutaendelea kama kawa
 

Americans wamejishtukia kuwa wanachemka kupambania haki za LGBTQ.

Ushindi wa Donald Trump ni kwamba wanakubaliana na kuwa ushoga na LGBTQ agenda ni wrong. Maana ameongea kufuta huu ujinga karibu miaka miwili kabla uchaguzi.
 
Ni kuzidi kumwombea! Shetani hajapenda kabisa Trump awe Rais! Ndiyo maana kulifanyika majaribio ya kumwua,kumfungulia kesi za kila namba ili kumkwamisha asiingie ikulu,mwaka 2000 aliporwa ushindi.
Tusimsahau katika maombi!.
Nyakati hizi kuna vita vikali kati ya Msalaba wa Yesu na Shetani katika ulimwengu wa roho.
Na Wakristo tutumie kipindi hiki kujitaka!
Huwezi kujua baada ya miaka 4 ya utawala wa Trump kutatokea nini!
 
Safi sana Donald...........nimeona X huko,huyu jamaa hapendwi kwasababu ni mcha Mungu na anasema ukweli kwa lugha ngumu tena ya kuudhi...........
Wewe na wenzako mnapenda lakini, waliomchagua wanampenda,
Ambao hawakumchagua Kamala hawampendi ? Je ni mcha Mungu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…