Donald Trump: Hakuna maji ya kuzima moto, hakuna pesa katika mashirika ya dharura

Usa yupo siria iraq saudi qatari jordan yote hayo sio kwa maslaji ya usa bali ni kumlinda israeli siku wakigundua adui wa usa namba moja ni wazayuni wanatoitumia usa kwa faida yao watakuwa wamechelewa sana
 
Kwa elimu ya mburahati huwezi elewa
 
Hilo la Project yangu niligusia tu kwenye kufahamishana tu! Upo sahihi mkuu! Na kwa upande wa majanga ya moto marekani hili sio janga la kwanza yalishatokea huko nyuma ila asilimia kubwa huwa yanasababishwa na Binadamu Japo yapo Pia ya Asili ila ni asilimia ndogo Ila yapo.

Je unaweza nipa ushahidi wa hili janga limesababishwa na nini? Asili au Binadamu?

Upo sahihi kwa maelezo yako.
 
Moto zaidi unaendelea Amerika, wakati huu huko New York.

Moto umezuka katika majengo kadhaa ya ghorofa katika jiji la New York
 
🚨 NDANI TU: Bwawa la maji la Pacific Palisades lilikuwa TUPU NA NJE YA MTANDAO wakati dhoruba ya moto ililipuka, kwa mujibu wa LA Times

Huyu ni MHALIFU.

Hifadhi hiyo ina galoni milioni 117 za maji, na ingewapa wazima moto shinikizo la kutosha kukabiliana na moto huo.

Maafisa wa Idara ya Maji na Umeme wanaolipwa kupita kiasi sasa wamelazimika kukiri kwamba hifadhi hiyo kuwa nje ya mtandao huenda ilichangia kukauka kwa bomba la maji na shinikizo la chini la maji.
 
Allah anamjibu kabla hajaingia madarakani, kama bado hajaingia madarakani maneno yake yalionyesha yuko madarakanihttps://x.com/msr3y1/status/1877720300252524962?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wamerusha mabomu ya kutosha kuua watoto huko gaza lkn los Angeles na New York city hakujarushwa ata njiti ya kibiriti lkn miji inateketea

Adhabu zinaanza hpa hpa duniani
 

Janga la moto limethibitisha ukweli kwamba ndani ya hii dunia, inawezekana ikatokea janga ambalo litatumaliza wanadamu wote, hata wale wenye kudhani kwamba sababu ya maendeleo na technology, wameshamaliza yote.

Na hii inatukumbusha ukuu wa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu yupo na ana nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…