Donald Trump Hapepesi Macho Kuhusu Ushoga Kama Atafanikiwa Kuwa Rais wa Marekani

hatamaliza miaka yake ya uongozi
watamuua
 
Maneno ya wanasiasa hayo; ushoga haijaanza leo wala jana...na pia Trump siyo mara ya kwanza kuwa Rais wa Amerika.
Mimi namuunga mkono kupambana na ushoga japo angekuwa na nia angalifanya kuanzia kupindi kile.
 
Kipindi kile hakuweza sababu idadi ya wabunge wa Republican walikuwa kiduchu.
 
Maneno ya wanasiasa hayo; ushoga haijaanza leo wala jana...na pia Trump siyo mara ya kwanza kuwa Rais wa Amerika.
Mimi namuunga mkono kupambana na ushoga japo angekuwa na nia angalifanya kuanzia kupindi kile.
Trump Kipindi cha Urais wa 47 alikuwa Rais Jina maana Wabunge idadi kubwa Ilikuwa Ni wapinzani wake so asinheweza Kupitisha sheria yoyote ikaungwa Mkono..

Lets say Rais Tanzania Apatikane Tundu Lissu ila wabunge wawe CCM karibia 300 unafikiri Atakuwa na Nguvu...

Ila kama akiwa Rais na wabunge wakiwa wa Chama chake nguvu atakuwa nayo..

We unafikiri kwanini Ushindi wa Trump wa kipindi kile watu hawakuuogopa Sana kama walivyouogopa Ushindi wa Kipindi hichi???
Kwa sababu ushindi wa Kipindi Hichi una Nguvu sana na Una Congress kibao
 
Mafirauni na mavibaraka ya mafirauni humu nchini matumbo jotro, uchafu wao umepata wa kuusafisha dah πŸ’ͺπŸ‘ŠπŸ’
 
tatizo je Roma watakubali ?? maana rome ndo injinia na kichochezi ya ayo mambi via amerika
Asipokuwa makini,yatamkuta ya JPM, kwasababu anapingana na ajenda ya papa [Vatican].
Tumwombe MUNGU amjaalie ulinzi,atuondolee hii laana na nyingine zote zinazo fanana na hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…