Donald Trump: Ndani ya Siku 7 Ulimwengu unakwenda kushuhudia tukio ambalo halitasahaulika

Ayatollah alishapanda mzizi wa utawala wa kidini mle ndani kwahiyo kuondoa ni kwa njia ya nguvu tu vinginevyo watasubiri sana
 
Ayatollah alishapanda mzizi wa utawala wa kidini mle ndani kwahiyo kuondoa ni kwa njia ya nguvu tu vinginevyo watasubiri sana
Huu utawala wa kishenzi wa Iran ukidondoka ni furaha kubwa sana.
 
Ngumu sana kupambana na hawa Wazungu wa marekani na ulaya ukashinda, wamewamaliza , maadui wao kwa 70%-80% na walio baki wameelemewa kwa kuwekwa bize na vikwazo+vita visivyo na maana washindwe kuhimili game.

Huku Middle East watu wanatandikwa daily, palestina inaporwa yote mrusi+mchina hawana msaada wamebaki kubweka kama mbwa kichaa, kule America nako hola watu wameshpigwa, ukija Afrika ambako russia alianza kupora makoloni ya mzungu wa ulaya+marekani nako soon atapoteza power ya kuyalinda haya makoloni, kabakia mchina tu mzee wa deals chafu, anapiga tenda na wewe huku hana msaada wa kukulinda wala kulinda maslahi yako.

Tukirudi Huko Asia kipigo kinaendelea, suala la muda tu Iran lazima itakuja kuanguka no MATTER HOW, maana washirika wake ni hao TAKATAKA wa china na Russia.

Mwanzo niliamini hawa washirika wa Asia (china, Russia na india) wanaweza kuwa mbadala wa USA lkn nikagundua kuwa hata wao wenyewe wana submit maombi yao kwa USA hawana power tunayoaminishana mitandaoni, ndipo nilipoachana na huu ushabiki wa hizi pande bora wauwane sisi kazi yetu itakuwa kuwauzia chakula.

anaeshabikia hizi pande mbili anatakiwa kujitathmini sana
 
Gaidi gani? Mbona Marekani na Israel imemfadhili Al Jolani hadi kuwa Rais wa Syria ilihali ni kiongozi wa Al Qaeda? Hata SDF rebels na PKK wanatambulika kama magaidi ila mbona Israel na USA inawapatia silaha, fedha na mafunzo?
Vijana wanajiropokea tu humu ndani.
Kuna mwingine anakwambia eti Iran raia wameishi kwa mateso.
Ilhali 1979 Iran raia wenyewe wamepindua serikali yao ili kuondoa vibaraka wa Marekani na kulinda resources zao.
Marekani kwa ubaya wake ameweka vikwazo kwa Iran,kisa tu imeondoa rais wasiomtaka.
Kuna watu ukiwaskiliza humu unabaki unacheka hasa huyo kijana Hamatan. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃUwongo kibao.
 
Kujigamba sio kuanzisha vita, vita anayokwenda kuianzisha mwenyewe ni hii na Iran atapimwa kwa vita hii.
Wewe jamaa, inaelekea hukumfuatilia Trump tangu alipoingia madarakani awamu hii.
Unabisha jambo usilolijua.
 
Iran mfadhili mkubwa wa ugaidi duniani apigwe tu hakuna jinsi nyingine
Kafadhili ugaidi gani? Tatizo kikundi chochote kikipinga US wanaitwa magaidi ila wakiwa pro-US ni halali!!

Mfano somaliland wangekua wanajitenga huku wanasipportiwa na Iran mngeita ni magaidi!! Ila Israel ku support
 
Yaani mie najiuliza tu swali la kawaida : Kinachomfanya Marekani ajiandae hivi kumvamia Iran ni kipi?
Iran amemkosea nini?
Ayatollah amemkosea nini?

Au ndio huo ubabe tuu
1.Iran inamiliki 10% ya Crude Oil duniani,
2.Iran inamiliki 15% ya natural gas duniani,
U.S ukimiliki Mali anataka mugawane faida,
Hii ndio sababu pamoja na maandamano ya Oktoba 29,Tanzania watu wamekufa na wanaendelea kufa,kutekwa .........U.S wala nchi za west hawezi sema chochote na kufanya chochote,sababu hii mikataba ya kidhulumati inamnufaisha yeye na mabepari wenzake wa west
Ndani ya siku 3 CCM imeua watu zaidi ya miaka 20 ya Alshabaab
 
Upo sahihi Iran kama Uganda tu,kwanza currency yao haina nguvu kabisa ni sawa na zero๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ
 
Kua Iran inahitaji kusaidiwa kuliko Tanzania,D.R.C,Uganda na others shit holes countries?
๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Iran hii hii ambayo currency yake ipo devaluated na ni weak kuliko hata Tanzania shilling,lakini per capital yake ni kubwa kuliko nchi yeyote ya Africa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„
Kua Iran inabidi isaidiwe sababu kiongozi yake yupo Toka 1979,Ila Cameroon na Uganda,na Tanzania na uchaguzi hewa haziitaki huo msaada?
 
Gaidi gani? Mbona Marekani na Israel imemfadhili Al Jolani hadi kuwa Rais wa Syria ilihali ni kiongozi wa Al Qaeda? Hata SDF rebels na PKK wanatambulika kama magaidi ila mbona Israel na USA inawapatia silaha, fedha na mafunzo?
Wapumbavu wengi wamekua brain washed na dini?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Adui wa U.S sio dini wala watu kufa,Adui wa U.S ni nchi yenye Mali nyingi ila U.S haifaidiki na hizo Mali
Hio ndio sababu U.S akaivamia Venezuela kisingizio kikiwa madawa ya kulevya,.
U.S hawezi ivamia Tanzania hata kama watu wengi wamekufa na CCM inazidi kukandamiza haki ,sababu kuu ni Moja, rasimali za TZ zinawafaidisha U.S and west by 100%
U.S hawezi mfanya chochote Kagame sababu,silaha za M23 zinatoka U.S na madini adimu Apple huyanunua๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Hio ndio worlds politics,mtu ambaye sio muislam anafurahi Iran ikivamiwa sababu ni waislam,
Huku likikaa na kichwa kama dafu,halijui letetee au lipinge Venezuela yenye wakristo 90% ikivamiwa๐Ÿ™ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
The war is against resources and not religions
 
Mkuu Urani kaua raia wake 12,000+ ,kwako hii ni sawa
Sio sawa,Iran ni watu wabaya sana,ukilinganisha na Serikali ya Tanzania iliowapa Pipi raia wake walioandamana๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Yaani kuna pumbavu linafikiri kabisa U.S inatetea waandamanaji๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
NOTE: 10% ya oil duniani ipo ardhi ya Iran,15% ya Natural gas duniani ipo ardhi ya iran
 
Inawezekana wewe ni mjinga ama ni MPUMBAVU,tutaona utavorespond na hii reply๐Ÿ˜†๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ƒ
Kua raia wa Iran wanapitia mateso makubwa kuliko raia wa Tanzania,D.R.C,.and other Africa shit countries?๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Kua U.S anawependa sana raia wa Iran kuliko raia wa Haiti na Jamaica?
Kua Trump na U.S wapo kwa ajili ya kuwaondoa viongozi waliokaa muda mrefu?,๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Kafadhili ugaidi gani? Tatizo kikundi chochote kikipinga US wanaitwa magaidi ila wakiwa pro-US ni halali!!

Mfano somaliland wangekua wanajitenga huku wanasipportiwa na Iran mngeita ni magaidi!! Ila Israel ku support
Huo ni mtazamo wako, sipingani na wewe, ila ukweli Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท imekuwa mfadhili wa vikundi vingi vya kigaidi.
 
Huo ni mtazamo wako, sipingani na wewe, ila ukweli Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท imekuwa mfadhili wa vikundi vingi vya kigaidi.
mkuu kwani marekani hafadhili vikundi vya kigaidi? Kumnyakua Maduro kama kinda la ndege kiotani kwa babaye sio Ugaidi? Mabepari wamewabrainwash wameformat cache zote. Pathetic
 
Sawa, Trump kasema ndani ya siku 7 ndio keshasema utamsaidiaje Iran asipigwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ