Dotto Abdallah Ketto (Doto Magari) atafuna nyama ya kitimoto hadharani

Kula kitimoto wewe shehe wangu. Achana na hizi ngonjera.

Karibu kwa Mangi kitimoto hapa.
 
Siri huo ujinga, si kwa kiimani ila kitu kikiwa kizuri sanaaa ujue kuna shida mahali
 
Ulitaka ajifiche ! wakati yenyewe huchinjwa hadharani Kwa kelele nyingi nilijua wivu Kwa mademu tu
 
Kobazi mate yamewatoka,wanasonya midomo kisa aya za kichaa mudi waliye aminishwa ni mtume kumbe ni mwizi na pedophile.
 
Acheni uchokozi kwa kula huyo mnyama na kuonesha hadharani, ni kosa kisheria na kidini.
Muhammad akusema hivyo kuhusu kula nguruwe ....akusema waislamu wakiwa wanakula nguruwe wale kwa kujificha ...tuonyeshe Aya inayosema muhammad alisema kuwa nguruwe aliwe kwa kificho πŸ™„
YUPO SAHIHI ...KATI YA YESU NA MUHAMMADI NI YUPI HASWA ALIYE RUHUSU ULAJI WA NGURUWE ? JIBU NI MUHAMMADI....SWALI JE WAISLAMU NGURUWE MNA MCHINJA VIPI KABLA YA KUMPIKA?..UKIWAULIZA ILI SWALI UTAWAONA WAISLAMU WANAFIKI WAMEKODOA MIMACHO KODO πŸ™„πŸ™„πŸ™„ AWAJUI WAJIBU NINI😁 Jagina adriz FaizaFoxy Mufti kuku The Infinity Malaria 2
Njooni mle kitimoto kilicho chinjwa na waislamu kwa kuelekezwa kibla na dua zote zimefuatwa
 
Ukiambiwa utaje waislamu watano wanaokula kitimoto mtani kwako hapo upewe Milion 5 utaweza?
Naweza......MASWAHABA na MTUME walikuwa wanakula ...ushahidi huu hapa ...

YUPO SAHIHI ...KATI YA YESU NA MUHAMMADI NI YUPI HASWA ALIYE RUHUSU ULAJI WA NGURUWE ? JIBU NI MUHAMMADI....SWALI JE WAISLAMU NGURUWE MNA MCHINJA VIPI KABLA YA KUMPIKA UTAWAONA WAISLAMU WANAFIKI WAMEKODOA MIMACHO KODO πŸ™„πŸ™„πŸ™„ AWAJUI WAJIBU NINI😁 Jagina adriz FaizaFoxy Mufti kuku The Infinity Malaria 2
Njooni mle kitimoto kilicho chinjwa na waislamu kwa kuelekezwa kibla na dua zote zimefuatwa
 
Kitimoto haina madhara yoyote kiafya. Ni nyama nzuri sana inayopendwa na wengi. Mimi ni mdau mkubwa wa kitimoto kwa Shirima Mianzini
Chimbo la kitambo sana hilo. Jamaa wa kobazi huwa wanatega gari upande wa pili wa barabara halafu vijana wanawapelekea kitu safi kabisa cha rosti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…