Icebreaker! Ni bora na wewe umeliona hilo, kwanini anapoandika hoja zake haangalii vizuri! Kuna button ya kuedit au haijui! Mara nyingi huwa nashindwa kupata maudhui ya hoja zake kutokana na kuchanganya maneno kimakosa kabisa na kuna wakati nilidhani anaandika kingazijaMkuu mbona umejikita kwenye personal attack? Pale anapokosea kuandika basi wewe mrekebishe kwa kuandika kwa usahihi wake,simple tu.
Tazama na viambatanishi utaona hao waluisaini walipewa idhini na nani.
Hivi unawafanya wanasherua wetu qajinga sana? Wewe ndiye mwenye kuijuwa sheria? Una kipi jwenye elimu ya sheria cha kuwashinda wanasheria wetu?
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hapa umeimprove kuandika vizuri.Hujaona neno "nchi wanachama*?
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Mkuu,na wanaopinga kwa kuja na thd za kuponda,na wao una amini ni kina nani?Sasa naanza kuamini wewe ni mama samia
Unakuja na thread za kusifu na kuabudu na mapambio mengi kwa mama
Hapa tena umekosea kuandika "wshenga" ni nini wewe boya!Mrafinunanisima inatidha.
Ujinga ni sifa tu, siyo maradhi. Wote tukiwa wajanja nani atakuwa mjinga?
Wshenga walisema "ujanja mwingi mbele kiza".
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Wewe linapokuja swala la dini akili zako huwa zinahamia kwenye makalio, hapa swala sio wao kupewa mkataba bali ni vipengele vya mkataba vya kijinga sana. Yeyote aliyeshiriki kuidhinisha mkataba huu kwa upande wa Tanzania ni msaliti au taahiraDP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni kwa wateja na udhibiti wa usalama.
DP World wamewekeza kwenye miundombinu sahihi ya biashara na masuluhisho mahiri ya vifaa kwa wateja wao wsnaotumia bandari hizo. Kila mwaka, DP World kupitia bandari hizo wanasafirisha takriban kontena milioni 3.6 - bidhaa zenye thamani ya £43 bilioni katika kontena hizi husafirishwa kwenda na kutoka nchi zilizo nje ya EU.
DP World wanaamini katika soko la Uingereza wana matarajio na rasilimali za kutosha kuhimili na kuboresha ukuwaji, kusaidia biashara, kuunda nafasi za kazi na kuboresha viwango vya maisha. Utaalam wao wa biashara unaoongoza katika sekta ya bandari, unatambuliwa kwa kutoa ushauri wa kiufundi na wa kimkakati mara kwa mara kwa Serikali ya Uingereza.
Chanzo: DP World in the UK
Hisa aliyonayo unaijua!Una hisa gani na dp?badla ya kuangalia mapagufu ya mkataba ww umekomalia dp.sisi hatuna shda na dp bali tuna shda na AINA YA mkataba wa dp na bandar yetu
Gulwa ! Hichi kipimbi ni kipuuzi sana!Wewe linapokuja swala la dini akili zako huwa zinahamia kwenye makalio
Huenda ni sa100 mwenyeweGulwa ! Hichi kipimbi ni kipuuzi sana!
Sio huyu ni Fala tuu yupo humu kitambo na hoja yake kuu ni udini! Hana lolote ni ajuza fulani alieachika kwa kukosa mvuto!Huenda ni sa100 mwenyewe
Hivi mkuu, mijadala yote iliyofumuka kitaifa ihusuyo masharti mabovu ya mkataba wa muwekezaji, wewe haujasikia?Waarabu wa Dubai wanatisha.
Mama Samia hujakosea kabisa kuamuwa kuwaleta DP World Tanzania.
Tupo na wewe 100%.
Mkata wa DPW na UK unafanana na TZ kwa vigezo na masharti?DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni kwa wateja na udhibiti wa usalama.
DP World wamewekeza kwenye miundombinu sahihi ya biashara na masuluhisho mahiri ya vifaa kwa wateja wao wsnaotumia bandari hizo. Kila mwaka, DP World kupitia bandari hizo wanasafirisha takriban kontena milioni 3.6 - bidhaa zenye thamani ya £43 bilioni katika kontena hizi husafirishwa kwenda na kutoka nchi zilizo nje ya EU.
DP World wanaamini katika soko la Uingereza wana matarajio na rasilimali za kutosha kuhimili na kuboresha ukuwaji, kusaidia biashara, kuunda nafasi za kazi na kuboresha viwango vya maisha. Utaalam wao wa biashara unaoongoza katika sekta ya bandari, unatambuliwa kwa kutoa ushauri wa kiufundi na wa kimkakati mara kwa mara kwa Serikali ya Uingereza.
Chanzo: DP World in the UK
Ma shaa Allah. Sema ni Uislam, usijitafune tafune. Usiogooe neni Yislam. Uislam ni mwema sana.Sio huyu ni Fala tuu yupo humu kitambo na hoja yake kuu ni udini! Hana lolote ni ajuza fulani alieachika kwa kukosa mvuto!
Tanzania hatuna mkataba wsnkibiadhara na DPW, tuna mkataba wa ushirikiano. Wa maendeleo na Serikali ya Dubai. Kama upo mkataba wa jibuashara bauna ya DPW na TPA sijauona. Kama wewe unao uweke hapa tuoone,Mkata wa DPW na UK unafanana na TZ kwa vigezo na masharti?
Naiunga mkono DP world, lakini si kwa kiwango kufananisha na uwepo wao Uingereza.DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni kwa wateja na udhibiti wa usalama.
DP World wamewekeza kwenye miundombinu sahihi ya biashara na masuluhisho mahiri ya vifaa kwa wateja wao wsnaotumia bandari hizo. Kila mwaka, DP World kupitia bandari hizo wanasafirisha takriban kontena milioni 3.6 - bidhaa zenye thamani ya £43 bilioni katika kontena hizi husafirishwa kwenda na kutoka nchi zilizo nje ya EU.
DP World wanaamini katika soko la Uingereza wana matarajio na rasilimali za kutosha kuhimili na kuboresha ukuwaji, kusaidia biashara, kuunda nafasi za kazi na kuboresha viwango vya maisha. Utaalam wao wa biashara unaoongoza katika sekta ya bandari, unatambuliwa kwa kutoa ushauri wa kiufundi na wa kimkakati mara kwa mara kwa Serikali ya Uingereza.
Chanzo: DP World in the UK
Nimesikia ndiyo maana nijauweka mkataba hapa👇🏾 ili tuyajadili hayo "matatizo" tusidanganyane. Wewe upitie utuoneshe tatizo moja moja tulijadili 👇🏾Hivi mkuu, mijadala yote iliyofumuka kitaifa ihusuyo masharti mabovu ya mkataba wa muwekezaji, wewe haujasikia?
Na kama umesikia, kuna mtu yeyote kasema uwekezaji kutoka Uarabuni haufai au kinachopigiwa kelele na raia ni masharti ya hovyo yaliyomo kwenye mkataba?
Kuwa DpW wapo Uingereza na kwingine kwenye uwekezaji wa namna hiyo, si uhalali wa kututwisha sisi mikataba masalia ya kuumiza nchi.
Waziri mkuu mwenyewe keshasema, wapo raia wenye mashaka nao na hawastahili kubezwa.
Na mashaka hayo yanatokana na mikataba mingine ya kifisadi huko nyuma iliyoingiwa na kuridhiwa na nchi ambayo kila mtu mzima anafahamu.
Yawezekana Rais alikuwa na nia njema kufikiria jambo hilo, lakini ni namna gani utekekezaji wake ulivyoanzwa, ndiyo kitendawili na kizungumkuti kinachochanganya wananch!
Umeshamsikia Mbunge wa Nkansi aitwaye Kishoa kwa umakini na ukamuelewa?
Sasa, kati kati ya mijadala mizito namna hii ambayo haijapata muafaka wa kitaifa, halafu wewe unaanzisha mada ya kujiweka upande unaotiliwa shaka na kuitwa majina ya uchawa!
Nadhani haikustahili kwa mtu kama wewe unayeonekana humu Jf kama ni mwenye akili kubwa kuanzisha mada kama hii kwa sasa ambayo itakushushia tu heshima.
Ujue jambo hili hili tayari limeshatugawa waTz.
Na litakapofikia muafaka jambo hili, kuna baadhi ya watu wenye majina yenye kuheshemika, ambao hoja hii itawatweza na kudharaulika na jamii kutokana na kuunga kwao mkono hoja mbovu za kifisadi zisizofanyiwa na zinazoendelea kfanyiwa utafiti kabla ya kupata muafaka wa Umma.