DP World tayari imejenga "Bandari Kavu" Rwanda yenye uwezo wa kontena elfu 50, wakati bandari yetu ni ya kontena elfu 19 tu

Rwanda wana akili nzuri kuliko viongozi wa nchi hii.
 
Judas Iscariote endeleeni kutafuna hata hiki kidogo kilichobakia.
 
Tuwekee hapa mkataba wa Rwanda, tulinganishe na huu uliosainiwa na Hawa.
 
Mkuu umeona eeh! hizo ni calculated moves......... sasa intelligence ya nchi ikilala mnaingia kwenye mitego ya watu wengine wenye maslahi binafsi ya nchi zao.
 
Hakuna Sehemu ambayo DP world amewekeza ambayo hajawekeza kupanua Bandari, akipewa Bandari hata Hapa Tanzania anaweza kuweka zaidi ya hio 50k Teu.

Unaiongelea hii kampuni kama Vile ni kikampuni cha uchochoroni kinaweza kuwa controlled na Rwanda.
 
Kontena Elfu 19 Hadi Elfu 50 hata wanasiasa Wana Ahadi tamu Sana ukiskia utatamani uchaguzi ufike ili impigie kura ....akisha chaguliwa sasa
 
Sio kwamba tunakataa uwekezaji sisi kama nchi tunashindwa nn kuendesha bandari mpk tubinafsishe????
 
Acha kupotosha watu, mteja let's say kutoka Congo DR amenunua mzigo wake China, yeye ndio ayaamua mzigo wake aupokelee wapi Final destination kutokana na freight aliyolipia. Kumbuka ukinunua mzigo kitu cha kwanza supplier atakuuliza final distinction ni wapi na mzigo wako utaupokelea wapi ( port of delivery ) acha kupotosha watu
 
Hawa ni DP World wana exclusive Patent au Uchawi wa kuongeza Uwezo wa Kontena kwenye Bandari ? Yaani ni Rocket Science ambayo nyie hamuwezi kufanya au hao wajenzi wana exclusivity ya kuwafanyia DP World Pekee ?!!!

Waasisi walisema mambo tuyaache mpaka siku tukipata akili, tatizo akili zimepungua na mambo tunayapaparikia utafikiri kuna mashindano ya kupiga deals...
 
Hayakwepeki mabadiliko wabongo tukubali tu.Mfano ya Nini kukaa na magofu mjini,fire upanga wapewe developers
 
Kuna mkono wa Kagame kwenye huu mkataba, kumbuka ziara za Samia Rwanda

Yani huyu Kagame ni nyoko aisee!!

Mbona kama mna utoto kwenye jambo serious ...je izo nchi nyingine dp world zinapo fanya kazi napo kuna mkono wa nani
 
Huyu tahira mleta uzi anafananisha bandari na bandari kavu na hawa ndio wanateuliwa wakurugenzi uku bara kutoka Zanzibar

Ficha ujinga wako.kisa umesikia bandar kavu ndio wazani ni kama godown la mahindi?
 
Nafasi kama hii wazanzibari wanaililia leo wamepata watanganyika wanaona kama wanatapeliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…