Hela za uwekezaji kama huo,hazipo.Kula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana.
Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili ndogo tu kuweza kuivuna na kusaidia uchumi, afya za watu na ajira kwa vijana. Ukiachana na bandari pia kuna mazao mengi sana ya majini ambayo yanaweza kuwa chanzo ya ajira kwa vijana wengi sana nchini.
Wizara ya uvuvi tengeneza mnyororo mrefu sana na mpana sana utakaowazoa vijana wengi kama sio wote ili waachane na kazi hatarishi za bodaboda na umachinga.
1. Jenga bandari nyingi za uvuvi Dar es salaam,, Tanga, Lindi, Pwani, Mtwara, Kigoma, Mwanza, Mara, Kagera, Nyasa.
2. Kisha jenga sehemu kubwa za kuhifadhia samaki kuanzia bandarini na kila wilaya nchini
3. Nununua meli kubwa nyingi za uvuvi wa maji ya kina kifupi na kina kirefu
4. Nunua magari mengi ya kusambazia samaki hadi kwenye vituo vilivyoko kila wilaya
5. Nunua boti za kulinda usalama majini kulinda wavuvi na meli/boti za uvuvi na samaki/mazao ya baharini.
6. Wafanyabiashara na wananchi watanunua samaki kutoka wilayani kwenda kwa walaji popote walipo kwenye tarafa, kata, vijiji, vitongoji na kaya.
7. Uza samaki kwa wingi nje ya nchi zenye uhitaji wa samaki (nchi zisizokuwa na bahari, maziwa na mito kama sisi).
8. Wezesha vijana kufuga samaki, kulima mwani na kuvua.
9. Jenga viwanda vya kuchakata samaki
Kama ukiyatimiza hayo Mungu na Umma utakutukuza. Utawafagia vijana wooote mitaani na kuwaingiza kwenye mnyororo wa mrefu na mpana wa samaki na mazao ya majini. Bahari, maziwa na mito vitageuka mfadhili wetu mkuu.
Kwanini hamfanyi hivyo miaka 65 ya uhuru?. Mna bahati sana tz kuna vyama vya siasa vinavyokosoa tyuuuuu bila kuonyesha ufumbuzi wa matatizo ya wananchi mliyoshindwa kuyatatua.
Ni aibu nchi hii kuwa na vijana wengi wanaokatwa miguu yao kila siku kwasababu ya ajali za bodaboda, eti hakuna ajira.
😂🤣😅😆😁😄😃😀😂🤣😅😆😁😄😃😀😂🤣😅😆😁😄😃😃majuzi hapa nilikutana na huyu bwana mkubwa.. kwanza ni kama hayuko sawa.. ni ama anaumwa (sukari) maana kukojoa kulikuwa mara kwa mara sana.. au huko ndan kwao wanamburuza kwa mambo mengi... full stress
Hizi ndio huwa porojo za motivational speaker wote. Hizi story ni kama zile story za kilimo cha matikiti. Hao wanaovua samaki sasa hivi tunawaona, mbona hali zao hazishawishi? Huko kwenye bodaboda vijana wanakutana na hela kweli, ndio maana wameenda kwa wingi bila kushawishiwa na serekali.Kula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana.
Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili ndogo tu kuweza kuivuna na kusaidia uchumi, afya za watu na ajira kwa vijana. Ukiachana na bandari pia kuna mazao mengi sana ya majini ambayo yanaweza kuwa chanzo ya ajira kwa vijana wengi sana nchini.
Wizara ya uvuvi tengeneza mnyororo mrefu sana na mpana sana utakaowazoa vijana wengi kama sio wote ili waachane na kazi hatarishi za bodaboda na umachinga.
1. Jenga bandari nyingi za uvuvi Dar es salaam,, Tanga, Lindi, Pwani, Mtwara, Kigoma, Mwanza, Mara, Kagera, Nyasa.
2. Kisha jenga sehemu kubwa za kuhifadhia samaki kuanzia bandarini na kila wilaya nchini
3. Nununua meli kubwa nyingi za uvuvi wa maji ya kina kifupi na kina kirefu
4. Nunua magari mengi ya kusambazia samaki hadi kwenye vituo vilivyoko kila wilaya
5. Nunua boti za kulinda usalama majini kulinda wavuvi na meli/boti za uvuvi na samaki/mazao ya baharini.
6. Wafanyabiashara na wananchi watanunua samaki kutoka wilayani kwenda kwa walaji popote walipo kwenye tarafa, kata, vijiji, vitongoji na kaya.
7. Uza samaki kwa wingi nje ya nchi zenye uhitaji wa samaki (nchi zisizokuwa na bahari, maziwa na mito kama sisi).
8. Wezesha vijana kufuga samaki, kulima mwani na kuvua.
9. Jenga viwanda vya kuchakata samaki
Kama ukiyatimiza hayo Mungu na Umma utakutukuza. Utawafagia vijana wooote mitaani na kuwaingiza kwenye mnyororo wa mrefu na mpana wa samaki na mazao ya majini. Bahari, maziwa na mito vitageuka mfadhili wetu mkuu. Samaki wataliwa nchi nzima kwa bei nafuu na watu/vijana kujiongezea kipato na afya zao zitaboreka.
Kwanini hamfanyi hivyo miaka 65 ya uhuru?. Mna bahati sana tz kuna vyama vya siasa vinavyokosoa tyuuuuu bila kuonyesha ufumbuzi wa matatizo ya wananchi mliyoshindwa kuyatatua.
Ni aibu nchi hii kuwa na vijana wengi wanaokatwa miguu yao kila siku kwasababu ya ajali za bodaboda, eti hakuna ajira.
Nilimuuliza dada mmoja kuwa eti ni kweli wanawake wanawapenda bodaboda? Akajibu ni kweli kwasababu bodaboda wanakupa hela kidogo japo kidogo lakini za kila siku na usafiri lakini hawana nguvu za kiume; hela na usafiri endelevu kwa madhara madhara kidogo tu. "Wakati mwingine wanaishia kunawa na kunyonya papuchi tu, hadi wanywe energy". Aliendele kusema "Wanatusaidia kutupeleka kwa mabwana zetu wa ukweli wao wanaishia kugusa au kamoja ka taabu sana na kunyonya na kulambalamba kwingiiii kama nyoka".Hizi ndio huwa porojo za motivational speaker wote. Hizi story ni kama zile story za kilimo cha matikiti. Hao wanaovua samaki sasa hivi tunawaona, mbona hali zao hazishawishi? Huko kwenye bodaboda vijana wanakutana na hela kweli, ndio maana wameenda kwa wingi bila kushawishiwa na serekali.
Mjadala hapa sio mapenzi ya chumbani, bali uvuvi wenye tija. Hao wanaovua ingekuwa inawalipa si wangewekeza kwenye mitambo ya kisasa?Nilimuuliza dada mmoja kuwa eti ni kweli wanawake wanawapenda bodaboda? Akajibu ni kweli kwasababu bodaboda wanakupa hela kidogo japo kidogo lakini za kila siku na usafiri lakini hawana nguvu za kiume; hela na usafiri endelevu kwa madhara madhara kidogo tu. "Wakati mwingine wanaishia kunawa na kunyonya papuchi tu, hadi wanywe energy". Aliendele kusema "Wanatusaidia kutupeleka kwa mabwana zetu wa ukweli wao wanaishia kugusa au kamoja ka taabu sana na kunyonya na kulambalamba kwingiiii kama nyoka".
Hao uliowaona wanavuaje?
Wanatumia mitumbwi na kalabai, makokolo na ndoana. Wanavua pembezoni mwa bahari na ziwa tu, hawawezi kwenda deep sea waliko samaki wengi na wakubwa. Wavuvi wetu wanatumia nguvu nyingi kupata samaki wachache na wadogo kuliko mahitaji ya soko. Ndio maana samaki wanauzwa ghali na hawapo.Mjadala hapa sio mapenzi ya chumbani, bali uvuvi wenye tija. Hao wanaovua ingekuwa inawalipa si wangewekeza kwenye mitambo ya kisasa?
Wanatumia mitumbwi na kalabai, makokolo na ndoana. Wanavua pembezoni mwa bahari na ziwa tu, hawawezi kwenda deep sea waliko samaki wengi na wakubwa. Wavuvi wetu wanatumia nguvu nyingi kupata samaki wachache na wadogo kuliko mahitaji ya soko. Ndio maana samaki wanauzwa ghali na hawapo.
Wazungu wanatudharau sana kuona vijana(nguvukazi) wetu wanajivunia kuwa manamba (diaspora)/cheap labors na kulipa kodi kubwa huko kuzijenga nchi za wazungu na kuwaacha wazazi wao bila msaada wa maana. Eti mazishi ya mzazi yanacheleweshwa kusubili manamba aje kutoka Marekani na Ulaya. Walikuwa wanatupeleka kwa majahazi kwa nguvu tukiwa tumenuna lakini sasa hivi tunakwenda wenyewe kwa kicheko.Nimependa sana Una vyo switch unampokea mtu anavyokuja tatizo la Jf mkuu siku hizi Ukitoa hoja ya maana mtu Ana iunderestimate bila kuwa na facts zozote au anaanza ku attack personal Mimi binafsi naona wazo lako ni possible Kama tuna pesa za mega project kwanini tusiwekeze Bahraini assume kila mwaka trillion 2 zinawekwa baharini Baada ya miaka mitano sisi ni ma giant wa Uvuvi Nahisi hata Africa yote
Huyu Tindo ndiyo aina ya jamii inayopatikana kwa wingi kule upande wa pili.Nimependa sana Una vyo switch unampokea mtu anavyokuja tatizo la Jf mkuu siku hizi Ukitoa hoja ya maana mtu Ana iunderestimate bila kuwa na facts zozote au anaanza ku attack personal Mimi binafsi naona wazo lako ni possible Kama tuna pesa za mega project kwanini tusiwekeze Bahraini assume kila mwaka trillion 2 zinawekwa baharini Baada ya miaka mitano sisi ni ma giant wa Uvuvi Nahisi hata Africa yote
Kwani bodaboda wamewezeshwa na serekali aina ya Pikipiki? Kwakuwa bodaboda inalipa ndio maana wamejazana humo bila uwekezaji wa serekali. Huo uvuvi ungekuwa unalipa wala wasingesubiri serekali sijui iwape mtaji, sijui nyavu nk.Wanatumia mitumbwi na kalabai, makokolo na ndoana. Wanavua pembezoni mwa bahari na ziwa tu, hawawezi kwenda deep sea waliko samaki wengi na wakubwa. Wavuvi wetu wanatumia nguvu nyingi kupata samaki wachache na wadogo kuliko mahitaji ya soko. Ndio maana samaki wanauzwa ghali na hawapo.
Lifanyie utafiti hilo swala andika article ichapishe mpe nakala waziri. Itakuwa bomba sanaKula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana.
Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili ndogo tu kuweza kuivuna na kusaidia uchumi, afya za watu na ajira kwa vijana. Ukiachana na bandari pia kuna mazao mengi sana ya majini ambayo yanaweza kuwa chanzo ya ajira kwa vijana wengi sana nchini.
Wizara ya uvuvi tengeneza mnyororo mrefu sana na mpana sana utakaowazoa vijana wengi kama sio wote ili waachane na kazi hatarishi za bodaboda na umachinga.
1. Jenga bandari nyingi za uvuvi Dar es salaam,, Tanga, Lindi, Pwani, Mtwara, Kigoma, Mwanza, Mara, Kagera, Nyasa.
2. Kisha jenga sehemu kubwa za kuhifadhia samaki kuanzia bandarini na kila wilaya nchini
3. Nununua meli kubwa nyingi za uvuvi wa maji ya kina kifupi na kina kirefu
4. Nunua magari mengi ya kusambazia samaki hadi kwenye vituo vilivyoko kila wilaya
5. Nunua boti za kulinda usalama majini kulinda wavuvi na meli/boti za uvuvi na samaki/mazao ya baharini.
6. Wafanyabiashara na wananchi watanunua samaki kutoka wilayani kwenda kwa walaji popote walipo kwenye tarafa, kata, vijiji, vitongoji na kaya.
7. Uza samaki kwa wingi nje ya nchi zenye uhitaji wa samaki (nchi zisizokuwa na bahari, maziwa na mito kama sisi).
8. Wezesha vijana kufuga samaki, kulima mwani na kuvua.
9. Jenga viwanda vya kuchakata samaki
Kama ukiyatimiza hayo Mungu na Umma utakutukuza. Utawafagia vijana wooote mitaani na kuwaingiza kwenye mnyororo wa mrefu na mpana wa samaki na mazao ya majini. Bahari, maziwa na mito vitageuka mfadhili wetu mkuu. Samaki wataliwa nchi nzima kwa bei nafuu na watu/vijana kujiongezea kipato na afya zao zitaboreka.
Kwanini hamfanyi hivyo miaka 65 ya uhuru?. Mna bahati sana tz kuna vyama vya siasa vinavyokosoa tyuuuuu bila kuonyesha ufumbuzi wa matatizo ya wananchi mliyoshindwa kuyatatua.
Ni aibu nchi hii kuwa na vijana wengi wanaokatwa miguu yao kila siku kwasababu ya ajali za bodaboda, eti hakuna ajira.
Samahani ila naomba niulize swali, hivi hata wewe uliyekosoa kama hivyo unaweza ukatekwa?Wa china wamekuwa wakivua samaki kwenye kina kirefu kwenye bahari ya Hindi eneo la Tanzania, since walipokuja kujenga reli,
Walikuja kukamatwa na ocean patrol ya south Africa miaka ya 2000s, imagine miaka yote hiyo wamekuwa wakivua samaki bila serikali kujua,
Je mipaka ya Nchi yetu ikoje ?
Alafu Nyerere anakuambia wachina ni Ndugu zetu.
Badala ya kuwajengea wa TZ uwezo wa kujitegemea kiuchumi, wao ndio Kwanza wanawatumia wa china kufanya projects za pesa ndefu za serikali.
Hali iyoko ss ni kwamba wa china eti wamepewa license ya kuvua samaki deep sea, na Kuja kuhakikiwa na kulipa kwa serikali.
Je kwa nini wa Tanzania wasipewe ruzuku maana ni Biashara yenye uhakika wa soko, wakavua deep sea, na kuya kuwafanyia processing na kuwa exports, pesa ikapitia kwa wavuvi wa ki Tanzania.
kavulata
Hawawezi cha msingi usiwatukane TU.Samahani ila naomba niulize swali, hivi hata wewe uliyekosoa kama hivyo unaweza ukatekwa?
Tatizo ni hilo chama lako pendwa CCM lililojaa watu wasio na akiliKula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana.
Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili ndogo tu kuweza kuivuna na kusaidia uchumi, afya za watu na ajira kwa vijana. Ukiachana na bandari pia kuna mazao mengi sana ya majini ambayo yanaweza kuwa chanzo ya ajira kwa vijana wengi sana nchini.
Wizara ya uvuvi tengeneza mnyororo mrefu sana na mpana sana utakaowazoa vijana wengi kama sio wote ili waachane na kazi hatarishi za bodaboda na umachinga.
1. Jenga bandari nyingi za uvuvi Dar es salaam,, Tanga, Lindi, Pwani, Mtwara, Kigoma, Mwanza, Mara, Kagera, Nyasa.
2. Kisha jenga sehemu kubwa za kuhifadhia samaki kuanzia bandarini na kila wilaya nchini
3. Nununua meli kubwa nyingi za uvuvi wa maji ya kina kifupi na kina kirefu
4. Nunua magari mengi ya kusambazia samaki hadi kwenye vituo vilivyoko kila wilaya
5. Nunua boti za kulinda usalama majini kulinda wavuvi na meli/boti za uvuvi na samaki/mazao ya baharini.
6. Wafanyabiashara na wananchi watanunua samaki kutoka wilayani kwenda kwa walaji popote walipo kwenye tarafa, kata, vijiji, vitongoji na kaya.
7. Uza samaki kwa wingi nje ya nchi zenye uhitaji wa samaki (nchi zisizokuwa na bahari, maziwa na mito kama sisi).
8. Wezesha vijana kufuga samaki, kulima mwani na kuvua.
9. Jenga viwanda vya kuchakata samaki
Kama ukiyatimiza hayo Mungu na Umma utakutukuza. Utawafagia vijana wooote mitaani na kuwaingiza kwenye mnyororo wa mrefu na mpana wa samaki na mazao ya majini. Bahari, maziwa na mito vitageuka mfadhili wetu mkuu. Samaki wataliwa nchi nzima kwa bei nafuu na watu/vijana kujiongezea kipato na afya zao zitaboreka.
Kwanini hamfanyi hivyo miaka 65 ya uhuru?. Mna bahati sana tz kuna vyama vya siasa vinavyokosoa tyuuuuu bila kuonyesha ufumbuzi wa matatizo ya wananchi mliyoshindwa kuyatatua.
Ni aibu nchi hii kuwa na vijana wengi wanaokatwa miguu yao kila siku kwasababu ya ajali za bodaboda, eti hakuna ajira.
Linahitaji utafiti gani hilo? ukiwa na meli kubwa 100 na boti 300 za uvuvi za utahitaji vijana wangapi kuziendesha, zile bandari 20 za uvuvi zinatakuwa na wafanyakazi wangapi walioajiliwa moja kwa moja? kazi ya kusambasa samaki wilaya zote inahitaji vijana wangapi wa moja kwa moja, viwanda vya kuchakata samaki nako kunahitajika wangapi? Je, kuwatoa samaki wilayani kuwapeleka kwa walaji nako kutaajiri wangapi, je, na wale wachuuzi magengeni?, wauza vifungashio? je mama na baba lishe? nk, je matoyo na bodaboda wa kubeba wachuuzi?Lifanyie utafiti hilo swala andika article ichapishe mpe nakala waziri. Itakuwa bomba sana
Hasa kama umesomea hayo mambo