Dr. Bashiru Kakulwa peleka vijana wote baharini waachane na bodaboda. Mpaka muambiwe na nani?

Tatizo ni hilo chama lako pendwa CCM lililojaa watu wasio na akili
Kama tatizo ni chama langu mbona chama lako nalo linafanyakazi ya kukosoa tu bila kutoa njia mbadala za kufanikisha mambo? Mfano, Heche tayari amesema mwenyewe kuwa analo gari la milion 160, je akiwa madarakani atataka kuwa na gari la milioni ngapi?
 
Kabla sijafikaga Dar nlidhani watu wote wanao kaa dar ndo wenye akili, nlipofika nkagundua nchi bado inasafari ndefu sana.
 
Kama tatizo ni chama langu mbona chama lako nalo linafanyakazi ya kukosoa tu bila kutoa njia mbadala za kufanikisha mambo? Mfano, Heche tayari amesema mwenyewe kuwa analo gari la milion 160, je akiwa madarakani atataka kuwa na gari la milioni ngapi?
Kuwa na gari la 160m sio tatizo na wengi wanayo ? kwani kaiba
 
Sa100 alinunua meli nne za uvuvi eti mbili zikapelekwa zanzibar na mbili zikabaki Tanganyika.Upuuzi kabisa .yaani tunagawana na zanzibar nusu kwa nusu kama vile tunalingana ukubwa wa nchi na idadi ya watu.awamu ya hovyo sana
 
Kumbe bi kidude anapenda wafuasi wanaoongoza kwa kukatwa miguu.?

images - 2026-10-16T065305.196.jpeg
images - 2026-10-16T065445.860.jpeg
images - 2026-10-16T065459.474.jpeg
 
Nia ya serikali ya ccm ni kuona wananchi wakitaabika na kuendelea kuwa maskini ili wautumie kama mtaji wao wa kuendelea kusalia madarakani, hawana nia njema na wananchi wa taifa hili
 
ukiwa na meli kubwa 100 na boti 300 za uvuvi za utahitaji vijana wangapi kuziendesha
😂😂 Boti mbili tuu za huduma ya kwanza (ambulance) zinatushinda kumiliki itakuwa meli hata 10 tuu!? Big joke

Anyway umeandika wazo zuri na fikirishi... Andika proposal nzuri uipeleke/uitume dodoma makao makuu ya wizara na serikali.
 
Kula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana.

Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili ndogo tu kuweza kuivuna na kusaidia uchumi, afya za watu na ajira kwa vijana. Ukiachana na bandari pia kuna mazao mengi sana ya majini ambayo yanaweza kuwa chanzo ya ajira kwa vijana wengi sana nchini.

Wizara ya uvuvi tengeneza mnyororo mrefu sana na mpana sana utakaowazoa vijana wengi kama sio wote ili waachane na kazi hatarishi za bodaboda na umachinga.

1. Jenga bandari nyingi za uvuvi Dar es salaam,, Tanga, Lindi, Pwani, Mtwara, Kigoma, Mwanza, Mara, Kagera, Nyasa.
2. Kisha jenga sehemu kubwa za kuhifadhia samaki kuanzia bandarini na kila wilaya nchini
3. Nununua meli kubwa nyingi za uvuvi wa maji ya kina kifupi na kina kirefu
4. Nunua magari mengi ya kusambazia samaki hadi kwenye vituo vilivyoko kila wilaya
5. Nunua boti za kulinda usalama majini kulinda wavuvi na meli/boti za uvuvi na samaki/mazao ya baharini.
6. Wafanyabiashara na wananchi watanunua samaki kutoka wilayani kwenda kwa walaji popote walipo kwenye tarafa, kata, vijiji, vitongoji na kaya.
7. Uza samaki kwa wingi nje ya nchi zenye uhitaji wa samaki (nchi zisizokuwa na bahari, maziwa na mito kama sisi).
8. Wezesha vijana kufuga samaki, kulima mwani na kuvua.
9. Jenga viwanda vya kuchakata samaki

Kama ukiyatimiza hayo Mungu na Umma utakutukuza. Utawafagia vijana wooote mitaani na kuwaingiza kwenye mnyororo wa mrefu na mpana wa samaki na mazao ya majini. Bahari, maziwa na mito vitageuka mfadhili wetu mkuu. Samaki wataliwa nchi nzima kwa bei nafuu na watu/vijana kujiongezea kipato na afya zao zitaboreka.

Kwanini hamfanyi hivyo miaka 65 ya uhuru?. Mna bahati sana tz kuna vyama vya siasa vinavyokosoa tyuuuuu bila kuonyesha ufumbuzi wa matatizo ya wananchi mliyoshindwa kuyatatua.

Ni aibu nchi hii kuwa na vijana wengi wanaokatwa miguu yao kila siku kwasababu ya ajali za bodaboda, eti hakuna ajira.
Bashiru mwenyewe "wameshamchekecha". Yupo yupo tu.

By the way hili ni wazo zuri sana lakini hii CCM hawawezi kulifanyia kazi. Utitiri wa Bodaboda na ufukara, kwao ni mtaji wa kisiasa.
 
Wazungu wanatudharau sana kuona vijana(nguvukazi) wetu wanajivunia kuwa manamba (diaspora)/cheap labors na kulipa kodi kubwa huko kuzijenga nchi za wazungu na kuwaacha wazazi wao bila msaada wa maana. Eti mazishi ya mzazi yanacheleweshwa kusubili manamba aje kutoka Marekani na Ulaya. Walikuwa wanatupeleka kwa majahazi kwa nguvu tukiwa tumenuna lakini sasa hivi tunakwenda wenyewe kwa kicheko.

Afrika haijafanya vya kutosha kwa vijana wao. Ukweli angekuwa mm ningekata sherehe zote zinazotumia fedha nyingi kwa miaka 10, kupunguza ukubwa wa baraza la mawaziri, kufuta wabunge wa viti maalumu, kufuta nafasi ya wakuu wa mikoa, kufuta manaibu waziri, kufuta ununuzi wa magari ya kifahari serikalini ili kupata fedha za kuimarisha sekta za kilimo, bandari, uvuvi, ufugaji, uchimbaji na uongezaji thamani zinazoajiri vijana wengi.
Unawaita diaspora 'manamba' na kuwashutumu, lakini unajua jinsi fedha wanazotuma (remittances) zinavyookoa familia nyingi ambazo serikali imeshindwa kuzisaidia
 
Kula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana.

Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili ndogo tu kuweza kuivuna na kusaidia uchumi, afya za watu na ajira kwa vijana. Ukiachana na bandari pia kuna mazao mengi sana ya majini ambayo yanaweza kuwa chanzo ya ajira kwa vijana wengi sana nchini.

Wizara ya uvuvi tengeneza mnyororo mrefu sana na mpana sana utakaowazoa vijana wengi kama sio wote ili waachane na kazi hatarishi za bodaboda na umachinga.

1. Jenga bandari nyingi za uvuvi Dar es salaam,, Tanga, Lindi, Pwani, Mtwara, Kigoma, Mwanza, Mara, Kagera, Nyasa.
2. Kisha jenga sehemu kubwa za kuhifadhia samaki kuanzia bandarini na kila wilaya nchini
3. Nununua meli kubwa nyingi za uvuvi wa maji ya kina kifupi na kina kirefu
4. Nunua magari mengi ya kusambazia samaki hadi kwenye vituo vilivyoko kila wilaya
5. Nunua boti za kulinda usalama majini kulinda wavuvi na meli/boti za uvuvi na samaki/mazao ya baharini.
6. Wafanyabiashara na wananchi watanunua samaki kutoka wilayani kwenda kwa walaji popote walipo kwenye tarafa, kata, vijiji, vitongoji na kaya.
7. Uza samaki kwa wingi nje ya nchi zenye uhitaji wa samaki (nchi zisizokuwa na bahari, maziwa na mito kama sisi).
8. Wezesha vijana kufuga samaki, kulima mwani na kuvua.
9. Jenga viwanda vya kuchakata samaki

Kama ukiyatimiza hayo Mungu na Umma utakutukuza. Utawafagia vijana wooote mitaani na kuwaingiza kwenye mnyororo wa mrefu na mpana wa samaki na mazao ya majini. Bahari, maziwa na mito vitageuka mfadhili wetu mkuu. Samaki wataliwa nchi nzima kwa bei nafuu na watu/vijana kujiongezea kipato na afya zao zitaboreka.

Kwanini hamfanyi hivyo miaka 65 ya uhuru?. Mna bahati sana tz kuna vyama vya siasa vinavyokosoa tyuuuuu bila kuonyesha ufumbuzi wa matatizo ya wananchi mliyoshindwa kuyatatua.

Ni aibu nchi hii kuwa na vijana wengi wanaokatwa miguu yao kila siku kwasababu ya ajali za bodaboda, eti hakuna ajira.

Uhaini wa Kiuchumi (Economic Treason)

Inakuwaje nchi yenye ukanda wa bahari wa kilomita karibu 1,424, maziwa makuu matatu (Victoria, Tanganyika, Nyasa), na mito isiyohesabika, kilo moja ya samaki iwe ghali kuliko kilo ya nyama ya ng'ombe? Hii ni ishara tosha kwamba viongozi wetu hawana vipaumbele vya kiakili.
Wakati tunanunua mashangingi ya mawaziri na wabunge kwa mabilioni ya fedha, fedha hizo hizo zingeweza kununua meli za uvuvi wa kina kirefu (Deep Sea Fishing Vessels) na kujenga maghala ya ubaridi (Cold Rooms) katika kila wilaya kama ulivyopendekeza.
 
majuzi hapa nilikutana na huyu bwana mkubwa.. kwanza ni kama hayuko sawa.. ni ama anaumwa (sukari) maana kukojoa kulikuwa mara kwa mara sana.. au huko ndan kwao wanamburuza kwa mambo mengi... full stress

Hizi ndizo taarifa nazo penda..Akikata moto Chapu leta Taarifa JF hapa .CCM wauaji na watekaji.
 
Kula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana.

Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili ndogo tu kuweza kuivuna na kusaidia uchumi, afya za watu na ajira kwa vijana. Ukiachana na bandari pia kuna mazao mengi sana ya majini ambayo yanaweza kuwa chanzo ya ajira kwa vijana wengi sana nchini.

Wizara ya uvuvi tengeneza mnyororo mrefu sana na mpana sana utakaowazoa vijana wengi kama sio wote ili waachane na kazi hatarishi za bodaboda na umachinga.

1. Jenga bandari nyingi za uvuvi Dar es salaam,, Tanga, Lindi, Pwani, Mtwara, Kigoma, Mwanza, Mara, Kagera, Nyasa.
2. Kisha jenga sehemu kubwa za kuhifadhia samaki kuanzia bandarini na kila wilaya nchini
3. Nununua meli kubwa nyingi za uvuvi wa maji ya kina kifupi na kina kirefu
4. Nunua magari mengi ya kusambazia samaki hadi kwenye vituo vilivyoko kila wilaya
5. Nunua boti za kulinda usalama majini kulinda wavuvi na meli/boti za uvuvi na samaki/mazao ya baharini.
6. Wafanyabiashara na wananchi watanunua samaki kutoka wilayani kwenda kwa walaji popote walipo kwenye tarafa, kata, vijiji, vitongoji na kaya.
7. Uza samaki kwa wingi nje ya nchi zenye uhitaji wa samaki (nchi zisizokuwa na bahari, maziwa na mito kama sisi).
8. Wezesha vijana kufuga samaki, kulima mwani na kuvua.
9. Jenga viwanda vya kuchakata samaki

Kama ukiyatimiza hayo Mungu na Umma utakutukuza. Utawafagia vijana wooote mitaani na kuwaingiza kwenye mnyororo wa mrefu na mpana wa samaki na mazao ya majini. Bahari, maziwa na mito vitageuka mfadhili wetu mkuu. Samaki wataliwa nchi nzima kwa bei nafuu na watu/vijana kujiongezea kipato na afya zao zitaboreka.

Kwanini hamfanyi hivyo miaka 65 ya uhuru?. Mna bahati sana tz kuna vyama vya siasa vinavyokosoa tyuuuuu bila kuonyesha ufumbuzi wa matatizo ya wananchi mliyoshindwa kuyatatua.

Ni aibu nchi hii kuwa na vijana wengi wanaokatwa miguu yao kila siku kwasababu ya ajali za bodaboda, eti hakuna ajira.
Unapoteza muda na nguvu zako kushauri nani atakuelewa
 
Siku hizi biashara/shughuli za kiuchumi zinaendeshwa na nguvu ya soko.
Hata hao bodaboda wanaingia na wengine wanatoka, ukiona wako wengi huko jua bado kuna chochote kitu.

Huo ushauri uliotoa ni mzuri sana kwa nchi za kijamaa.
 
Kula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana.

Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili ndogo tu kuweza kuivuna na kusaidia uchumi, afya za watu na ajira kwa vijana. Ukiachana na bandari pia kuna mazao mengi sana ya majini ambayo yanaweza kuwa chanzo ya ajira kwa vijana wengi sana nchini.

Wizara ya uvuvi tengeneza mnyororo mrefu sana na mpana sana utakaowazoa vijana wengi kama sio wote ili waachane na kazi hatarishi za bodaboda na umachinga.

1. Jenga bandari nyingi za uvuvi Dar es salaam,, Tanga, Lindi, Pwani, Mtwara, Kigoma, Mwanza, Mara, Kagera, Nyasa.
2. Kisha jenga sehemu kubwa za kuhifadhia samaki kuanzia bandarini na kila wilaya nchini
3. Nununua meli kubwa nyingi za uvuvi wa maji ya kina kifupi na kina kirefu
4. Nunua magari mengi ya kusambazia samaki hadi kwenye vituo vilivyoko kila wilaya
5. Nunua boti za kulinda usalama majini kulinda wavuvi na meli/boti za uvuvi na samaki/mazao ya baharini.
6. Wafanyabiashara na wananchi watanunua samaki kutoka wilayani kwenda kwa walaji popote walipo kwenye tarafa, kata, vijiji, vitongoji na kaya.
7. Uza samaki kwa wingi nje ya nchi zenye uhitaji wa samaki (nchi zisizokuwa na bahari, maziwa na mito kama sisi).
8. Wezesha vijana kufuga samaki, kulima mwani na kuvua.
9. Jenga viwanda vya kuchakata samaki

Kama ukiyatimiza hayo Mungu na Umma utakutukuza. Utawafagia vijana wooote mitaani na kuwaingiza kwenye mnyororo wa mrefu na mpana wa samaki na mazao ya majini. Bahari, maziwa na mito vitageuka mfadhili wetu mkuu. Samaki wataliwa nchi nzima kwa bei nafuu na watu/vijana kujiongezea kipato na afya zao zitaboreka.

Kwanini hamfanyi hivyo miaka 65 ya uhuru?. Mna bahati sana tz kuna vyama vya siasa vinavyokosoa tyuuuuu bila kuonyesha ufumbuzi wa matatizo ya wananchi mliyoshindwa kuyatatua.

Ni aibu nchi hii kuwa na vijana wengi wanaokatwa miguu yao kila siku kwasababu ya ajali za bodaboda, eti hakuna ajira.
Kwamba wakaliwe na samaki tuwanenepeshe kuliko kulea vilema, kuliwa wake zenu
 
😂😂 Boti mbili tuu za huduma ya kwanza (ambulance) zinatushinda kumiliki itakuwa meli hata 10 tuu!? Big joke

Anyway umeandika wazo zuri na fikirishi... Andika proposal nzuri uipeleke/uitume dodoma makao makuu ya wizara na serikali.
UNadhani hawamo humu jf? Wanasoma kila kitu humu
 
Back
Top Bottom