Kakaaa!! Kaa kimya fumba macho kwa dk 1 uwaombee diaspora kwa mateso wanayokutana nayo huko ugenini. Ili manamba apate hela ya kumtumia mzazi nyumbani lazima ajifunge mkanda kwelikweli. Kuna wakati lazima afanye kazi/shifts tatu kwa siku ili apate surplus. Wanakatwa pesa nyingi kama tozo kama wakituma fedha Afrika ili kuwafanya wasitume pesa, wazitumie hukohuko.Unawaita diaspora 'manamba' na kuwashutumu, lakini unajua jinsi fedha wanazotuma (remittances) zinavyookoa familia nyingi ambazo serikali imeshindwa kuzisaidia
Nadhani haina nia hiyo, kama nia ingekuwa hiyo isingeruhusu makabila yasiyokuwa na ardhi waende kwenye makabila mengine wakachukue au kununua ardhi, wasijenga shule, zahanati, mabwawa ya umeme na kuusambaza nchi nzima.Nia ya serikali ya ccm ni kuona wananchi wakitaabika na kuendelea kuwa maskini ili wautumie kama mtaji wao wa kuendelea kusalia madarakani, hawana nia njema na wananchi wa taifa hili
Nakumbuka Magufuli akiwa waziri wa uvuvi aliwahi kukamata meli moja ya uvuvi huko deep sea ya tanzania. Akataifisha masamaki yale mengiiii makubwaaa waliogawanywa kwenye taasisi mbalimbali kwa kitoeo.HILI NIMEWAHI KULIZUNGUMZA SANA BAHARI INA UCHUMI MKUBWA SANA ULIOPITILIZA,TUPATE MELI ZA UVUVI 15 ZA KUVUA BAHARI KUU,VITOWEO VIUZWE KILA PAHALA KWA BEI NAFUU KILO 5000/- ,HAPA NCHINI NA WENGINE TULISHE MALAWI ZAMBIA ZIMBABWE KONGO MPAKA AFRIKA YA KATI,RWANDA BURUNDI/
KULIKUWA HATA HAKUNA HAJA YA KUVUNA CHUMA CHETU KWA SASA.