Kama tatizo ni chama langu mbona chama lako nalo linafanyakazi ya kukosoa tu bila kutoa njia mbadala za kufanikisha mambo? Mfano, Heche tayari amesema mwenyewe kuwa analo gari la milion 160, je akiwa madarakani atataka kuwa na gari la milioni ngapi?Tatizo ni hilo chama lako pendwa CCM lililojaa watu wasio na akili
Kuwa na gari la 160m sio tatizo na wengi wanayo ? kwani kaibaKama tatizo ni chama langu mbona chama lako nalo linafanyakazi ya kukosoa tu bila kutoa njia mbadala za kufanikisha mambo? Mfano, Heche tayari amesema mwenyewe kuwa analo gari la milion 160, je akiwa madarakani atataka kuwa na gari la milioni ngapi?
Hivi ni nani eti alimtukanaga rais? (yule aliyepita wa awamu ya tano)Hawawezi cha msingi usiwatukane TU.
Sikumbuki vizuri,ila usitukane watu MzeeHivi ni nani eti alimtukanaga rais? (yule aliyepita wa awamu ya tano)
Kwani alisema nini?
😂😂 Boti mbili tuu za huduma ya kwanza (ambulance) zinatushinda kumiliki itakuwa meli hata 10 tuu!? Big jokeukiwa na meli kubwa 100 na boti 300 za uvuvi za utahitaji vijana wangapi kuziendesha
Bashiru mwenyewe "wameshamchekecha". Yupo yupo tu.Kula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana.
Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili ndogo tu kuweza kuivuna na kusaidia uchumi, afya za watu na ajira kwa vijana. Ukiachana na bandari pia kuna mazao mengi sana ya majini ambayo yanaweza kuwa chanzo ya ajira kwa vijana wengi sana nchini.
Wizara ya uvuvi tengeneza mnyororo mrefu sana na mpana sana utakaowazoa vijana wengi kama sio wote ili waachane na kazi hatarishi za bodaboda na umachinga.
1. Jenga bandari nyingi za uvuvi Dar es salaam,, Tanga, Lindi, Pwani, Mtwara, Kigoma, Mwanza, Mara, Kagera, Nyasa.
2. Kisha jenga sehemu kubwa za kuhifadhia samaki kuanzia bandarini na kila wilaya nchini
3. Nununua meli kubwa nyingi za uvuvi wa maji ya kina kifupi na kina kirefu
4. Nunua magari mengi ya kusambazia samaki hadi kwenye vituo vilivyoko kila wilaya
5. Nunua boti za kulinda usalama majini kulinda wavuvi na meli/boti za uvuvi na samaki/mazao ya baharini.
6. Wafanyabiashara na wananchi watanunua samaki kutoka wilayani kwenda kwa walaji popote walipo kwenye tarafa, kata, vijiji, vitongoji na kaya.
7. Uza samaki kwa wingi nje ya nchi zenye uhitaji wa samaki (nchi zisizokuwa na bahari, maziwa na mito kama sisi).
8. Wezesha vijana kufuga samaki, kulima mwani na kuvua.
9. Jenga viwanda vya kuchakata samaki
Kama ukiyatimiza hayo Mungu na Umma utakutukuza. Utawafagia vijana wooote mitaani na kuwaingiza kwenye mnyororo wa mrefu na mpana wa samaki na mazao ya majini. Bahari, maziwa na mito vitageuka mfadhili wetu mkuu. Samaki wataliwa nchi nzima kwa bei nafuu na watu/vijana kujiongezea kipato na afya zao zitaboreka.
Kwanini hamfanyi hivyo miaka 65 ya uhuru?. Mna bahati sana tz kuna vyama vya siasa vinavyokosoa tyuuuuu bila kuonyesha ufumbuzi wa matatizo ya wananchi mliyoshindwa kuyatatua.
Ni aibu nchi hii kuwa na vijana wengi wanaokatwa miguu yao kila siku kwasababu ya ajali za bodaboda, eti hakuna ajira.
Unawaita diaspora 'manamba' na kuwashutumu, lakini unajua jinsi fedha wanazotuma (remittances) zinavyookoa familia nyingi ambazo serikali imeshindwa kuzisaidiaWazungu wanatudharau sana kuona vijana(nguvukazi) wetu wanajivunia kuwa manamba (diaspora)/cheap labors na kulipa kodi kubwa huko kuzijenga nchi za wazungu na kuwaacha wazazi wao bila msaada wa maana. Eti mazishi ya mzazi yanacheleweshwa kusubili manamba aje kutoka Marekani na Ulaya. Walikuwa wanatupeleka kwa majahazi kwa nguvu tukiwa tumenuna lakini sasa hivi tunakwenda wenyewe kwa kicheko.
Afrika haijafanya vya kutosha kwa vijana wao. Ukweli angekuwa mm ningekata sherehe zote zinazotumia fedha nyingi kwa miaka 10, kupunguza ukubwa wa baraza la mawaziri, kufuta wabunge wa viti maalumu, kufuta nafasi ya wakuu wa mikoa, kufuta manaibu waziri, kufuta ununuzi wa magari ya kifahari serikalini ili kupata fedha za kuimarisha sekta za kilimo, bandari, uvuvi, ufugaji, uchimbaji na uongezaji thamani zinazoajiri vijana wengi.
Kula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana.
Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili ndogo tu kuweza kuivuna na kusaidia uchumi, afya za watu na ajira kwa vijana. Ukiachana na bandari pia kuna mazao mengi sana ya majini ambayo yanaweza kuwa chanzo ya ajira kwa vijana wengi sana nchini.
Wizara ya uvuvi tengeneza mnyororo mrefu sana na mpana sana utakaowazoa vijana wengi kama sio wote ili waachane na kazi hatarishi za bodaboda na umachinga.
1. Jenga bandari nyingi za uvuvi Dar es salaam,, Tanga, Lindi, Pwani, Mtwara, Kigoma, Mwanza, Mara, Kagera, Nyasa.
2. Kisha jenga sehemu kubwa za kuhifadhia samaki kuanzia bandarini na kila wilaya nchini
3. Nununua meli kubwa nyingi za uvuvi wa maji ya kina kifupi na kina kirefu
4. Nunua magari mengi ya kusambazia samaki hadi kwenye vituo vilivyoko kila wilaya
5. Nunua boti za kulinda usalama majini kulinda wavuvi na meli/boti za uvuvi na samaki/mazao ya baharini.
6. Wafanyabiashara na wananchi watanunua samaki kutoka wilayani kwenda kwa walaji popote walipo kwenye tarafa, kata, vijiji, vitongoji na kaya.
7. Uza samaki kwa wingi nje ya nchi zenye uhitaji wa samaki (nchi zisizokuwa na bahari, maziwa na mito kama sisi).
8. Wezesha vijana kufuga samaki, kulima mwani na kuvua.
9. Jenga viwanda vya kuchakata samaki
Kama ukiyatimiza hayo Mungu na Umma utakutukuza. Utawafagia vijana wooote mitaani na kuwaingiza kwenye mnyororo wa mrefu na mpana wa samaki na mazao ya majini. Bahari, maziwa na mito vitageuka mfadhili wetu mkuu. Samaki wataliwa nchi nzima kwa bei nafuu na watu/vijana kujiongezea kipato na afya zao zitaboreka.
Kwanini hamfanyi hivyo miaka 65 ya uhuru?. Mna bahati sana tz kuna vyama vya siasa vinavyokosoa tyuuuuu bila kuonyesha ufumbuzi wa matatizo ya wananchi mliyoshindwa kuyatatua.
Ni aibu nchi hii kuwa na vijana wengi wanaokatwa miguu yao kila siku kwasababu ya ajali za bodaboda, eti hakuna ajira.
majuzi hapa nilikutana na huyu bwana mkubwa.. kwanza ni kama hayuko sawa.. ni ama anaumwa (sukari) maana kukojoa kulikuwa mara kwa mara sana.. au huko ndan kwao wanamburuza kwa mambo mengi... full stress
Unapoteza muda na nguvu zako kushauri nani atakuelewaKula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana.
Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili ndogo tu kuweza kuivuna na kusaidia uchumi, afya za watu na ajira kwa vijana. Ukiachana na bandari pia kuna mazao mengi sana ya majini ambayo yanaweza kuwa chanzo ya ajira kwa vijana wengi sana nchini.
Wizara ya uvuvi tengeneza mnyororo mrefu sana na mpana sana utakaowazoa vijana wengi kama sio wote ili waachane na kazi hatarishi za bodaboda na umachinga.
1. Jenga bandari nyingi za uvuvi Dar es salaam,, Tanga, Lindi, Pwani, Mtwara, Kigoma, Mwanza, Mara, Kagera, Nyasa.
2. Kisha jenga sehemu kubwa za kuhifadhia samaki kuanzia bandarini na kila wilaya nchini
3. Nununua meli kubwa nyingi za uvuvi wa maji ya kina kifupi na kina kirefu
4. Nunua magari mengi ya kusambazia samaki hadi kwenye vituo vilivyoko kila wilaya
5. Nunua boti za kulinda usalama majini kulinda wavuvi na meli/boti za uvuvi na samaki/mazao ya baharini.
6. Wafanyabiashara na wananchi watanunua samaki kutoka wilayani kwenda kwa walaji popote walipo kwenye tarafa, kata, vijiji, vitongoji na kaya.
7. Uza samaki kwa wingi nje ya nchi zenye uhitaji wa samaki (nchi zisizokuwa na bahari, maziwa na mito kama sisi).
8. Wezesha vijana kufuga samaki, kulima mwani na kuvua.
9. Jenga viwanda vya kuchakata samaki
Kama ukiyatimiza hayo Mungu na Umma utakutukuza. Utawafagia vijana wooote mitaani na kuwaingiza kwenye mnyororo wa mrefu na mpana wa samaki na mazao ya majini. Bahari, maziwa na mito vitageuka mfadhili wetu mkuu. Samaki wataliwa nchi nzima kwa bei nafuu na watu/vijana kujiongezea kipato na afya zao zitaboreka.
Kwanini hamfanyi hivyo miaka 65 ya uhuru?. Mna bahati sana tz kuna vyama vya siasa vinavyokosoa tyuuuuu bila kuonyesha ufumbuzi wa matatizo ya wananchi mliyoshindwa kuyatatua.
Ni aibu nchi hii kuwa na vijana wengi wanaokatwa miguu yao kila siku kwasababu ya ajali za bodaboda, eti hakuna ajira.
Siku hizi biashara/shughuli za kiuchumi zinaendeshwa na nguvu ya soko.Kula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana.
Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili ndogo tu kuweza kuivuna na kusaidia uchumi, afya za watu na ajira kwa vijana. Ukiachana na bandari pia kuna mazao mengi sana ya majini ambayo yanaweza kuwa chanzo ya ajira kwa vijana wengi sana nchini.
Wizara ya uvuvi tengeneza mnyororo mrefu sana na mpana sana utakaowazoa vijana wengi kama sio wote ili waachane na kazi hatarishi za bodaboda na umachinga.
1. Jenga bandari nyingi za uvuvi Dar es salaam,, Tanga, Lindi, Pwani, Mtwara, Kigoma, Mwanza, Mara, Kagera, Nyasa.
2. Kisha jenga sehemu kubwa za kuhifadhia samaki kuanzia bandarini na kila wilaya nchini
3. Nununua meli kubwa nyingi za uvuvi wa maji ya kina kifupi na kina kirefu
4. Nunua magari mengi ya kusambazia samaki hadi kwenye vituo vilivyoko kila wilaya
5. Nunua boti za kulinda usalama majini kulinda wavuvi na meli/boti za uvuvi na samaki/mazao ya baharini.
6. Wafanyabiashara na wananchi watanunua samaki kutoka wilayani kwenda kwa walaji popote walipo kwenye tarafa, kata, vijiji, vitongoji na kaya.
7. Uza samaki kwa wingi nje ya nchi zenye uhitaji wa samaki (nchi zisizokuwa na bahari, maziwa na mito kama sisi).
8. Wezesha vijana kufuga samaki, kulima mwani na kuvua.
9. Jenga viwanda vya kuchakata samaki
Kama ukiyatimiza hayo Mungu na Umma utakutukuza. Utawafagia vijana wooote mitaani na kuwaingiza kwenye mnyororo wa mrefu na mpana wa samaki na mazao ya majini. Bahari, maziwa na mito vitageuka mfadhili wetu mkuu. Samaki wataliwa nchi nzima kwa bei nafuu na watu/vijana kujiongezea kipato na afya zao zitaboreka.
Kwanini hamfanyi hivyo miaka 65 ya uhuru?. Mna bahati sana tz kuna vyama vya siasa vinavyokosoa tyuuuuu bila kuonyesha ufumbuzi wa matatizo ya wananchi mliyoshindwa kuyatatua.
Ni aibu nchi hii kuwa na vijana wengi wanaokatwa miguu yao kila siku kwasababu ya ajali za bodaboda, eti hakuna ajira.
HAya ni makosa. Adui yako mpe pikipiki iwe yake. Rafiki yako hawezi kukupa pikipiki iwe yako, wacha ainunue mwenyewe.Kumbe bi kidude anapenda wafuasi wanaoongoza kwa kukatwa miguu.?
View attachment 3691834View attachment 3691835View attachment 3691836
HAya ni makosa. Adui yako mpe pikipiki iwe yake. Rafiki yako hawezi kukupa pikipiki iwe yako, wacha ainunue mwenyewe.
Kwamba wakaliwe na samaki tuwanenepeshe kuliko kulea vilema, kuliwa wake zenuKula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana.
Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili ndogo tu kuweza kuivuna na kusaidia uchumi, afya za watu na ajira kwa vijana. Ukiachana na bandari pia kuna mazao mengi sana ya majini ambayo yanaweza kuwa chanzo ya ajira kwa vijana wengi sana nchini.
Wizara ya uvuvi tengeneza mnyororo mrefu sana na mpana sana utakaowazoa vijana wengi kama sio wote ili waachane na kazi hatarishi za bodaboda na umachinga.
1. Jenga bandari nyingi za uvuvi Dar es salaam,, Tanga, Lindi, Pwani, Mtwara, Kigoma, Mwanza, Mara, Kagera, Nyasa.
2. Kisha jenga sehemu kubwa za kuhifadhia samaki kuanzia bandarini na kila wilaya nchini
3. Nununua meli kubwa nyingi za uvuvi wa maji ya kina kifupi na kina kirefu
4. Nunua magari mengi ya kusambazia samaki hadi kwenye vituo vilivyoko kila wilaya
5. Nunua boti za kulinda usalama majini kulinda wavuvi na meli/boti za uvuvi na samaki/mazao ya baharini.
6. Wafanyabiashara na wananchi watanunua samaki kutoka wilayani kwenda kwa walaji popote walipo kwenye tarafa, kata, vijiji, vitongoji na kaya.
7. Uza samaki kwa wingi nje ya nchi zenye uhitaji wa samaki (nchi zisizokuwa na bahari, maziwa na mito kama sisi).
8. Wezesha vijana kufuga samaki, kulima mwani na kuvua.
9. Jenga viwanda vya kuchakata samaki
Kama ukiyatimiza hayo Mungu na Umma utakutukuza. Utawafagia vijana wooote mitaani na kuwaingiza kwenye mnyororo wa mrefu na mpana wa samaki na mazao ya majini. Bahari, maziwa na mito vitageuka mfadhili wetu mkuu. Samaki wataliwa nchi nzima kwa bei nafuu na watu/vijana kujiongezea kipato na afya zao zitaboreka.
Kwanini hamfanyi hivyo miaka 65 ya uhuru?. Mna bahati sana tz kuna vyama vya siasa vinavyokosoa tyuuuuu bila kuonyesha ufumbuzi wa matatizo ya wananchi mliyoshindwa kuyatatua.
Ni aibu nchi hii kuwa na vijana wengi wanaokatwa miguu yao kila siku kwasababu ya ajali za bodaboda, eti hakuna ajira.
UNadhani hawamo humu jf? Wanasoma kila kitu humu😂😂 Boti mbili tuu za huduma ya kwanza (ambulance) zinatushinda kumiliki itakuwa meli hata 10 tuu!? Big joke
Anyway umeandika wazo zuri na fikirishi... Andika proposal nzuri uipeleke/uitume dodoma makao makuu ya wizara na serikali.