Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Kuhusu UDSM mtu kuwa full prof. bila ya kuwa na PhD, sidhani kama bado kuna utaratibu huo. Watu wanavyobaniwa tu kuwa promoted, sembuse kupata 'mteremko' huo?!?

Hizo siasa za ubaniaji na upendeleo zimekuwepo kwa muda mrefu sana.
 

hapo ndipo ninapokukubali Kiranga
 
Last edited by a moderator:
Kuna tija gani kuwa prof Tanzania? Jipe mfano tu hao akina Magembe, Tibaijuka, et al wanafanya kazi za darasa la 7 bungeni..shame on their professionals!!

Haileti maana kuwa prof afu unakua mpuuzi tu huna articles, journals, huendi inter conferences unakaa kumsujudia Jk ili upewe cheo/wizara
 

Kaka acha uongo 13 april to 20 june 1979 hizo ni masaa 18 umekurupuka..alitawala zaidi ya 18 hrs..

Usiniwaze kama huwezi kujiwaza.
 

Mkuu...ni Assistant na siyo Assistance!
Msaidizi na siyo Usaidizi.
 
Bora ulivyoondoka Prof maana kule utaongozwaje na FormIV failure afu Dj sasa si Matusi hayo? Mwachie yule mnyiramba TUNDU asiejielewa


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 

sasa Dr. Jengo alikuwa Professor pale UDSM kabla ya kupata PhD.........
 

......siyo Marekani tu......hata Ulaya hizo program zipo........
 
Reactions: Nzi
Technical know how za CCM bana, HADI KICHEFUCHEFU!
 
sasa Dr. Jengo alikuwa Professor pale UDSM kabla ya kupata PhD.........

Simfahamu huyo mtu. Ina maana baada ya kuwa professor ndipo akapata PhD ama? Aliitwa Dr. hata kabla ya kuwa professor?

Mimi nilielezea academic rankings based on educational and scholarly achievements.
 

ni ma prof by books tu
 

Ndio anandaliwa kupambana na Lissu?
 
Simfahamu huyo mtu. Ina maana baada ya kuwa professor ndipo akapata PhD ama? Aliitwa Dr. hata kabla ya kuwa professor?

Mimi nilielezea academic rankings based on educational and scholarly achievements.

......Jengo alikuwa Professor kabla hajapata kuwa na PhD......PhD yake aliipata baadaye sana......
 
Tanzania kila kitu kinawezekana madr usisema mpro ndio balaa kila kona.
 
Profesa wa madesa! Huwa hawana misimamo kama ma-profesa kweli wana njaa za ajabu hadi wanaongozwa na akili ndogo.
Ni hayo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…