Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Kuhusu UDSM mtu kuwa full prof. bila ya kuwa na PhD, sidhani kama bado kuna utaratibu huo. Watu wanavyobaniwa tu kuwa promoted, sembuse kupata 'mteremko' huo?!?

Hizo siasa za ubaniaji na upendeleo zimekuwepo kwa muda mrefu sana.
 
Kwanza kabisa unafananisha a kingdom and a republic.

Huwezi kuwa na mfalme au malkia wa Uingereza kama ilivyo sasa ambaye katokea tu Scotland huko.

Unaweza kuwa na Head of State Tanzania ambaye katokea Zanzibar.

You are comparing the proverbial apples to oranges.

hapo ndipo ninapokukubali Kiranga
 
Last edited by a moderator:
Kuna tija gani kuwa prof Tanzania? Jipe mfano tu hao akina Magembe, Tibaijuka, et al wanafanya kazi za darasa la 7 bungeni..shame on their professionals!!

Haileti maana kuwa prof afu unakua mpuuzi tu huna articles, journals, huendi inter conferences unakaa kumsujudia Jk ili upewe cheo/wizara
 
Uprofesa ama udokta unamanufaa gani kwa nchi hivi sasa ikiwa ccm ni moja ya vyama barani Afrika iliyosheni Maprofesa na Madokta lakini ni moja ya chama cha wapumbavu duniani?

Serikali ya Yusufu Lule ndio serikali iliyowahi kuwa na maprofesa wengi zaidi duniani lakini ikivunja rwkodi kwakuwa serikali iliyodumu kwa mda mfupi zaidi duniani, ilidumu kwa masaa 18 tu,

Kaka acha uongo 13 april to 20 june 1979 hizo ni masaa 18 umekurupuka..alitawala zaidi ya 18 hrs..

Usiniwaze kama huwezi kujiwaza.
 
Uko sawa kabisa, na ndo maana unaanza kuwa i.tutorial assistance ,ii.Tutor, iii.assistance lecturer, iv.lecturer, v.senior lecturer ,vi.prof. mshiriki "associate prof" na baadae kuja kuwa vii.prof. kamili (full professor"., viii. distinguished /endowed prof.Kwa hiyo kwa sasa mi nadhani huyu sasa atakuwa Associate Prof . na akiwa nguli katika cheo hiki alicho nacho atakuwa full prof , akipiga mambo adimu zaidi anakuwa distinguished prof.

Ila kina Dr. M.K.W.E.R.E naona wanakuwa kundi la pekee 'doctor honoris cousa

Mkuu...ni Assistant na siyo Assistance!
Msaidizi na siyo Usaidizi.
 
Bora ulivyoondoka Prof maana kule utaongozwaje na FormIV failure afu Dj sasa si Matusi hayo? Mwachie yule mnyiramba TUNDU asiejielewa


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Nyani Ngabu na Kiranga

Kimsingi nakubaliana na mitazamo yenu.

Lakini katika academic rankings za kwenye academic institutions za Tanzania, mtu kuwa 'Professor' ni ishara ya kupanda kitaaluma.

Ngoja niwape mchanganuo:

1. Tutorial Assistant (B.Sc. or B.A) ,

2. Assistant Lecturer (M.Sc. or M.A),

3. Lecturer (PhD),

4. Associate Professor (PhD and other requirements), na

5. Professsor (PhD and other requirements)

Hata kama neno 'Professor' lina maana ya mwalimu kwa kifaransa, katika academic rankings linamaana kubwa sana. Professor (nazungumzia aliye na PhD na vigezo vingine vinavyohitajiwa) anakuwa ni nguli katika eneo lake la kitaalamu.

Tatizo kwa upande wa Tanzania linakuja katika namna ya vigezo vingine (zaidi ya kuwa na PhD) vinavyopatikana na kuwa assessed. Kwa mfano, moja ya vigezo ni kuwa na published articles katika 'international journals'. Kwa Tanzania, vyuo vikuu havina utaratibu wa kurank hizi international journals. Mwishowe, watu wanakuwa promoted to 'Professorship' katika journals ambazo hata published articles zao haziwe kusomwa wala kuinfluence policy, knowledge, theories n.k.

Katika publishing world kuna namna journals zinakuwa ranked kwa namna articles zinazochapishwa katika journals hizo zinavyokuwa cited na kuinfluence the state of knowledge. Hapa ndipo unasikia journal inakuwa na 'impact factor'. Kwa sasa, journals zenye high impact factor katika ulimwengu wa sayansi ni journals za 'Nature', 'Cell', 'PLoS', na Science'. Pia kuna journals zingine zinakuwa na high impact factor katika eneo husika la kitaaluma kama fizikia, kemia, uchumi, elimu, biashara, siasa, tiba, mazingira, sheria n.k.

Kwa vyuo vikuu vya nje, promotion based on published works inakuwa scrutinised kwelikweli kwa assessors kuangalia aina za journals ambazo mtu anaye seek promotion amepublish. Kwa Tanzania, nimeambiwa hilo suala halifuatiliwi kabisa, ilimradi iitwe international journal, basi mtu atasubmit hizo published articles kwa promotion.

Nitafurahi kuona journals ambazo Kitila Mkumbo kapublish maandiko yake aliyoyatumia kuseek promotion to associate professorship.

Ni hayo tu.

sasa Dr. Jengo alikuwa Professor pale UDSM kabla ya kupata PhD.........
 
Kweli, nilisahau 'Senior Lecturer'.

Tukizungumzia kielimu inakuwa ni sawa. Ndiyo maana nikasema 'PhD and other requirements' kama vigezo vya kumpandisha mtu kutoka kwenye nafasi ya 'Lecturer' ama 'Senior Lecturer' kwenda kuwa 'Associate Professor'; na associate prof. kuwa 'Professor'.

Nafahamu huo utaratibu. Nasikia hata UDSM wameanzisha huo utaratibu katika PhD program ya political sciences. Ambapo hata mtu mwenye Bachelor's anaweza kwenda moja kwa moja kwenye hiyo program. Utaratibu huu ni common sana katika vyuo vikuu vya Marekani.

Kuhusu UDSM mtu kuwa full prof. bila ya kuwa na PhD, sidhani kama bado kuna utaratibu huo. Watu wanavyobaniwa tu kuwa promoted, sembuse kupata 'mteremko' huo?!?

......siyo Marekani tu......hata Ulaya hizo program zipo........
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Technical know how za CCM bana, HADI KICHEFUCHEFU!
 
sasa Dr. Jengo alikuwa Professor pale UDSM kabla ya kupata PhD.........

Simfahamu huyo mtu. Ina maana baada ya kuwa professor ndipo akapata PhD ama? Aliitwa Dr. hata kabla ya kuwa professor?

Mimi nilielezea academic rankings based on educational and scholarly achievements.
 
Kuna tija gani kuwa prof Tanzania? Jipe mfano tu hao akina Magembe, Tibaijuka, et al wanafanya kazi za darasa la 7 bungeni..shame on their professionals!!

Haileti maana kuwa prof afu unakua mpuuzi tu huna articles, journals, huendi inter conferences unakaa kumsujudia Jk ili upewe cheo/wizara

ni ma prof by books tu
 
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo.

Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor.

Hongera Professor Mkumbo
====================
Dk.+Kitila+Mkumbo.png
====================
CV ya Proff. Kitila Mkumbo imeambatanishwa

Ndio anandaliwa kupambana na Lissu?
 
Simfahamu huyo mtu. Ina maana baada ya kuwa professor ndipo akapata PhD ama? Aliitwa Dr. hata kabla ya kuwa professor?

Mimi nilielezea academic rankings based on educational and scholarly achievements.

......Jengo alikuwa Professor kabla hajapata kuwa na PhD......PhD yake aliipata baadaye sana......
 
Tanzania kila kitu kinawezekana madr usisema mpro ndio balaa kila kona.
 
Profesa wa madesa! Huwa hawana misimamo kama ma-profesa kweli wana njaa za ajabu hadi wanaongozwa na akili ndogo.
Ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom