Uko sawa kabisa, na ndo maana unaanza kuwa i.tutorial assistance ,ii.Tutor, iii.assistance lecturer, iv.lecturer, v.senior lecturer ,vi.prof. mshiriki "associate prof" na baadae kuja kuwa vii.prof. kamili (full professor"., viii. distinguished /endowed prof.Kwa hiyo kwa sasa mi nadhani huyu sasa atakuwa Associate Prof . na akiwa nguli katika cheo hiki alicho nacho atakuwa full prof , akipiga mambo adimu zaidi anakuwa distinguished prof.
Ila kina Dr. M.K.W.E.R.E naona wanakuwa kundi la pekee 'doctor honoris cousa
Je yule mwenye degree za kanisa?
Mwenye details atueleze kafanya research ya nini?
Hawezi kuwa Prof.kabla ya kwenda hata Sebbatical leave , alienda lini Sebbatical ? Na hata kama alienda atakuwa Associate Prof.."........ Aidha ameshatoa chapisho lolote ? Ameandika nini ? Msitulishe upepo bana
nimemfuatilia hii historia yake na kuitafakari kwa mapana nikagundua mambo mawili
1;hana malezi ya wazazi, alilelewa zaidi na bibi, kwahiyo akajengwa kwenye mazingira ya kimtaa,,na kudekezwa hata ukifanya utumbo, !!!WALIOLELEWA NA BIBI WANATAMBUA HILI
2:Ana laana ya wazz wake(BABA).nimejaribu kusoma na kurudiarudia sikuona jitihada zake kuhusu kunfuatilia bb yake,kumthamini,kumsaidia kiuchumi na hata kuja kumzika bb yake(hana utofauti na kigwa)
kwa hali hiyo inatosha kusema jamaa laana inamuandama sana na hata ACT itakuwa hivyo kama alivyosaliti cdn
labda aende akaombe bb yake msamaha hapo ndipo atakapokombolewa kifkra na baadaye kukomboa jamii
Nyie wote hamjui shule. Tatizo mnaambiwa na kusikia mitaani, ila hamtaki kujifunza.
Hii habari ya kujilimbukia Ph.D kwa kutaka kuitwa Dr. hata kwa Ph.D za kupewa ni habari ya ulimbukeni wa nchi ambazo hazina access na elimu na Ph.D inaonekana kuwa ni kitu cha ajabu.
Huwa namtania sana Miss Thang, namwambia "ukimaliza Ph.D yako I will get such a kick out of calling you Dr (her name)". Akisikia hivyo huwa ana ni shoot down kichizi, hataki kuitwa Dr. outside of academic circles, anataka nimuite jina lake kama sasa tu.
Nchi nyingine, depending on the circles, ukiwa una parade Ph.D unaonekana a failure, a pretentious nerd. Wajanja walikuwa kwenye Ph.D track wameanzisha Google huko, wewe unaenda kuwa Ph.D unaenda kulipwa a measly sum na kufundisha some ungrateful brats.
Ndiyo maana unakuta mtu kama Nyerere, aliyejimix ma Edinburgh huko kitambo, hata kujinadi na u Dokta wa kupewa huwezi kumsikia.
Yeye alishajipa u Dokta wake mwenyewe wa Kiafrika tangu zamani. Mwalimu. Which is basically what the Doctor in Ph.D is. Dotori.
Sasa Nyerere was original in that. He created a uniquely Tanzanian and uniquely Nyerereist honorific. Kiasi kwamba hata Mwinyi, ambaye naye alikuqa mwalimu, hakuitwa "Mwalimu Mwinyi".
These other apes will just keep on aping.
Hawezi kuwa Prof.kabla ya kwenda hata Sebbatical leave , alienda lini Sebbatical ? Na hata kama alienda atakuwa Associate Prof.."........ Aidha ameshatoa chapisho lolote ? Ameandika nini ? Msitulishe upepo bana
Wewe unayefuatilia niambie chapisho lake ......
It doesn't matter, the man is now Prof.
Nkoyi,
Who is miss Thang?
Hahahaha,
Malaika mmoja hivi ambaye alikosea njia tu na kujikuta yuko hapa duniani, a doctoral candidate in neuropsychology. In a manner of speaking.
Nataka kufika bei mkuu.
Tolagi bagosha, tolagi.
Kwangu mimi kitaaluma Dr. ni prestigious zaidi ya professor.
Ndo maana mtu kama Dr. Cornel West licha ya kuwa ameshawahi kuwa (full) professor Harvard na Princeton lakini bado anajulikana na bado hujitambulisha kama Dr. na si Professor.
Hahahaha,
Malaika mmoja hivi ambaye alikosea njia tu na kujikuta yuko hapa duniani, a doctoral candidate in neuropsychology. In a manner of speaking.
Nataka kufika bei mkuu.
Tolagi bagosha, tolagi.