Hii habari ya kujilimbukia Ph.D kwa kutaka kuitwa Dr. hata kwa Ph.D za kupewa ni habari ya ulimbukeni wa nchi ambazo hazina access na elimu na Ph.D inaonekana kuwa ni kitu cha ajabu.
Huwa namtania sana Miss Thang, namwambia "ukimaliza Ph.D yako I will get such a kick out of calling you Dr (her name)". Akisikia hivyo huwa ana ni shoot down kichizi, hataki kuitwa Dr. outside of academic circles, anataka nimuite jina lake kama sasa tu.
Nchi nyingine, depending on the circles, ukiwa una parade Ph.D unaonekana a failure, a pretentious nerd. Wajanja walikuwa kwenye Ph.D track wameanzisha Google huko, wewe unaenda kuwa Ph.D unaenda kulipwa a measly sum na kufundisha some ungrateful brats.
Ndiyo maana unakuta mtu kama Nyerere, aliyejimix ma Edinburgh huko kitambo, hata kujinadi na u Dokta wa kupewa huwezi kumsikia.
Yeye alishajipa u Dokta wake mwenyewe wa Kiafrika tangu zamani. Mwalimu. Which is basically what the Doctor in Ph.D is. Dotori.
Sasa Nyerere was original in that. He created a uniquely Tanzanian and uniquely Nyerereist honorific. Kiasi kwamba hata Mwinyi, ambaye naye alikuqa mwalimu, hakuitwa "Mwalimu Mwinyi".
These other apes will just keep on aping.