Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Kwanza nianze kumwomba radhi kwa kusoma dk kabla yakuona jina la mwisho yoote ni magazeti, Ndugu Mhariri wa mwananchi embu badilisheni mlichowekq uk wa 5 gazeti lenu leo,,huyu bwana ananza na prof kitila mkumbo na ni prof yakusotea hajapewa. Naamin Mtatoa kesho upya ikiwa na heshima ya prof.
 
nakumbukaga wakati nasoma Political science UDSM miaka hiyo nilkikatwa maksi na Prof mmoja kisha nilimwita Dk
 
Alitutoa kweli hakuwa mzinzi kamawenzake ,alipenda kuonamttu anaelewa anafaulu
 
Kwanza NIANZE KUMWOMBA RADHI KWA KUSOMA DK KABLA YAKUONA JINA LA MWISHO YOOTE NI MAGAZETI....NDUGU MHARIRI WA MWANANCHI EMBU BADILISHENI MLICHOWEKQ UK WA 5 GAZETI LENU LEO,,HUYU BWANA ANANZA NA PROF KITILA,MKUMBO NA NI PROF YAKUSOTEA AJAPEWA...NAAMINI MTATOA KESHO UPYA IKIWA NA HESHIMA YA PROF K.M

Hope wataelewa,vyema mkaqndika mbele kabisa ,,,KUMRADHI PROF KITILA.M,,,,
 
Attachments

  • IMG_20150116_101624.jpg
    IMG_20150116_101624.jpg
    33.2 KB · Views: 172
Kwanza NIANZE KUMWOMBA RADHI KWA KUSOMA DK KABLA YAKUONA JINA LA MWISHO YOOTE NI MAGAZETI....NDUGU MHARIRI WA MWANANCHI EMBU BADILISHENI MLICHOWEKQ UK WA 5 GAZETI LENU LEO,,HUYU BWANA ANANZA NA PROF KITILA,MKUMBO NA NI PROF YAKUSOTEA AJAPEWA...NAAMINI MTATOA KESHO UPYA IKIWA NA HESHIMA YA PROF K.M

Professor kuitwa Doctor hakuna tatizo, Dr inatokana na kusoma kwa maana ya kupata PhD na Prof inatokana na seniority katika kazi ya ufundishaji chuo kikuu, inaweza kuwa kuwa ni associate professor au full professor, kwa kifupi Professor tafsiri yake ni mwalimu wa chuo kikuu na kiutaratibu unapokuwa unam-address huyu mtu inabidi uanze na Dr XYZ halafu katika maelezo ndo utasema a professor of Quantum Physics at Mlimanyoka University. Ila kwa sababu watanzania tulio wengi tunadhani Prof ni msomi kuliko Dr ndo maana wanapenda kuwa addressed kama Prof badala ya Dr na kwa kuona hivyo ndo maana hata wachina wakampa mheshimiwa sana Uprofessor japo hajawahi kufundisha chuo chochote.

Rank za walimu wa chuo kikuu kulingana na elimu, uzoefu na machapisho ni Tutorial Assistant, Assistant Lecturer, Lecturer, Senior Lecturer, Assosiate Professor and Full Professor, mara nyingi Senior Lecturer, Assosiate Professor na Full Professor ni PhD holder na wanakuwa addressed kama Dr hao wengine wa chini ni Masters na Bachelor degrees.
 
Maelezo yako sio sahihi sana. Uwezi kua Prof.bila kua Dr. Kwanza.

Lakini pia uwezi kua Prof. bila yakua na machapisho ya kutosha either ya research au vitabu.
 
muongo wewe unaweza kuwa prof bila ya kuwa na phd wengi sana wapo hivyo hasa wa muhas hawana phd but ni nimaprof
 
Professor kuitwa Doctor hakuna tatizo, Dr inatokana na kusoma kwa maana ya kupata PhD na Prof inatokana na seniority katika kazi ya ufundishaji chuo kikuu, inaweza kuwa kuwa ni associate professor au full professor, kwa kifupi Professor tafsiri yake ni mwalimu wa chuo kikuu na kiutaratibu unapokuwa unam-address huyu mtu inabidi uanze na Dr XYZ halafu katika maelezo ndo utasema a professor of Quantum Physics at Mlimanyoka University. Ila kwa sababu watanzania tulio wengi tunadhani Prof ni msomi kuliko Dr ndo maana wanapenda kuwa addressed kama Prof badala ya Dr na kwa kuona hivyo ndo maana hata wachina wakampa mheshimiwa sana Uprofessor japo hajawahi kufundisha chuo chochote.

Rank za walimu wa chuo kikuu kulingana na elimu, uzoefu na machapisho ni Tutorial Assistant, Assistant Lecturer, Lecturer, Senior Lecturer, Assosiate Professor and Full Professor, mara nyingi Senior Lecturer, Assosiate Professor na Full Professor ni PhD holder na wanakuwa addressed kama Dr hao wengine wa chini ni Masters na Bachelor degrees.
mkuu soma udsm then kwenye paper uandike dk badala ya prof uone kama utapata maksi
 
Maelezo yako sio sahihi sana. Uwezi kua Prof.bila kua Dr. Kwanza.

Lakini pia uwezi kua Prof. bila yakua na machapisho ya kutosha either ya research au vitabu.

Ni vizuri uelewe kama ulivyoeleweshwa hapo juu....! PhD. ni shule.....na Professorship in cheo.....! Watu wawili wanaweza wote kuwa na PhD lakini wakiajiriwa kwenye nyanja tofauti e.g. academic institution na mwingine research institutions.....vyeo huko vinatofautiana...... Kwenye academic institution muundo wa vyeo unafanana....ingawa points za kupanda hivyo vyeo zinatofautiana....

Pili kwenye research institutions...watu wanapublish, wanasimamia wanafunzi na wanafanya lots of consultancies....lakini muundo wa vyeo ni tofauti.......anakuwa either Principal Researcher, Principal Scientist etc na sio professor kwa vile hicho sio cheo kwenye taasisi hizo!
 
Mkuu ahsante kwa Bandiko lako ila nmepata utata kdogo hapo kutoka kwenye Tutorial Assistant then baada ya hapo inakuja Tutorial ama ndo hyo assistant Lecturer?
 
Mkuu ndo rank zao zilivyo au sehemu zingine huyo Tutorial Assistant huitwa Tutor, kwenye vyuo ambavyo vina walimu wa kutosha hawa watu hawaruhusiwa kufundisha sana sana kazi yao ni kusimamia tutorials, kumsaidia mwalimu wa somo husika kusimamia test na mitihani. Labda kutokana na kuwa wasimamizi wa tutorial ndo maana wakaitwa tutorial assistant.
 
mkuu soma udsm then kwenye paper uandike dk badala ya prof uone kama utapata maksi

Ndo nilichosema hapo juu kwamba wengi wetu tunajua Dr na Prof ni rank katika tasnia moja na Prof kuonekana kuwa ni rank ya juu ndo maana wanataka waandike hivyo, lakini kiukweli si rank za tasnia moja, moja inatokana na kuwa mwalimu wa chuo kikuu na nyingine inatokana na kusoma, ndo maana ukisoma hadi PhD na hufundishi chuo chochote kamwe huwezi kuwa Professor utakuwa na title nyingine tu kulingana na unapofanya kazi.

Hata ukiangalia vitabu vingi, machapisho na tafiti mbalimbali utakuta waandishi wake ni Dr lakini kama ni mwalimu wa chuo kikuu au kama alishawahi kufundisha chuo kikuu ndo utakuta maelezo yake ameainisha kuwa ni professor wa nini.
 
Ni vizuri uelewe kama ulivyoeleweshwa hapo juu....! PhD. ni shule.....na Professorship in cheo.....! Watu wawili wanaweza wote kuwa na PhD lakini wakiajiriwa kwenye nyanja tofauti e.g. academic institution na mwingine research institutions.....vyeo huko vinatofautiana...... Kwenye academic institution muundo wa vyeo unafanana....ingawa points za kupanda hivyo vyeo zinatofautiana....

Pili kwenye research institutions...watu wanapublish, wanasimamia wanafunzi na wanafanya lots of consultancies....lakini muundo wa vyeo ni tofauti.......anakuwa either Principal Researcher, Principal Scientist etc na sio professor kwa vile hicho sio cheo kwenye taasisi hizo!
Mkuu asante kwa kuongezea nyama.
 
Maelezo yako sio sahihi sana. Uwezi kua Prof.bila kua Dr. Kwanza.

Lakini pia uwezi kua Prof. bila yakua na machapisho ya kutosha either ya research au vitabu.

Inawezekana kabisa kuwa Prof kabla ya kuwa na PhD, nina mfano mmoja wa mwalimu wangu mmoja ingawa kwa sasa ni marehemu alikuwa Prof kabla ya kupata PhD. Mara nyingi alipenda kuwa addressed kama Prof. Dr XYZ. Kama utaona kuna umhimu wa kumtaja niko tayari kumtaja.
 
Ni vizuri uelewe kama ulivyoeleweshwa hapo juu....! PhD. ni shule.....na Professorship in cheo.....! Watu wawili wanaweza wote kuwa na PhD lakini wakiajiriwa kwenye nyanja tofauti e.g. academic institution na mwingine research institutions.....vyeo huko vinatofautiana...... Kwenye academic institution muundo wa vyeo unafanana....ingawa points za kupanda hivyo vyeo zinatofautiana....

Pili kwenye research institutions...watu wanapublish, wanasimamia wanafunzi na wanafanya lots of consultancies....lakini muundo wa vyeo ni tofauti.......anakuwa either Principal Researcher, Principal Scientist etc na sio professor kwa vile hicho sio cheo kwenye taasisi hizo!

Nani anakuambia Prof. lazime awe Mwalimu.
 
Back
Top Bottom