Eng.Livingstone
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 880
- 227
education haaaahahaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitutoa kweli hakuwa mzinzi kamawenzake ,alipenda kuonamttu anaelewa anafaulunakumbukaga wakati nasoma Political science UDSM miaka hiyo nilkikatwa maksi na Prof mmoja kisha nilimwita Dk
Kwanza NIANZE KUMWOMBA RADHI KWA KUSOMA DK KABLA YAKUONA JINA LA MWISHO YOOTE NI MAGAZETI....NDUGU MHARIRI WA MWANANCHI EMBU BADILISHENI MLICHOWEKQ UK WA 5 GAZETI LENU LEO,,HUYU BWANA ANANZA NA PROF KITILA,MKUMBO NA NI PROF YAKUSOTEA AJAPEWA...NAAMINI MTATOA KESHO UPYA IKIWA NA HESHIMA YA PROF K.M
Alitutoa kweli hakuwa mzinzi kamawenzake ,alipenda kuonamttu anaelewa anafaulu
Kwanza NIANZE KUMWOMBA RADHI KWA KUSOMA DK KABLA YAKUONA JINA LA MWISHO YOOTE NI MAGAZETI....NDUGU MHARIRI WA MWANANCHI EMBU BADILISHENI MLICHOWEKQ UK WA 5 GAZETI LENU LEO,,HUYU BWANA ANANZA NA PROF KITILA,MKUMBO NA NI PROF YAKUSOTEA AJAPEWA...NAAMINI MTATOA KESHO UPYA IKIWA NA HESHIMA YA PROF K.M
Professor kuitwa Doctor hakuna tatizo, Dr inatokana na kusoma kwa maana ya kupata PhD na Prof inatokana na seniority katika kazi ya ufundishaji chuo kikuu, inaweza kuwa kuwa ni associate professor au full professor, kwa kifupi Professor tafsiri yake ni mwalimu wa chuo kikuu na kiutaratibu unapokuwa unam-address huyu mtu inabidi uanze na Dr XYZ halafu katika maelezo ndo utasema a professor of Quantum Physics at Mlimanyoka University. Ila kwa sababu watanzania tulio wengi tunadhani Prof ni msomi kuliko Dr ndo maana wanapenda kuwa addressed kama Prof badala ya Dr na kwa kuona hivyo ndo maana hata wachina wakampa mheshimiwa sana Uprofessor japo hajawahi kufundisha chuo chochote.
Rank za walimu wa chuo kikuu kulingana na elimu, uzoefu na machapisho ni Tutorial Assistant, Assistant Lecturer, Lecturer, Senior Lecturer, Assosiate Professor and Full Professor, mara nyingi Senior Lecturer, Assosiate Professor na Full Professor ni PhD holder na wanakuwa addressed kama Dr hao wengine wa chini ni Masters na Bachelor degrees.
muongo wewe unaweza kuwa prof bila ya kuwa na phd wengi sana wapo hivyo hasa wa muhas hawana phd but ni nimaprofMaelezo yako sio sahihi sana. Uwezi kua Prof.bila kua Dr. Kwanza.
Lakini pia uwezi kua Prof. bila yakua na machapisho ya kutosha either ya research au vitabu.
mkuu soma udsm then kwenye paper uandike dk badala ya prof uone kama utapata maksiProfessor kuitwa Doctor hakuna tatizo, Dr inatokana na kusoma kwa maana ya kupata PhD na Prof inatokana na seniority katika kazi ya ufundishaji chuo kikuu, inaweza kuwa kuwa ni associate professor au full professor, kwa kifupi Professor tafsiri yake ni mwalimu wa chuo kikuu na kiutaratibu unapokuwa unam-address huyu mtu inabidi uanze na Dr XYZ halafu katika maelezo ndo utasema a professor of Quantum Physics at Mlimanyoka University. Ila kwa sababu watanzania tulio wengi tunadhani Prof ni msomi kuliko Dr ndo maana wanapenda kuwa addressed kama Prof badala ya Dr na kwa kuona hivyo ndo maana hata wachina wakampa mheshimiwa sana Uprofessor japo hajawahi kufundisha chuo chochote.
Rank za walimu wa chuo kikuu kulingana na elimu, uzoefu na machapisho ni Tutorial Assistant, Assistant Lecturer, Lecturer, Senior Lecturer, Assosiate Professor and Full Professor, mara nyingi Senior Lecturer, Assosiate Professor na Full Professor ni PhD holder na wanakuwa addressed kama Dr hao wengine wa chini ni Masters na Bachelor degrees.
Maelezo yako sio sahihi sana. Uwezi kua Prof.bila kua Dr. Kwanza.
Lakini pia uwezi kua Prof. bila yakua na machapisho ya kutosha either ya research au vitabu.
Professor kuitwa Doctor hakuna tatizo, Dr inatokana na kusoma kwa maana ya kupata PhD na Prof inatokana na seniority katika kazi ya ufundishaji chuo kikuu, inaweza kuwa kuwa ni associate professor au full professor, kwa kifupi Professor tafsiri yake ni mwalimu wa chuo kikuu na kiutaratibu unapokuwa unam-address huyu mtu inabidi uanze na Dr XYZ halafu katika maelezo ndo utasema a professor of Quantum Physics at Mlimanyoka University. Ila kwa sababu watanzania tulio wengi tunadhani Prof ni msomi kuliko Dr ndo maana wanapenda kuwa addressed kama Prof badala ya Dr na kwa kuona hivyo ndo maana hata wachina wakampa mheshimiwa sana Uprofessor japo hajawahi kufundisha chuo chochote.
Rank za walimu wa chuo kikuu kulingana na elimu, uzoefu na machapisho ni Tutorial Assistant, Assistant Lecturer, Lecturer, Senior Lecturer, Assosiate Professor and Full Professor, mara nyingi Senior Lecturer, Assosiate Professor na Full Professor ni PhD holder na wanakuwa addressed kama Dr hao wengine wa chini ni Masters na Bachelor degrees.
Mkuu ndo rank zao zilivyo au sehemu zingine huyo Tutorial Assistant huitwa Tutor, kwenye vyuo ambavyo vina walimu wa kutosha hawa watu hawaruhusiwa kufundisha sana sana kazi yao ni kusimamia tutorials, kumsaidia mwalimu wa somo husika kusimamia test na mitihani. Labda kutokana na kuwa wasimamizi wa tutorial ndo maana wakaitwa tutorial assistant.Mkuu ahsante kwa Bandiko lako ila nmepata utata kdogo hapo kutoka kwenye Tutorial Assistant then baada ya hapo inakuja Tutorial ama ndo hyo assistant Lecturer?
mkuu soma udsm then kwenye paper uandike dk badala ya prof uone kama utapata maksi
Mkuu asante kwa kuongezea nyama.Ni vizuri uelewe kama ulivyoeleweshwa hapo juu....! PhD. ni shule.....na Professorship in cheo.....! Watu wawili wanaweza wote kuwa na PhD lakini wakiajiriwa kwenye nyanja tofauti e.g. academic institution na mwingine research institutions.....vyeo huko vinatofautiana...... Kwenye academic institution muundo wa vyeo unafanana....ingawa points za kupanda hivyo vyeo zinatofautiana....
Pili kwenye research institutions...watu wanapublish, wanasimamia wanafunzi na wanafanya lots of consultancies....lakini muundo wa vyeo ni tofauti.......anakuwa either Principal Researcher, Principal Scientist etc na sio professor kwa vile hicho sio cheo kwenye taasisi hizo!
Maelezo yako sio sahihi sana. Uwezi kua Prof.bila kua Dr. Kwanza.
Lakini pia uwezi kua Prof. bila yakua na machapisho ya kutosha either ya research au vitabu.
Ni vizuri uelewe kama ulivyoeleweshwa hapo juu....! PhD. ni shule.....na Professorship in cheo.....! Watu wawili wanaweza wote kuwa na PhD lakini wakiajiriwa kwenye nyanja tofauti e.g. academic institution na mwingine research institutions.....vyeo huko vinatofautiana...... Kwenye academic institution muundo wa vyeo unafanana....ingawa points za kupanda hivyo vyeo zinatofautiana....