muongo wewe unaweza kuwa prof bila ya kuwa na phd wengi sana wapo hivyo hasa wa muhas hawana phd but ni nimaprof
Nani anakuambia Prof. lazime awe Mwalimu.
Nani anakuambia Prof. lazime awe Mwalimu.
Mimi namfahamu mmoja yeye amepitiliza kabisaa hadi kufikia ngazi ya uprofesa huku akiwa hana hata andiko moja alilotoa la maana..!!Bora yeye kazipata kwa jasho, kuna mtu hata hajasome ila anaitwa Dr fulani
Ni vizuri uelewe kama ulivyoeleweshwa hapo juu....! PhD. ni shule.....na Professorship in cheo.....! Watu wawili wanaweza wote kuwa na PhD lakini wakiajiriwa kwenye nyanja tofauti e.g. academic institution na mwingine research institutions.....vyeo huko vinatofautiana...... Kwenye academic institution muundo wa vyeo unafanana....ingawa points za kupanda hivyo vyeo zinatofautiana....
Pili kwenye research institutions...watu wanapublish, wanasimamia wanafunzi na wanafanya lots of consultancies....lakini muundo wa vyeo ni tofauti.......anakuwa either Principal Researcher, Principal Scientist etc na sio professor kwa vile hicho sio cheo kwenye taasisi hizo!
Alitutoa kweli hakuwa mzinzi kamawenzake ,alipenda kuonamttu anaelewa anafaulu
mkuu soma udsm then kwenye paper uandike dk badala ya prof uone kama utapata maksi
Kama alivyosema phill hapo juu, kwa wazungu Professor ni mwalimu wa chuo/chuo kikuu haijalishi ana masters au Phd. huitwa Professor.
Nani anakuambia Prof. lazime awe Mwalimu.
Badiri Title:Aliyekuwa Dr.Kitila Mkumbo Awa Professor! Itakuwa poa maana unavyosema sasa sio Dr wakati wewe still unamwita Dr.
~Huyo si yupo ACT? Mtumikie kafiri upate wako mtaji,na atapanda sana vyeo!! Soon tutasikia VC.
Sometimes tunapaswa kujua mtu kasoma Nini ndipo tuamue kumkosoa au tukae kimya, japo wakati mwingine performance inaweza isilinganishwe na kiwango Cha elimu. Ila kwa waalimu Kama Dr. Kitila Mkumbo tunapaswa kujiuliza alipelekwa viwanda kutokana na elimu yake,uzoefu au exposure? Kwa kuwa Mwenye majibu Ni aliyemteua Basi sisi tuombe tuyajadili yanayoonekana tukianza na CV yake. Kupitia mjadala huu yeye Kitila na mteuzi wanaweza kutambua mtizamo wa jamii nakuamua waendelee kuaminiana au kazi imekuwa nzito?