Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

muongo wewe unaweza kuwa prof bila ya kuwa na phd wengi sana wapo hivyo hasa wa muhas hawana phd but ni nimaprof

Wewe hata kuelewa aukuelewa.

Nakataa kwamba uprof. Ni cheo labda kwenye learning institutions.

Kua Prof. lazima uwe na machapisho ya kutosha au research za kutosha

K. E. N. We
 
Ni vizuri uelewe kama ulivyoeleweshwa hapo juu....! PhD. ni shule.....na Professorship in cheo.....! Watu wawili wanaweza wote kuwa na PhD lakini wakiajiriwa kwenye nyanja tofauti e.g. academic institution na mwingine research institutions.....vyeo huko vinatofautiana...... Kwenye academic institution muundo wa vyeo unafanana....ingawa points za kupanda hivyo vyeo zinatofautiana....

Pili kwenye research institutions...watu wanapublish, wanasimamia wanafunzi na wanafanya lots of consultancies....lakini muundo wa vyeo ni tofauti.......anakuwa either Principal Researcher, Principal Scientist etc na sio professor kwa vile hicho sio cheo kwenye taasisi hizo!

Kama alivyosema phill hapo juu, kwa wazungu Professor ni mwalimu wa chuo/chuo kikuu haijalishi ana masters au Phd. huitwa Professor.
 
mkuu soma udsm then kwenye paper uandike dk badala ya prof uone kama utapata maksi

Ukioksa maksi kwa sababu ya kumwandika Dr badala ya Prof ujue hao ndiyo wale wa namna ya akina Maghembe na akina Kapuya.

Dr. Kitila kuitwa hivyo ni sahihi kabisa. Anaweza kuitwa kiusahihi kabisa Dr. Kitila Mkumbo profesa wa Saikolojia.
 
Kama alivyosema phill hapo juu, kwa wazungu Professor ni mwalimu wa chuo/chuo kikuu haijalishi ana masters au Phd. huitwa Professor.

Acha ujinga....ukielimishwa kama hujui jambo kubali kuelimika acha kubaki na ujinga wako.....! Kwa mjadala huu tu mtu anajua ww ni kiazi.......Angalia walau wikipedia kwa mambo madogo madogo ya ufahamu...Professor - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Nani anakuambia Prof. lazime awe Mwalimu.

Jamani tuache ujinga na kujifunza pale tunapoeleweshwa......! Unaweza kuwa reseacher kwingineko na ukaalikwa na chuo fulani kuwa guest lecturer.....na kama qualification yako ni kubwa unapata professorship.....i.e. visiting professor, adjunct professor etc
 
Badiri Title:Aliyekuwa Dr.Kitila Mkumbo Awa Professor! Itakuwa poa maana unavyosema sasa sio Dr wakati wewe still unamwita Dr.
~Huyo si yupo ACT? Mtumikie kafiri upate wako mtaji,na atapanda sana vyeo!! Soon tutasikia VC.

lakini nakumbuka Dr Lamwai yeye alifukuzwa kazi n kufungiwa leseni yake tanzania bara mpaka alivyorudi kundini vipi kuhusu hawa kina Kitila Mkumbo?
 
Kipimo cha Elimu ni mchango ,maoni na ushaur kwa jamii. Hivyo Huwezi kumfananisha Prof Kitila na Mbowe.
 
Kuupata u profesa sio kitoto, just in u'r own & u'll see what i mean.
 
Sometimes tunapaswa kujua mtu kasoma Nini ndipo tuamue kumkosoa au tukae kimya, japo wakati mwingine performance inaweza isilinganishwe na kiwango Cha elimu. Ila kwa waalimu Kama Dr. Kitila Mkumbo tunapaswa kujiuliza alipelekwa viwanda kutokana na elimu yake,uzoefu au exposure? Kwa kuwa Mwenye majibu Ni aliyemteua Basi sisi tuombe tuyajadili yanayoonekana tukianza na CV yake. Kupitia mjadala huu yeye Kitila na mteuzi wanaweza kutambua mtizamo wa jamii nakuamua waendelee kuaminiana au kazi imekuwa nzito?
 
CV yake ni fupi sana:
Alizaliwa Iramba
Akafundisha UDSM
Akajiunga CHADEMA
Akajiuza CCM yeye, Zito na Mwigamba
Akaenda ACT
Akanunuliwa tena CCM
Akapewa ubunge na Magu
Akapewa uwaziri na Magu
 
Sometimes tunapaswa kujua mtu kasoma Nini ndipo tuamue kumkosoa au tukae kimya, japo wakati mwingine performance inaweza isilinganishwe na kiwango Cha elimu. Ila kwa waalimu Kama Dr. Kitila Mkumbo tunapaswa kujiuliza alipelekwa viwanda kutokana na elimu yake,uzoefu au exposure? Kwa kuwa Mwenye majibu Ni aliyemteua Basi sisi tuombe tuyajadili yanayoonekana tukianza na CV yake. Kupitia mjadala huu yeye Kitila na mteuzi wanaweza kutambua mtizamo wa jamii nakuamua waendelee kuaminiana au kazi imekuwa nzito?

Kwenye nchi karibu zote duniani, hakuna professor ambaye amewahi kuwa political leader wa kupigiwa mfano!
 
Back
Top Bottom